Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

Mkuu,

Kama una chuki binafsi na mchechu sema but hoja yako haina mashiko. Mchechu ameingia after 2007 na ameinadilisha shirika lililokuwa mbioni kufa sasa wanatembelea hilux kwenye kazi zao. Pia hoja yako haina mashiko kwasababu mkataba wa kujenga lile jengo ulifungwa mwaka 2006, sasa Nehemiah Mchechu anahusikaje? Mie namtetea labda ulete sababu zenye mashiko but hii sio mkuu.
Mdondoaji
Nafikiri nawe umekurupuka au lengo lako ni kutetea bila kujua hoja ya mwenzio. Swala la nehemia hakuwepo wakati wa kufunga mkataba wa jengo halina msingi na mantiki hata kidogo. Ni jukumu la kiongozi kujua mikataba yote ya sasa na zamani ili aweze kujua mapungufu au mazuri yaliyomo ktk mikataba ya zamani kwa lengo la kijifunza. Mchechu hawezi kukwepa kuwajibika kwa hili hata ukimtetea namna gani. Haiwezekani mtendaji mkuu kama yeye asijue makosa yaliyokuwa yakiendelea kufanyika ktk jengo hili kwani dalili za kuanguka na ujenzi kiwango cha chini vilikuwa vikionekana hata kwa wapita njia. Watu hawa wangeweza hata kufunguliwa hata kesi ya mauaji! Ndugu yangu unaweza kutetea huyo nehemia kwa nguvu zako hadi mapofu yakakutoka lkn hayo yote ni matokeo ya mdudu "rushwa" anayelitafuna taifa letu. Rushwa italiangamiza taifa letu kama tukiendelea kuficha madhala yake kama afanyavyo mbuni afichapo kichwa chake ndani ya mabawa akidhani haonekani!
 
Last edited by a moderator:

Sawa I understand but umejuaje amepokea rushwa? Na umefahamuje alipoingia hakuipitia hiyo mikataba? Kama unazo evidence kujibu maswali yangu Niko pamoja nawe mkuu.
 
Mkuu haihitaji kuwa rocket scientist kujua kama kuna rushwa kubwa kwenye mkataba huu. Kwa maelezo ya NHC wenyewe pamoja na kutoa kiwanja ( kati kati ya jiji ) wao umiliki wao ni 25% tu ya jengo. Kabla ya hapo kulikuwa na jengo la ghorofa saba likimilikiwa na NHC exclusively. Limebomolewa kupisha "ubia" wa kimagumashi.

Hata mkimpaka rangi vipi Mchechu has to go....
 
Watu wanavyocheza na media basi woote mnadanganyika, hivi wewe uliweza kununua apartment pale shekilango? if yes basi unaweza kuwa na majengi kadhaa hapa mjini. Mchechu anawaburuza nanyi basi mnaingia, vijana wetu mfanoi graduates watakuja kupanga wapi? au ndo wakapange sinza kodi laki saba wakati mshahara laki nne. baada ya muda NHC itakuwa inamiliki nini? au ndo yaleyale mawaziri wanakaa quarter za pale kijitonyama wenzao wajanja wameporomosha majengo kwenye nyumba za masaki walizouziwa, talk to NHC employees wenye vision wakwambie, Mchechu yuko njiani he wants to reach somewhere as fast as possible. Sasa ndo ndo nini unaingia joint venture na wale wahindi wanalipualipua majengo wakati we ndo majority shareholder usiwe na kitengo mathubuti cha kusimamia quality ya majengo. Kaingia NHC taaluma za ujenzi kaziignore na kuwaajiri watu wa masoko na benki ili wauze nyumba na nyie mnaavyoamishwa na kila msikiacho mnakubali na kutoa misifa, Mungu atupe uhai utakuja kuelewa.
 
akishajiuzulu ndo what, kwani yale majengo mengine yalodondoka alihusika yeye, kujiuzulu kwa sababu mfanyakazi wako kakosea haina tija kwani itacreate watu kufanya makusudi ili kuwatoa wasiowapenda kwenye title ndo mana hata Lowassa alipojiuzulu iliishia kula kwake tu, mikataba mibovu inaendelea tu kusainiwa na urais ndo asahau kwani tutakuwa watanzania wa ajabu kama tutampa nchi mtu ambae hata mbwa wa ikulu akibweka bila sababu yeye anajiuzulu on behalf
Joshi Kanji
Nafikiri umechoka kalale kwa sababu unajadili mambo haya ya kuanguka kwa jengo kwa lower level thinking, yaani hujui utandalo...
 
