Vita kati ya urusi na Ukraine ni sawa tu na Vita kati ya Dubu na sunguraWakuu hiki ninachokiona youtube na nyie mmeshakiona?
Mbona inaoneka urusi kapeleka jeshi kubwa sana na vifaa karibu vya aina yote mpakani mwa ukraine akdai anawalinda raia waliopo eastern ukraine ambalo ni eneo la ukraine yan lipo ndani ya ukraine...
Tatizo sio kuwa na ubavu!; Bali kitendo cha urusi kuihujumu Ukraine kina Afya??Sasa Hao Nato siwaanze Mashambulizi Kama wanaubavu kweli
Urusi ni Taifa imara anaweza kupambana na Marekani pamoja na washirika wake bila tabu yeyoteWakuu hiki ninachokiona youtube na nyie mmeshakiona?
Mbona inaoneka urusi kapeleka jeshi kubwa sana na vifaa karibu vya aina yote mpakani mwa ukraine akdai anawalinda raia waliopo eastern ukraine ambalo ni eneo la ukraine yan lipo ndani ya ukraine.
Wakati huohuo turkey karuhusu marekani kuptisha jeshi lake hapo kuelekea ukraine huku nato nao wakijiandaa kupeleka majeshi ukraine.
Wakati huohuo huko black sea kumechafuka marekani kapeleka meli 2 za kivita urusi nae kapeleka.
Wakati huohuo nato wamesema wanamsubiri urusi ajaribu kuingia ukraine putin nae kawaonya waache kui support ukraine.
Wakati huohuo turkey naye amesema yuko tyr kui support ukraine vitani.
Je, nani mwngne ameona knachoendelea huko nae aseme.?
mkuu vita ni uchumi na technology acha utan kbs hata knachomfanya myahud awe na kiburi pale mashariki ya kati ni tech na uchumi.Urusi ni Taifa imara anaweza kupambana na Marekani pamoja na washirika wake bila tabu yeyote
Sindio Dunia ilivyo mkuu ,Mbona USA na Washirika wake wameihujumu Iraq , Syria ,Na Lybia ,!?Tatizo sio kuwa na ubavu!; Bali kitendo cha urusi kuihujumu Ukraine kina Afya??
Kwani Ukraine urusi sialishaivamia na kuikalia kimabavu!? (Naomba kufahamishwa)ndo wanamsubiri urusi akanyage aridhi ya ukraine toka hapo mpakan na angeshakanyaga ila nae kshaogopa kwenda
Sababu zina mlingano??Sindio Dunia ilivyo mkuu ,Mbona USA na Washirika wake wameihujumu Iraq , Syria ,Na Lybia ,!?
Mkumbushe miaka michache Urusi alikwapua eneo kubwa tu la Ukraine huku NATO wakipiga kelele kama wafanyavyo sasaKwani Ukraine urusi sialishaivamia na kuikalia kimabavu!? (Naomba kufahamishwa)
Wote wezi tu , Unadhani hizo sababu ulizo ambiwa ndio sahihi !? Wakati zimetungwa na wao wenyewe!?Sababu zina mlingano??
Ndio namshangaaMkumbushe miaka michache Urusi alikwapua eneo kubwa tu la Ukraine huku NATO wakipiga kelele kama wafanyavyo sasa
China nao wanajiandaa kuinyakua Taiwan kibabe
Wathubutu waone mkuu, Urusi alishajiandaa mda mrefu kupambana na hawa watumkuu vita ni uchumi na technology acha utan kbs hata knachomfanya myahud awe na kiburi pale mashariki ya kati ni tech na uchumi.
Urusi ni ngumu sn kushnda vita ikiwa nato na marekan kwel wameamua kupgana vita kamili acha utani kbs
View attachment 1750186
Urusi hatanii Asee! Anataka kuibeba Ukraine nzimanzima kama alivyobeba rasi ya Crimea..
Kwa sasa NATO wanapiga kelele na kujifanya wataisaidia Ukraine ila vita ikianza utawaona kwenye TV wakiongelea vikwazo uchwara