Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

Mkuu naomba ukae kimya kwasababu inaonekana dhana ya uwajibikaji imekuzidi kipimo.
aduwilly
Inaelekea uwezo wako ni mdogo ktk mambo ya mgt. Swala la kujiuzulu kwa lowasa na kusitokee mabadiliko haitoi msamaha kwa wakosaji wengine kutojiuzuru ktk nyadhifa zao. Kama hakukutokea changes baada ya lowasa kujihuzulu hayo unajua mwenyewe kwa sababu inategemea ni namna gani unapima mabadiliko kwa metrics gani.
 
Last edited by a moderator:
Joshi, NKM stands for Nehemiah Kyando Mchechu, and in future when you see such an ID just know that it's Mchechu responding on issues or commenting! I am not a person who will hide is ID since I believe in truth and transparent! Neither do you have so many people at my level in Public Sector and non political who stands by their ID's.

Just to prove you wrong I am now at the accident scene as I am writing to you and we are not more than 70 people, and I was hear yesterday up until 01:30am! I am following through all the comments in different threads, actually I have always been a good follower of JamiiForums but I was never a contributor! I think the series of threads which most are misleading without facts have pushed me to consider responding to all these issues. However, by obviously fact I do not expect to become an active member on contributions!

For now I have opted to focus on the task at hand here at the accident scene, and I will try to respond on these few in a very brief in the coming two days either by posting a thread or by calling a press conference where you can come and ask as many questions as you want and we will respond to all of them and I hope it Will be at your satisfactory level and to others as well! There is nothing to hide here, no politics, no partisans side and no blax2! I am sure the press conference has always enough participants who are members of JamiiForums and they gone through all the posted comments and certainly they will be looking for answers by asking the same sort of questions!

Thanks and stay relaxed till then!

?

Amandla.........
 
Mchechu anapaswa kuwajibishwa ila kwa makubwa aliyofanya NHC mwache aendelee tu cause nchi hii watu kama yeye ni wachache sana afterall kuna mengi sana yametokea na makubwa kuliko hayo mf mabomu na hakuna aliyewajibishwa mwacheni aendelee tu kupiga kazi hii nchi bado ni ya hovyo sana inahitaji overhauling kubwa mno kumwondoa mchechu sasa hivi ni kumwonea tu mwache aendelee kula kamuhogo kake bwana
 
NKM....mkuu jitihada zako za kufufua maiti(NHC) zinaonekana na sasa inapiga chafya..haya ni maajabu makubwa tunakupongeza

Swali langu moja..ni vipi pale Shekilango muwaongezee adha wapangaji wenu kwa kuwajengea ghorofa kati ya ghorofa?

Wapaki wp magari?watoto wao wacheze wapi? Nguo waanike wapi? Na majanga kama moto yakitokea hali itakuwaje maana hata gari ya Fire & rescue haitaweza kuingia

Je hamna viwanja vipya au vya zamani venye nafasi hata nje ya jiji mkaviendeleza kuliko kuchafua jiji namna ile? Kumiliki vile viwanja sio maana yake lazima uvijenge!!!

kwa ahadi yako kuwa utajibu ukiwa na wasaa naomba hili pia lijibu katika press conference kwa ufasaha

 
Joshi, NKM stands for Nehemiah Kyando Mchechu, and in future when you see such an ID just know that it's Mchechu responding on issues or commenting! I am not a person who will hide is ID since I believe in truth and transparent! Neither do you have so many people at my level in Public Sector and non political who stands by their ID's.

Just to prove you wrong I am now at the accident scene as I am writing to you and we are not more than 70 people, and I was hear yesterday up until 01:30am! I am following through all the comments in different threads, actually I have always been a good follower of JamiiForums but I was never a contributor! I think the series of threads which most are misleading without facts have pushed me to consider responding to all these issues. However, by obviously fact I do not expect to become an active member on contributions!

For now I have opted to focus on the task at hand here at the accident scene, and I will try to respond on these few in a very brief in the coming two days either by posting a thread or by calling a press conference where you can come and ask as many questions as you want and we will respond to all of them and I hope it Will be at your satisfactory level and to others as well! There is nothing to hide here, no politics, no partisans side and no blax2! I am sure the press conference has always enough participants who are members of JamiiForums and they gone through all the posted comments and certainly they will be looking for answers by asking the same sort of questions!

Thanks and stay relaxed till then!


Mchechu aka NKM,

Shukran kwa kuja kwenye jukwaa hili na karibu JF.

Nianze kwa kukutaka radhi kwa kauli yangu kuwa hujafika eneo la tukio ilhali umeshafika mara mbili, hii inatokana uwepo wako kutoripotiwa na vyombo vyetu vya habari ambavyo wengi ndio tunategemea kuhabarishwa navyo.