Last edited by a moderator:
Joshi anaugomvi personal na Msechu maana Msechu amejitahidi sana maana NHC ilikuwa mfu!!

Joshi usimharibie mwenzako kwa mambo personal bana!
 
Mkuu,

Sawa I understand but umejuaje amepokea rushwa? Na umefahamuje alipoingia hakuipitia hiyo mikataba? Kama unazo evidence kujibu maswali yangu Niko pamoja nawe mkuu.

Hili jengo kuna mlinzi anayelinda jirani amesikika akisema kuwa alikuwa anashangaa sana wanavyobania simenti kwenye zege. Huyu Nemehia wako hawezi kuacha kulaumiwa
 
Watu wanavyocheza na media basi woote mnadanganyika, hivi wewe uliweza kununua apartment pale shekilango? if yes basi unaweza kuwa na majengi kadhaa hapa mjini. Mchechu anawaburuza nanyi basi mnaingia, vijana wetu mfanoi graduates watakuja kupanga wapi? au ndo wakapange sinza kodi laki saba wakati mshahara laki nne. baada ya muda NHC itakuwa inamiliki nini? au ndo yaleyale mawaziri wanakaa quarter za pale kijitonyama wenzao wajanja wameporomosha majengo kwenye nyumba za masaki walizouziwa, talk to NHC employees wenye vision wakwambie, Mchechu yuko njiani he wants to reach somewhere as fast as possible. Sasa ndo ndo nini unaingia joint venture na wale wahindi wanalipualipua majengo wakati we ndo majority shareholder usiwe na kitengo mathubuti cha kusimamia quality ya majengo. Kaingia NHC taaluma za ujenzi kaziignore na kuwaajiri watu wa masoko na benki ili wauze nyumba na nyie mnaavyoamishwa na kila msikiacho mnakubali na kutoa misifa, Mungu atupe uhai utakuja kuelewa.

Mkuu,

Hebu dadavua zaidi unataka kutuambia hakuna wataalam wa majengo NHC...?
 
Joshi anaugomvi personal na Msechu maana Msechu amejitahidi sana maana NHC ilikuwa mfu!!

Joshi usimharibie mwenzako kwa mambo personal bana!

Ishakuwa personal tena? simjui Mchechu wala sijawahi kugombana nae kwa jambo lolote. Naelezea hali halisi ya uzembe uliofayika kama kufanya hivyo ni "kumharibia mwenzako" so be it!
 
Ni mapema mno kusema md wa nhc awajibike , hii si ajali ni janga lilitokana na uzembe wa watu fulani .....hata kama mna mikataba mizuri kiasi gani kama jamaa wanaoshinda pale kwenye ujenzi wanaiba cement /nondo kwa nini jengo lisianguke ......tuache chuki binafsi ........
 
Joshi Kanji
Nafikiri umechoka kalale kwa sababu unajadili mambo haya ya kuanguka kwa jengo kwa lower level thinking, yaani hujui utandalo...

Ukilanja huu wa kuwaambia watu wakalale kakupa nani? u r right low thinking level (not lower level thinking) ya Mchechu ndio imesababisha watu 20+ kufa
 
Ni mapema mno kusema md wa nhc awajibike , hii si ajali ni janga lilitokana na uzembe wa watu fulani .....hata kama mna mikataba mizuri kiasi gani kama jamaa wanaoshinda pale kwenye ujenzi wanaiba cement /nondo kwa nini jengo lisianguke ......tuache chuki binafsi ........

Hakuna chuki binafsi hapa ina maana huko NHC kama mhasibu anakwiba fedha asiulizwe MD ni uzembe wa watu fulani?
 
katika historia ya nchi hii sidhani kama alishawai kutokea kiongozi mwenye akili kama nehemia
jamaa ana maono ya mbali,
huo ubia wala hakuingia yeye na kuvunja mkataba sio jambo rahisi kama unavodhani.
ungeanza kulaumu tbs wanaokubali vifaa feki vya ujenzi kuingia nchini
 
Ni mapema mno kusema md wa nhc awajibike , hii si ajali ni janga lilitokana na uzembe wa watu fulani .....hata kama mna mikataba mizuri kiasi gani kama jamaa wanaoshinda pale kwenye ujenzi wanaiba cement /nondo kwa nini jengo lisianguke ......tuache chuki binafsi ........

