Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,621
- 3,514
Tatizo ni kuamini kuwa kuna kanuni za watu kufuata ili maisha yao yatafsiriwe yamefanikiwa.
Ndoa ili ufanikiwe lazima uwe na mke unayeweza kumsikiliza na mwenye hayo mawazo ya kufanikisha
Kumshauri mwanaume ni mpaka autake huo ushauri na uwe na uwezo wa kumshauri kwenye hilo jambo ambalo kwa uzoefu kuna nyumba ndogo pia zimefanikisha waume sp sio suala la kuolewa ni suala na akili,nidhamu na waliokuzunguka ni kina nani
Kuna katabia ka kuona ndoa kama zawadi na mbingu na kusheherekea au kupokea sifa za mume kwa kuwa tu mnaishi nyumba moja. Fanikiwa wewe naye afanikiwe zake zaidi mapenzi na heshima viwepo