Tuingie kwenye somo husika sasa, kwa kuwa umedai kwa sasa unashughulika na zoezi la uokoaji na utatoa majibu ya kadhia yote ndani ya siku 2, ama kuanzisha thread hapa au kuitisha mkutano na waandishi wa habari. Ombi langu kwako ni wengine hapa sio waandishi wa habari na wala hatuna press card za kuingia katika mikutano hiyo, jukwaa letu ni JF na kwa kuwa umeamua kujisajiri hapa naomba majibu ya maswali yangu hapa hapa JF. Nina maswali yafuatayo;

1. Mkataba wenu na Ndugu Ladha ni kujenga ghorofa 10 na kibali kilichotolewa na Manispaa ya Ilala ni ujenzi wa ghorofa kumi. Je imekuwaje zikajengwa ghorofa 16? Je hamkulijua hilo?

2. Hisa zenu ni 25% na Mr Ladha 75% je hii hesabu 25% yenu imekokotolewa kutoka kwenye ghorofa 10 au 16?

3. Ikiwa (namba 2 hapo juu ) jibu ni hesabu imekokotolewa kutoka kwenye ghorofa 10 ina maana mmedhulumiwa ghorofa 6 kwenye mapato hence kwa nini tusiite mikataba yako na Mr Ladha ni sawa na ile ya Sultan Mangungu wa Msovero na Karl Peters?

4. Ikiwa ( namba 2 hapo juu ) jibu ni hesabu imekokotolewa kutoka kwenye ghorofa 16 ina maana umeshiriki katika kupindisha sheria na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 20 kwa nini usiwajibike na kufunguliwa mashtaka ya kuuwa bila kukusudia?

5. Inakuwaje nyumba ambazo Marehemu Mwalimu Nyerere alizitaifisha kutoka kwa wahindi ili watu wakipato cha chini wapate makazi wewe na genge lako mnaziuza kwa bei chee (throw away price) kwa wahindi hao hao kwa kwa jina la "ubia" wa 25%?

6. Hivi pamoja na usomi wako wote na jopo la wataalam wa real estate hapo NHC, role yenu kwenye so called "ubia" inaishia kutoa kiwanja tu halafu mnaacha mtu afanye atakavyo hata akijenga ghorofa ni mitete na matope haliwahusu?

7. Pale kariakoo kuna nyumba nyingi za watu binafsi zinajengwa kwa "ubia" mikataba yao si ya ki Karl Peters kama ya kwako, kuna wengine wanatoa kiwanja "mwekezaji" anajenga na kulitumia jengo say kwa miaka 10 au 15 baadae linarudi kwa mwenye kiwanja, wakati huo huo ndani ya kipindi hicho anapewa frame za maduka 2 au 3 na floor kadhaa. Je kwa nini usiende kujifunza kutoka huko? (assuming utaendelea kuwepo kwani kama alivyosema Fundi Mchundo usiwe na khofu watatolewa kafara vidagaa ninyi mpapa mtaachwa)

8. Based on the above, kwa nini usijiuzulu na kufunguliwa mashtaka?
 
wewe hujui biashara kabisa sio kila kitu lazima ukariri..soma biashara ya real estate...kati ya business ya kujenga nyumba na kuuza na kujenga nyumba na kurent ipi profitable ndo uje uandike ----- wako hapa! watu wanatumia akili , nehemia ni jembe muacheni miaka elfu..lala huko


Kama ni "jembe" aende akafukie kifusi alichowafunika ndugu zetu tunataka kuwazika wenyewe.
 
Kanji,
Kukimbilia kuhukumu bila kulielewa tatizo unaweza usitatue chochote. Hapa tatizo sio mkataba, bali ni ujenzi mbovu, material dhaifu, design mbovu au mchanganyiko wa hivyo nilivyotaja. Kwa hiyo watu wanaotakiwa kuwa wa kwanza kuminywa ni Mjengaji (Contractor), Msimamiaji wa ujenzi (Project/Resident Engineer/Consultant), Archtect, Structural Engineer, idara ya ujenzi NHC, City Engineer na wengine wengi wanaohusika moja kwa moja na ubora wa jengo kitaaluma.

Mchechu na wengine wasiohusika na ujenzi moja kwa moja kitaaluma, wao zamu yao itakuja baada ya uchunguzi wa nini kilichoangusha jengo kujulikana. Ushirikiano kwenye uwekezaji wa miradi ya NHC sio ulioangusha jengo. Lakini kama ujenzi na usimamizi ungekuwa ni huu huu, basi hili lingetokea hata kama pesa ya ujenzi ingekuwa ya NHC peke yake.

