Uwepo wa ATCL haujaleta unafuu wowote kwa Mtanzania

Nimeshtuka sana leo hii nilipofanya booking online (tena tarehe ya mbali) kwenda Mwanza na nilishikwa na taharuki kuona bei ikiwa ni zaidi ya laki sita.

Kweli nia ya kufufua (na wakati mwingine kuyadhibiti mashirika binafsi) ilikuwa kutuumiza kiasi hiki? Yale masifa ya nyimbo na mapambio kweli waimbaji walikuwa wanajua wanachoshangilia au ni mkumbo tuu? Bila kuingilia kati ATCL itaushindwa ushindani wa biashara. Nimewaza si bora kutumia gari binafsi au kutafuta basi bora kabisa na kusafiri siku moja kabla ili kuwahi shughuli hata kama ratiba itaharibika?

View attachment 1260217
Ukiona unalamikia nauli laki 6 kwenda Mwanza ujue hujafikia kupanda ndege. Wewe endelea kukwea KISBO aka Kangi L. Ndege waachie wenye uwezo
 
Bei haiwezi kupungua kama serikali inaua competition kwenye biashara, inajenga monopoly kwa nguvu, na inatafuta faida ili ionekane imefanya jambo la maana kisiasa.

Katika kanuni za classical economics, monopoly ni adui wa kushuka kwa bei.

Shirika la usafiri wa ndege likiwa moja, litakuwa na incentive gani ya kupunguza bei za tiketi?
Nimekumbuka kipindi kile kampuni ya simu ilikua ni ttcl peke yake, wananchi tuliteseka sana kwa gharama ya kupata huduma ya simu.
Kama kweli serikali ina nia ya kuwasaidia wananchi wake basi haina budi kuondoa monopolies kwenye huduma zote kuanzia usafiri, umeme, maji n.k
 
Nimeshtuka sana leo hii nilipofanya booking online (tena tarehe ya mbali) kwenda Mwanza na nilishikwa na taharuki kuona bei ikiwa ni zaidi ya laki sita.

Kweli nia ya kufufua (na wakati mwingine kuyadhibiti mashirika binafsi) ilikuwa kutuumiza kiasi hiki? Yale masifa ya nyimbo na mapambio kweli waimbaji walikuwa wanajua wanachoshangilia au ni mkumbo tuu? Bila kuingilia kati ATCL itaushindwa ushindani wa biashara. Nimewaza si bora kutumia gari binafsi au kutafuta basi bora kabisa na kusafiri siku moja kabla ili kuwahi shughuli hata kama ratiba itaharibika?

View attachment 1260217
Ndugu yangu, huu ni msimu wa mwisho wa mwaka na huwa hivi hata usafiri wa barabarani. Demand ni kubwa kuliko supply. Wiki mbili zilizopita nililipa Ts 388,500 kwenda Bukoba.
 
Nimewakumbuka wale wananchi wa kule Mpanda waliokua wanashangilia walipoambiwa ATCL itakuja kufanya shughuli zake huko,sijui wataweza ku-afford hio nauli?
 
Pole kwa TAHARUKI ulioipata.
atcl.JPG
 
Ukiona unalamikia nauli laki 6 kwenda Mwanza ujue hujafikia kupanda ndege. Wewe endelea kukwea KISBO aka Kangi L. Ndege waachie wenye uwezo
Akili maandazi kweli hizi! Ndio kiwango chako cha kufanya maamuzi?
 
Nenda kaisuze kwanza urudi machimboni wakaitumie tena, wewe ni chakula ya wanaume na utaendelea kuwa chakula cha wanaume.

ATCL, na serikali hii itaendelea kuwepo utakufa na kuiacha..

😅😅😅kwamba??haya nakuacha!...najua una pitia magumu.. Sina hata shid kufatilia unayocomment!yaan walaaa!..raha tupuuu..narahatupika tu mie manengelo
 
Back
Top Bottom