Uwezo mdogo wa kufikiri kwa wanaume

Uwezo mdogo wa kufikiri kwa wanaume

Si lazima kuoa ndo kuendelea kwa cc wanaume ila hiyo inatokana na akili ya m2 binafsi katika kujipanga kimaisha kama utaaamua kula bata utajikuta mpaka unazeeka haujajenga na bado unajiona mtt ila ukaaamua kujipanga mapema 2 utafanikiwa na utakuwa umeondoa the most biggest trouble "MARRIAGE"
 
Usimkwaze mkuu, maana najua ingekuwa hivo asingeweza kuchat humu mida hii...... Vijana oeni basiii

Wanawake wa kuoa ndio hawa wenye kufuga kucha vidoleni.

Mwanamke hajui hata kuchemsha chai acha tuendelee kuwa mabachelor tu.
 
Habari Zenu.
Nimegundua kwamba uwezo wa mwanaume kufikiri bila ya mwanamke ni finyu.
Ukiangalia ma senior bachelor wa mjni hawanaga lolote zaidi ya nguo zake za kuvaa na kigari Chake basi. ela yote anamalizia bar na supu za asubuhi. utakuta kijana ni graduate Ana age between 28 hadi 30 hawazi lolote kuhusu maisha eti bado anajiona mtoto.
Wito wangu ni vijana wa mjini muamke, ukishafika miaka 27 wewe ni Mtu Mzima, Anza kujipanga kwa maisha yako. vijana wengi wasiooa mpaka miaka 35 maisha yao ni hopeless hawanaga kitu....ila wale waliopata maendeleo mapema maisha yao yanakuaga na maendeleo mapema.

mfano. kuna Dk mmoja ambae ni DG wa sehemu flani hajaoa na ana miaka karibu 40. maisha yake ni hopeless anaishi nyumba ya kupanga na hana kitu.wala kiwanja japo ameshika nyadhifa mbalimbali nchini.

Nna rafiki Ana 29 na bado anakaa kwao

nna kama Ana 30yrs hajaoa haina sababu ya kukaa nyumba kubwa mpaka leo anaishi chumba kimoja kigeto Geto na mifano mingine kibao.

Ushauri
Wanaume jifunzeni kuoa haraka akili ya mwanamke ina maarifa makubwa yatakayokufanya uendelee haraka. ukijifanya muchknow utaishia ivoivo.

Behind every successfully man there is a women.
Unadhani kuoa ni rahisi kama kujamba eeh! !
 
Tatizo ni kuamini kuwa kuna kanuni za watu kufuata ili maisha yao yatafsiriwe yamefanikiwa.
Ndoa ili ufanikiwe lazima uwe na mke unayeweza kumsikiliza na mwenye hayo mawazo ya kufanikisha

Kumshauri mwanaume ni mpaka autake huo ushauri na uwe na uwezo wa kumshauri kwenye hilo jambo ambalo kwa uzoefu kuna nyumba ndogo pia zimefanikisha waume sp sio suala la kuolewa ni suala na akili,nidhamu na waliokuzunguka ni kina nani

Kuna katabia ka kuona ndoa kama zawadi na mbingu na kusheherekea au kupokea sifa za mume kwa kuwa tu mnaishi nyumba moja. Fanikiwa wewe naye afanikiwe zake zaidi mapenzi na heshima viwepo
Bora haya umeyaona na kuyasema wewe mwanamke mwenzie (kwa mujibu wa avatar). Issue kubwa ya ndoa iko hapo, na siyo tu eti ukioa/ukiolewa ni heshima kwa jamii na mbele za Mungu. Je mko tayari kuishi pamoja na msonge?
 
Mwingine mwanaume anaoa hana kazi yupo kwao nakuzalia kwao hawezi kujichanganya kurafutwa analishwa pamoja na wajukuu mnatuhaibisha wanaume wenzetu ukipita miaka 18 km mtoto wa Kichaga unapewa kijibanda ujue kujitafutia mijianaume mingine ipoipo tu kwenda vijiwenu kupiga porojo mianaume km mabinti
 
Back
Top Bottom