Mkuu KJ

Tatizo ni mikataba, mikataba ndio inazaa hayo mengine yote. Hebu niambie unaingia mkataba wa janja wajanja wa mjini unategemea nini?
 
Ndugu mleta mada naona unakurupuka sana, hoja yako labda ni nzuri lakini tatizo linalokusibu ni namna ya kuwasilisha hoja yako kwa ma-GT, vilevile nimegundua hujui mambo mengi sana kuhusu NHC wala sakata zima la tukio la kuporomoka kwa jengo.

Siku nyingine ukitaka kuleta mada hakikisha huwe full equipped, lakini hata hujui bwana Mchechu kaingia lini NHC (naona hapo umeandika heti kaingia 2007, what a shame), hujui NHC ina kesi ngapi mahakamani za kutengua mikataba ambayo ilikuwa haina manufaa kwa shirika na umma kwa ujumla, ambayo ilisainiwa na menejimenti ya kabla yake bwana Mchechu.

NHC ana ubia wa asilimia 25 tu kwenye hilo jengo, kwa maana ya kwamba wao ndio wenye kiwanja ila mwendelezaji ana miliki asilimia 75, zinamfanya yeye hawe na majority share, na katika maamuzi mwendelezaji huyu (ambae sio NHC) ana nguvu na mamlaka zaidi. Hapa unaweza kuona jukumu la kutafuta vibali na wataalamu lote analo mmiliki.

Katika kutafuta mtu wa kuwajibishwa hapa, NHC haihusiki hata kidogo, lakini mmiliki kwa kuwa amefanya negligance that had lead to death toll, yeye ndio awajibike kwa 100%, baadae wafatie hao wataalamu.

Mkuu NHC wana kesi ngapi mahakamani sio mada inayo jadiliwa hapa, ukisikia kukurupuka ndio huko sasa.

Umenena vizuri nani anapaswa kuwajibika pitia tena post yako na read btw the lines majibu yamo kwenye nyekundu
 
Umejitahidi lakini kwa bahati mbaya hakwepi kuhusishwa. Mimi sijui ameingia lini lakini tuseme ameingia 2008. Kama ni hivyo ni miaka zaidi ya mitano ambapo ameshika usukani. Moja ya jukumu lake lingekuwa kupitia mikataba yote ya ubia na kuangalia "exposure" ya shirika lake. Alitakiwa ajue kuwa kama mbia atavuna mabaya na mazuri yanayotokana na joint venture hizo. Alitakiwa kuhakikisha kuwa jengo lolote linalojengwa kwa ubia na shirika lake linajengwa kwa viwango vinavyotakiwa na ubora unaostahili. Hawezi kusema kuwa yeye kama mbia hakujua kuwa ingawa jengo liliongezwa ghorofa zaidi ya zile walizokubaliana mwanzo. Ukweli ni kuwa washitiri wa mradi huu, yaani Ladha Construction na NHC ndio wawajibikaji wa kwanza. Kwa vile Msechu ndie anayeiongoza NHC kwa wakati huu basi na yeye anatakiwa awajibike. Lakini usiwe na hofu, haitatokea katika nchi yetu. Watashikwa vidagaa, itaundwa tume halafu tutasahau mpaka litakapoanguka jengo lingine.

Amandla......

Co-sign
 
Kwani joint venture contract ya NHC inasemaje?
NHC akishafanya contract na Client mwenzake haruhusiwi/hatakiwi kuhusika au kujua lolote linaloendelea ktk ujenzi kwasababu wameingia joint kwahiyo NHC nae ni Client. Inakuwaje hapo NHC hahusiki?
 
Mleta mada una wivu na chuki kwa nehemia mchechu,kwa mfano unavosema tangu jengo lidondoke hajafika eneo la ajali unadhihirisha uongo wa hali ya juu!kwa taarifa tu bodi ya wakurugenzi ya NHC imekuwa site hadi saa 7 usiku siku ya ajali hata jana pia.lakini pia katika partnership kati ya mwenye jengo na NHC ni kwamba shirika linatoa kiwanja tu ambacho ni 25% ya hisa na km una ujuzi kdg kuhusu hisa haitakupa tabu kugundua nani ana maamuzi makubwa katka huo ubia

Naomba jibu wewe mwenye weledi wa mambo ya hisa 25% ya ghorofa 10 au 16?
 
Are you serious? Walipoingia makubaliano yalikuwa ya kujenga jengo la aina gani, ukubwa gani na ghorofa ngapi? Unataka kuniambia hawakupewa hata michoro, bills of quantities, mkataba wa ujenzi n.k.? Sasa kama hawakupewa vyote hivyo wangejuwaje thamani ya hiyo asimilia 25? Au na yenyewe walingojea Ladha awaambie? Yote haya ni maswali ya kujiuliza.

