Uwezo mdogo wa kufikiri kwa wanaume

Uwezo mdogo wa kufikiri kwa wanaume

Tatizo mnaangalia maslahi ya unayempenda kuwa utanufaikaje kabla na baada ya kuolewa, kukiwa hakuna unufaikaji wa kabla ya kuolewa mnatu dump mnakimbilia kwa waliokwisha kujiwekeza vya kutosha
 
Habari Zenu.
Nimegundua kwamba uwezo wa mwanaume kufikiri bila ya mwanamke ni finyu.
Ukiangalia ma senior bachelor wa mjni hawanaga lolote zaidi ya nguo zake za kuvaa na kigari Chake basi. ela yote anamalizia bar na supu za asubuhi. utakuta kijana ni graduate Ana age between 28 hadi 30 hawazi lolote kuhusu maisha eti bado anajiona mtoto.
Wito wangu ni vijana wa mjini muamke, ukishafika miaka 27 wewe ni Mtu Mzima, Anza kujipanga kwa maisha yako. vijana wengi wasiooa mpaka miaka 35 maisha yao ni hopeless hawanaga kitu....ila wale waliopata maendeleo mapema maisha yao yanakuaga na maendeleo mapema.

mfano. kuna Dk mmoja ambae ni DG wa sehemu flani hajaoa na ana miaka karibu 40. maisha yake ni hopeless anaishi nyumba ya kupanga na hana kitu.wala kiwanja japo ameshika nyadhifa mbalimbali nchini.

Nna rafiki Ana 29 na bado anakaa kwao

nna kama Ana 30yrs hajaoa haina sababu ya kukaa nyumba kubwa mpaka leo anaishi chumba kimoja kigeto Geto na mifano mingine kibao.

Ushauri
Wanaume jifunzeni kuoa haraka akili ya mwanamke ina maarifa makubwa yatakayokufanya uendelee haraka. ukijifanya muchknow utaishia ivoivo.

Behind every successfully man there is a women.
Hahahahahaha kwahiyo unataka kusemaje tuoee ili tupate akili?
 
Wamekusikia ila hawataki kuelewa!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habari Zenu.
Nimegundua kwamba uwezo wa mwanaume kufikiri bila ya mwanamke ni finyu.
Ukiangalia ma senior bachelor wa mjni hawanaga lolote zaidi ya nguo zake za kuvaa na kigari Chake basi. ela yote anamalizia bar na supu za asubuhi. utakuta kijana ni graduate Ana age between 28 hadi 30 hawazi lolote kuhusu maisha eti bado anajiona mtoto.
Wito wangu ni vijana wa mjini muamke, ukishafika miaka 27 wewe ni Mtu Mzima, Anza kujipanga kwa maisha yako. vijana wengi wasiooa mpaka miaka 35 maisha yao ni hopeless hawanaga kitu....ila wale waliopata maendeleo mapema maisha yao yanakuaga na maendeleo mapema.

mfano. kuna Dk mmoja ambae ni DG wa sehemu flani hajaoa na ana miaka karibu 40. maisha yake ni hopeless anaishi nyumba ya kupanga na hana kitu.wala kiwanja japo ameshika nyadhifa mbalimbali nchini.

Nna rafiki Ana 29 na bado anakaa kwao

nna kama Ana 30yrs hajaoa haina sababu ya kukaa nyumba kubwa mpaka leo anaishi chumba kimoja kigeto Geto na mifano mingine kibao.

Ushauri
Wanaume jifunzeni kuoa haraka akili ya mwanamke ina maarifa makubwa yatakayokufanya uendelee haraka. ukijifanya muchknow utaishia ivoivo.

Behind every successfully man there is a women.
Kwani wamekwambia wanataka maendeleo?
 
Natafuta mke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Duh unachunguza maisha ya watu labda hanisi
 
Yule jamaa anesemaga hapangiwi nahisi aliyaona haya..
 
