Uwepo wa ATCL haujaleta unafuu wowote kwa Mtanzania

Nimejaribu kumuelimisha haelewi mpaka anadhani nina chuki binafsi. Watu wa aina hiyo ni kumuachia Mungu atakapo mpenda zaidi.
Nilifikiri niko peke yangu. Yaani huyu dogo hata ukimuambia wagombea wote wa CHADEMA hawajui kujaza fom atakuamini mia kwa mia
 
Hio mbona ni kawaida, hua kunakuaga na kitu kinaitwa seasons kwenye airlines business, kuanzia october apo mpaka february mwishon most planes bei zao znakuaga juu: kufidia miezi iliopita, then ndo inaanza ile miezi ya kupanda kwa bei ya punguzo apo katikati alafu the route goes ivo ivo the next year
 
Nimekumbuka kipindi kile kampuni ya simu ilikua ni ttcl peke yake, wananchi tuliteseka sana kwa gharama ya kupata huduma ya simu.
Kama kweli serikali ina nia ua kuwasaidia wananchi wake basi haina budi kuondoa monopolies kwenye huduma zote kuanzia usafiri, umeme, maji n.k

hakuna mtu amewekewa monopoly, mashrika bado yapo mengi: precesion air mbna inaoperate na ina safari za dar to mwanza, na kuna mashirika mengine ila ni madogo
 
Nimewakumbuka wale wananchi wa kule Mpanda waliokua wanashangilia walipoambiwa ATCL itakuja kufanya shughuli zake huko,sijui wataweza ku-afford hio nauli?

sio kila mtu anatakiwa kupanda ndo imaanishe umefaidika nayo: mwingine anaweza tumia kusafirisha mizigo opportunities ni nyingi from just from it, kama uwezo wako wa kupanda haujafika just be patient and work more hard, there are even more expensive things than tha ticket, health.. etc
 
Mwananchi wa mpanda mwenye uwezo wa kusafirisha mizigo kupitia ndege?

Hahah hujawakuta wamejazwa kwny treni 3rd class na vifurushi vyao humo humo.

kwani shida iko wap? the world cant be the same: lazima kue na gap, kuna mtu anaweza kukaa mpanda na akawa anasafiri kwa ndege na kuna mtu anaweza akawa anakaa dar hata nauli ya daladala hana
 
Ila nauli za ATCL ni kubwa hata kama sio season ya watu kusafiri sana sijui shida nin
 
Nimeshtuka sana leo hii nilipofanya booking online (tena tarehe ya mbali) kwenda Mwanza na nilishikwa na taharuki kuona bei ikiwa ni zaidi ya laki sita.

Kweli nia ya kufufua (na wakati mwingine kuyadhibiti mashirika binafsi) ilikuwa kutuumiza kiasi hiki? Yale masifa ya nyimbo na mapambio kweli waimbaji walikuwa wanajua wanachoshangilia au ni mkumbo tuu? Bila kuingilia kati ATCL itaushindwa ushindani wa biashara.

Nimewaza si bora kutumia gari binafsi au kutafuta basi bora kabisa na kusafiri siku moja kabla ili kuwahi shughuli hata kama ratiba itaharibika?

View attachment 1260217
Uwekezaji wowote matarajio yake ni ya mbeleni huko shuleni mnaendaga kusomea ujinga
 
Hio mbona ni kawaida, hua kunakuaga na kitu kinaitwa seasons kwenye airlines business, kuanzia october apo mpaka february mwishon most planes bei zao znakuaga juu: kufidia miezi iliopita, then ndo inaanza ile miezi ya kupanda kwa bei ya punguzo apo katikati alafu the route goes ivo ivo the next year
Nakubaliana nawe hizi seasons zipo. Lakini inakuwaje hiyo season iwe tu kwa ATCL na kwingine tofauti? Tazama sasa bei niliyopata ya Precision Air haizidi laki tatu kwa tarehe hiyo hiyo!
Nani ataenda ATCL kama sio wale wanaolipiwa na serikali na mashirika ya umma wanaolazimishwa kutumia ndege hizo?
Screenshot_20191111-142005.jpeg
 
Lazima pesa ya kujaza mafuta kwenye dreamliner na kuwalipa air hostages ipatikane kwa namna yoyote ile, piga, ua garagaza..
 
Nakubaliana nawe hizi seasons zipo. Lakini inakuwaje hiyo season iwe tu kwa ATCL na kwingine tofauti? Tazama sasa bei niliyopata ya Precision Air haizidi laki tatu kwa tarehe hiyo hiyo!
Nani ataenda ATCL kama sio wale wanaolipiwa na serikali na mashirika ya umma wanaolazimishwa kutumia ndege hizo?View attachment 1260420

1573519743934.png
 
Ila nauli za ATCL ni kubwa hata kama sio season ya watu kusafiri sana sijui shida nin

a quality air travel sio cheap, fast jet ukiachana na zile connection za kukimbia kodi it wasnt reliable at all: no one knew how they serviced there planes, ni kama kenya kuna shirika flan linaitwa silver stone, bei nafuu sana kuliko kenya airways, kwa mda mrefu sana watu walipenda sana bei zao kwa kua ni cheap but baada ya mda zikaanza kuanguka mara kwa mara mpaka zimefungiwa kufanya safari tena, its understandable we africans choose quantity over quality but in some cases it makes sense on quality especially upande wa uhai: air travel sio cheap
 
Hilo linajulikana ila si kwa laki6 nilikuwa naona fast jet inaenda hadi laki mbili na nusu ila hii Mara tatu yake hizi ndege naona zinapata hasara ndyo maana wanafidia kwa staili hiyoo
Hio mbona ni kawaida, hua kunakuaga na kitu kinaitwa seasons kwenye airlines business, kuanzia october apo mpaka february mwishon most planes bei zao znakuaga juu: kufidia miezi iliopita, then ndo inaanza ile miezi ya kupanda kwa bei ya punguzo apo katikati alafu the route goes ivo ivo the next year
 
Hilo linajulikana ila si kwa laki6 nilikuwa naona fast jet inaenda hadi laki mbili na nusu ila hii Mara tatu yake hizi ndege naona zinapata hasara ndyo maana wanafidia kwa staili hiyoo
Mbona bei nimeleta hapo ni laki tatu. Precision Laki nne
 
Mkuu hiyo ni peak season wanao safiri ni wengi paka january 2020.......ndowakati wakufidia hasara za shirika kwenye low season
Hata kama ingekua sio msimu wa peak bei bado ni kubwa, tangu august bei ilikua kwenye lak 3 na haijashuka, imagine fastjet ulikua ukikata mwezi kabla ya safari bei ilikua 176000 maximum, hii ndege ya wanyonge bei ipo juu sana. Hakuna ushindani wa kibiashara ndio maana wanaweka bei watakazo
 
Back
Top Bottom