Kama NHC, ambaye alikuwa na asilimia 25 ya hisa katika jengo alimuachia mwenzake afanye atakavyo basi alikuwa mzembe wa kutupwa. Kuwa na asilimia ndogo hakukuzuii kuwa na mikutano na mbia mwenzako na kuhoji utendaji wake. Hili lilifanyika? NHC ina wataalamu wa ujenzi (tusisahau kuwa ni washauri na makandarasi pia), je walikuwa wanahudhuria mikutano ya sait? Je walikuwa wanapewa ripoti ya maendeleo ya mradi? Kama walikuwa hawapewi, waliwahi kudai? Waliwahi kutuma wataalamu wao sait wakafukuzwa kwa sababu wana hisa kiduchu?

Na hili ni fundisho kwa wale wote wanaoingia ubia wa kupatiwa viji-apartment Upanga. Janga likitokea utahusishwa moja kwa moja kwa hiyo ni bora udai kushirikishwa kikamilifu katika ujenzi wa jengo lenu ama sivyo ujitoe katika ubia, chukua kiwanja chako umuachie jengo.

Amandla........

...... ukisema unaambiwa "una chuki binafsi"
 
Mchechu anapaswa kuwajibishwa ila kwa makubwa aliyofanya NHC mwache aendelee tu cause nchi hii watu kama yeye ni wachache sana afterall kuna mengi sana yametokea na makubwa kuliko hayo mf mabomu na hakuna aliyewajibishwa mwacheni aendelee tu kupiga kazi hii nchi bado ni ya hovyo sana inahitaji overhauling kubwa mno kumwondoa mchechu sasa hivi ni kumwonea tu mwache aendelee kula kamuhogo kake bwana


Are you serious? kwa hiyo Ladha nae anaonewa kwa sababu nchii hii "hovyo sana'
 
NKM,

Karibu sana jamvini. Pili mie kwa ushauri wangu wa bure ni kuwa jadili jambo bila ya kubeza mtu au kitu.

Umesema unapenda kuwa muwazi na mkweli which I think it is admirable but you have to understand that some issues pertaining to NHC in this saga have to be answered by your organisation. Moreover, I urged you to set up a team to reveiw all the contracts if you have not done so as it appears you are either being misled by these so called investors or cooperate with these investors to mislead the stakeholders of your organisation (which is us). Perhaps, you can provide us with a comprehensive report on the entire issue to put things clear.
 
NHC kama Client anahusika bse mtu hawezi pewa kibali cha kujenga ghorofa 10 then yeye akaextend mpaka ghorofa ya 16 bila NHC kujua tena NHC ya Msechu as ile NHC ya zamani ilitoa kibali cha 10 ghorofa hii ya sasa wakaextend bila kufanya tathmini ya huo msingi kama ungeweza himili mzigo designed for 10 storey now resting on 16 storey building
 
Are you serious? kwa hiyo Ladha nae anaonewa kwa sababu nchii hii "hovyo sana'
Sabayi
Haya ya kutetea Mchechu eti amefanya makubwa NHC ndio yaliyoifikisha hapa tulipo tz. Watu kama mchechu wapo wengi nchi tena wazalendo zaidi yake!. Ni opportunity tu alipewa huyu bwana Mchechu, anaweza kuja mtz mwingine na kufanya makubwa zaidi yake. Tatizo letu wabongo ni uzembe wa kufikiri. Huyu mtu lazima awajibike.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,

Kama una chuki binafsi na mchechu sema but hoja yako haina mashiko. Mchechu ameingia after 2007 na ameinadilisha shirika lililokuwa mbioni kufa sasa wanatembelea hilux kwenye kazi zao. Pia hoja yako haina mashiko kwasababu mkataba wa kujenga lile jengo ulifungwa mwaka 2006, sasa Nehemiah Mchechu anahusikaje? Mie namtetea labda ulete sababu zenye mashiko but hii sio mkuu.


Huyu mkurugenzi wa NHC awe accountable kwa ile mikataba ambayo imesainiwa akiwa amekwisha teuliwa ; kama aliteuliwa mwaka 2007 na mkataba wa ubia wakujenga hilo ghorofa lililopomoka uliingiwa 2006 then hana hatia!! Maadam hili janga limetokea ni vyema huyu huyu Mchechu achukue jukumu la kupitia upya ile mikataba inayotekelezwa ambayo aliikuta na kuhakikisha kuwa mapungufu yanayoweza kutuletea majanga yanarekebishwa kwani kasi ya ujenzi wa haya maghorofa ya ubia kati ya NHC na wahindi hapo CBD inatisha!!
 
Back
Top Bottom