Tatizo ni kuamini kuwa kuna kanuni za watu kufuata ili maisha yao yatafsiriwe yamefanikiwa.
Ndoa ili ufanikiwe lazima uwe na mke unayeweza kumsikiliza na mwenye hayo mawazo ya kufanikisha

Kumshauri mwanaume ni mpaka autake huo ushauri na uwe na uwezo wa kumshauri kwenye hilo jambo ambalo kwa uzoefu kuna nyumba ndogo pia zimefanikisha waume sp sio suala la kuolewa ni suala na akili,nidhamu na waliokuzunguka ni kina nani

Kuna katabia ka kuona ndoa kama zawadi na mbingu na kusheherekea au kupokea sifa za mume kwa kuwa tu mnaishi nyumba moja. Fanikiwa wewe naye afanikiwe zake zaidi mapenzi na heshima viwepo
Asante mama naomba uwe mama mwenye Nyumba wangu mana kweli siendelei
 
Habari Zenu.
Nimegundua kwamba uwezo wa mwanaume kufikiri bila ya mwanamke ni finyu.
Ukiangalia ma senior bachelor wa mjni hawanaga lolote zaidi ya nguo zake za kuvaa na kigari Chake basi. ela yote anamalizia bar na supu za asubuhi. utakuta kijana ni graduate Ana age between 28 hadi 30 hawazi lolote kuhusu maisha eti bado anajiona mtoto.
Wito wangu ni vijana wa mjini muamke, ukishafika miaka 27 wewe ni Mtu Mzima, Anza kujipanga kwa maisha yako. vijana wengi wasiooa mpaka miaka 35 maisha yao ni hopeless hawanaga kitu....ila wale waliopata maendeleo mapema maisha yao yanakuaga na maendeleo mapema.

mfano. kuna Dk mmoja ambae ni DG wa sehemu flani hajaoa na ana miaka karibu 40. maisha yake ni hopeless anaishi nyumba ya kupanga na hana kitu.wala kiwanja japo ameshika nyadhifa mbalimbali nchini.

Nna rafiki Ana 29 na bado anakaa kwao

nna kama Ana 30yrs hajaoa haina sababu ya kukaa nyumba kubwa mpaka leo anaishi chumba kimoja kigeto Geto na mifano mingine kibao.

Ushauri
Wanaume jifunzeni kuoa haraka akili ya mwanamke ina maarifa makubwa yatakayokufanya uendelee haraka. ukijifanya muchknow utaishia ivoivo.

Behind every successfully man there is a women.
Umeongea vizuri sana mwaya, tusubiri wenyewe waje kujitetea.
 
Naona waoaji wamepungua hadi mnaanzisha kampeni ya kulazimishana kuoa eee

Haoi mtu hapa hadi Msukuma aondoke magogoni
 
Habari Zenu.
Nimegundua kwamba uwezo wa mwanaume kufikiri bila ya mwanamke ni finyu.
Ukiangalia ma senior bachelor wa mjni hawanaga lolote zaidi ya nguo zake za kuvaa na kigari Chake basi. ela yote anamalizia bar na supu za asubuhi. utakuta kijana ni graduate Ana age between 28 hadi 30 hawazi lolote kuhusu maisha eti bado anajiona mtoto.
Wito wangu ni vijana wa mjini muamke, ukishafika miaka 27 wewe ni Mtu Mzima, Anza kujipanga kwa maisha yako. vijana wengi wasiooa mpaka miaka 35 maisha yao ni hopeless hawanaga kitu....ila wale waliopata maendeleo mapema maisha yao yanakuaga na maendeleo mapema.

mfano. kuna Dk mmoja ambae ni DG wa sehemu flani hajaoa na ana miaka karibu 40. maisha yake ni hopeless anaishi nyumba ya kupanga na hana kitu.wala kiwanja japo ameshika nyadhifa mbalimbali nchini.

Nna rafiki Ana 29 na bado anakaa kwao

nna kama Ana 30yrs hajaoa haina sababu ya kukaa nyumba kubwa mpaka leo anaishi chumba kimoja kigeto Geto na mifano mingine kibao.

Ushauri
Wanaume jifunzeni kuoa haraka akili ya mwanamke ina maarifa makubwa yatakayokufanya uendelee haraka. ukijifanya muchknow utaishia ivoivo.

Behind every successfully man there is a women.
Lakin pia ukioa haraka wakat haujajipanga nako sio vizr! Unaweza usioe ukawa in seriously rsh mambo yakaenda asikuambie mtu ukioa utafanikiwa kama mwanamke tu katika uhusiano alikuwa hana msaada wowote zaid ya kuvaa mawigi its just like u a betting!
 
Inategemea unaoa mwanamke wa aina gani...ww wakurupushe watu kuoa wkt siku hizi vimeo vingi.....
 
Back
Top Bottom