stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,386
- 3,495
Wewe kichwani mwako ni vumbi tupu. Gereji kwa ndege ni kawaida sana. Sawa na mabasi ya dar to mwanza kila ikifika lazima ifanyiwe check up,sasa bila sevice itakuwa chombo gani hicho? hata hizi ATCL kila mara ziko gereji,nani asiejua?,na ndio uhai wa hicho chombo. Halafu umesema wananchi wengi hawafuatilii sana sevice za ndege?. Kwa hiyo wewe ndio mfuatiliaji wa sevice zinavyofanyiwa wa ndege zote?. (Kamdanganye mkeo). Kuhusu precision kutoshusha bei sawa na fast jet,huo ndio ushindani wa kibiashara,huyu anauza hivi na huyu anauza hivi. Kwa fast jet aliwakamata ipasavyo ndio maana mkaamua kumkimbiza. Na kuhusu usalama sikuwahi kusikia matatizo ya fast jet kama matatizo ninayoyasikia kwa sasa ATCL. Hata kubadirisha ratiba za safari bila mpango. Ndege kugeuzia singida kurudi mwanza sababu ya hitilafu kwenye engine ndio matatizo ya kila wakati sasa. KWA TAARIFA YAKO KIPINDI MNAINYIMA LESEN NDIO MUDA AMBAO TAYARI WALIKUWA WAMEAGIZA NDEGE ZINGINE MPYA ILI KUSHINDANA VIZURI
sasa mm na wewe nan kichwan vumbi, unajaza maneno mengi nmekuambia toa ushahidi toa evidence, maneno mengi hakuna hata kimoja kinaonyesha we ni mtu unajua unachoongea: taarifa zote za fast jet zipo, barua zote zipo, madeni yao yote yapo, we endelea kupiga kelele