Wakuu,
Katika kutembea huku na kule kwa hapa Afrika mashariki nimejaribu kupima uelewa wa wananchi wa karibu nchi zote naona wakenya wanaongoza halafu waganda na wanyarwanda hufuatia.
Kwanza naangalia vijana wa hizo nchi kila utakapokutana nao kwenye utafutaji basi mnakua tofauti kabisa kwa mfano ukimkuta mkenya, mganda na mnyarwanda pale afrika kusini, basi wengi wao wameajiriwa kwenye makampuni au wanamiliki kampuni zao au wanabiashara zao wanapambana nazo na sio biashara za madawa ya kulevya au wizi kama wabongo.
Mataifa hayo pia yako mbele kwenye teknolojia kuliko kawaida na hiyo huwafanya kupenya sehemu nyingi kwenye mataifa mengine ndani ya afrika mashariki na kupiga pesa isio ya kawaida.
Ukijaribu kuangalia hata viongozi wao miradi wanayatekeleza kuanzia barabara, flyovers, viwanja vya ndege, shule zao wanajenga kweli vitu vya kueleweka hapo utajua kabisa jamaa hao wako serious sana na maisha.
Kundi linalofiatia kwa uwezo wa kufikiri kuanzia wananchi hadi viongozi wao ni Tanzania, Burundi, Sudani kusini, Congo DRC, hao ndio wale wa vuta ni kuvute, yaani kuna muda fikra zinakuepo na kuna muda zinapotea na mataifa hayo ndio utajionea maajabu yaani hata wananchi wake hufuatilia sana mambo yasiyo na umuhimu kwenye maisha ya kila siku yaani wanasubiri kudra za mwenyezi Mungu.
Mfano: maswali utakayoulizwa na mwandishi wa habari wa kenya, Rwanda na Uganda lazima yawe na logic sana lakini waandishi wa kundi la pili ukisikiliza mahojiano yao zaidi ya kuchekacheka na kuuliza petty questions hamna cha zaidi.