MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,744
- 48,385
Kwenye Tweeter nimeona mbunge wa Tanzania amefanya retweeting ya Joseph Burite anayedai kwamba Tanzania imeibuka na masharti mapya lukuki ambayo hayakuwepo, kwa kifupi wameanza kupoteana na kila mmoja anaongea lugha yake.
Tatizo Watanzania waliachia kila kitu, wakaahidi kila walichoagizwa ilmradi washinde Wakenya, sasa watakua wamepiga mahesabu na kuona wataliwa na Mganda kwa muda mrefu.
Huyo Mganda aje tu atatukuta manyang'au tupo, huu mchezo hautaki hasira, kila siku nawaambia Watanzania biashara haina undugu wala fadhila ila maslahi.
Kwenye biashara unahitaji kuwa mwenye subira kama chui, unapiga mahesabu ya kona zote, juu chini, pembeni, kulia, kushoto, kasi ya upepo, miale ya jua n.k. Unajiridhisha kabla ya kuruka....
[B]Joseph Burite[/B] @[B]JosephBurite[/B]
FollowFollow @JosephBurite
More
Tanzania has revisited concessions it made when signing the crude oil pipeline deal with Uganda in mid-2017,@UpstreamOnline understands. As a result, Total is hinting the route to Kenya's Lamu port could be revived.
Tatizo Watanzania waliachia kila kitu, wakaahidi kila walichoagizwa ilmradi washinde Wakenya, sasa watakua wamepiga mahesabu na kuona wataliwa na Mganda kwa muda mrefu.
Huyo Mganda aje tu atatukuta manyang'au tupo, huu mchezo hautaki hasira, kila siku nawaambia Watanzania biashara haina undugu wala fadhila ila maslahi.
Kwenye biashara unahitaji kuwa mwenye subira kama chui, unapiga mahesabu ya kona zote, juu chini, pembeni, kulia, kushoto, kasi ya upepo, miale ya jua n.k. Unajiridhisha kabla ya kuruka....
[B]Joseph Burite[/B] @[B]JosephBurite[/B]
FollowFollow @JosephBurite
More
Tanzania has revisited concessions it made when signing the crude oil pipeline deal with Uganda in mid-2017,