Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,219
- 79,506
After June 2019 one year behind the schedule! EIA n FEED have already been conducted n agreed upon!Ujenzi unaanza lini,Tanga to hoima ?
After June 2019 one year behind the schedule! EIA n FEED have already been conducted n agreed upon!Ujenzi unaanza lini,Tanga to hoima ?
Si ulitukurupukia hapa na bandari za Bagamoyo, SGR, Dreamliner kutua Mumbai October tukaingia November sasa tupo December ukahamisha magoli hadi January 2019? Sasa ni wazi kuwa nyinyi ni waongo kwa kuwa hamna meaningful project mnakamilisha.After June 2019 one year behind the schedule! EIA n FEED have already been conducted n agreed upon!
Hakuna haja ya kungoja milele kufanya kitu alafu bado kifeli.... Afadhali ujaribu ushindwe sahii ili next time ukijaribu tena unajua kipi usifanye....
Hii ndo maana unakuta hadi wa leo Kenya inaongoza hapa EA,..... Wakati nchi kama kama zenu hua zinangojea wengine wajaribu alafu wakiona matokeo ndo pia nyinyi mwafanya, Kenya ni nchi ambayo ndo itakua ya kwanza kujaribu.... That is not blind aggressive... Its just a need to see things get done!
Zote zinafanya kaziBure kabisa.
Bure kabisa.Zote zinafanya kazi
Mtwara Gas pipe line feeds
Kinyerzi 1 150MW plant
Kinyerezi 2 240 MW plant
It will feed Kinyerezi 1 extension 185Mw
And Kinyerezi 3 n 4 600mw and 450mw once online
It feeds alot of industires in Coast region
Songosongo gas pipeline
Feeds
Ubungo 1 and 2 100 mw 180mw respectively
Twiga cement industry 40mw plants
Ukifwata Twitter handle ya M7 utagundua kwamba ako na promises nyingi sana, alafu anacomment kuhusu kila kitu anachoona (which is good) lakini pia ni kama baadae anasahau... E.g anapita kijiji flani anaona watu wanapata shida kuvuka mto, anaahidi Kwa Twitter watajengewa daraja, anapita kijiji chengine anaahidi shida Yao itatatuliwa... Mpaka mwisho haujui ufwatilie ahidi ipi... Alafu mwaka mmoja baadae hakuna kitu limefanyika.....you are always speaking with facts and figures, what's wrong with you today!!?
And bagamoyo 3020.A thousand years opposite of behind the scheduleAfter June 2019 one year behind the schedule! EIA n FEED have already been conducted n agreed upon!
Udenda unawatoka kama fisi, wapambane na njaa kwanzaHili bomba nalo lijengwe tu
Maana Wakenya linawauma kweli kweli
And bagamoyo 3020.A thousand years opposite of behind the schedule