Sasa comment kama hii huyu jamaa hata sijui nitamwelimishaje ili aelewe maana ya uwajibikaji. Ndio wasomi wa bongo hawa. Utafikiria ni vile vipindi vyaa akina pwagu na pwaguzi
 
katika historia ya nchi hii sidhani kama alishawai kutokea kiongozi mwenye akili kama nehemia
jamaa ana maono ya mbali,
huo ubia wala hakuingia yeye na kuvunja mkataba sio jambo rahisi kama unavodhani.
ungeanza kulaumu tbs wanaokubali vifaa feki vya ujenzi kuingia nchini

Bora useme wewe Sweetie!! Yule dogo anapiga mzigo sana kulinganisha na wengine alafu wanakuja watu kumchafua kwa hoja za kitoto!!
 
unaona hawa sasa. wamejipanga kutetea uozo. Sijui ni demu wake sijui ni nani ila hebu tujitahidi kutumia ubongo jamani. Jengo limejengwa kimagumashi kwa kutumia tope na waya halafu linapoporomoka eti tuwalaumu TBS? Huu ni utani ehe
 
WAHUSIKA NI HAWA
Jerry Silaa ---->
Labda kwa kujenga uelwa wa masuala ya majenzi , jukumu la halmashauri ni kusimamia mpango wa uendelezaji na zipo bodi za kitaaluma zakusimamia masuala ya ubora na weledi. Mmiliki anapokuja kuomba kibali anakuja na michoro miwili,wa kisanifu(architectural)iliyopigwa muhuri wa Bodi ya wasanifu na wakadiriaji majenzi AQRB na ya Kihandisi( structural) ilochorwa na mhandisi alosajiliwa na kupigwa mihuri wa bodi ya usajili wa wahandisi ERB. Kazi ya wahandisi na wasanifu wetu ni kukagua kama inaendana na mpango wa uendelezaji. Kazi nyingine tunayoifanya ni kuangalia umiliki wa ardhi ,afya, drainage n.k . Baada ya hapo mmiliki kupata kibali ni wajibu wake kutafuta mkandarasi na kusajili mradi kwa bodi ya wasajili wa makandarasi CRB.

Taasisi hizi tatu AQRB,CRB na ERB ndio zina jukumu la kusimamia ubora na weledi wa majenzi na sisi tukiendelea kusimamia mpango na ujazo wa kiwanja. Wapo wenzetu wa TBS ambao wanapaswa kuthibitisha ubora wa material maana hata wanaojenga wanaamini cement kwa namba yake kama ikiwa dhaifu mahesabu yote yatapotea.

Jengo hili lililoanguka binafsi nililisimamisha mwezi wa kumi mwaka jana na sasa nangoja taarifa toka kwa mhandisi wa halmashauri nini kiliendelea. Naendelea kutoa pole kwa wahanga na familia zao na naomba tuwe na moyo wa uvumilivu kipindi hiki.

KWENYE BLUE gorofa lilikwenda hadi 16 kibali ni cha gorofa 10 ilala wana maswali ya kujibu, meya anasubiria taarifa wakati jengo limefika gorofa 16? sheria ya halimashauri inasemaje kwa ukiukwaji huo wa kibali?

Naibu Meya wa Halmashauri ya Ilala, Kheri Kessy alisema,mwaka 2007 walitoa kibali kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kushirikiana na ‘Ali Raza Investment Limited' kujenga jengo la ghorofa 10.

"Kibali tulichotoa sisi ni cha kujenga ghorofa 10 na mkaguzi wetu alikuwa anafuatilia kila hatua hadi ilipofika ghorofa ya 10 akawa amemaliza kazi yake," alisema Kessy.

Alipotakiwa kueleza kwanini hawakuchukua hatua baada ya kuendelea kujengwa hadi kufikia ghorofa zaidi ya 16 alisema, wao kwa hilo hawahusiki ila kuna taasisi zingine za Serikali zinazosimamia majengo zinatakiwa kuulizwa.

"Kama nilivyosema,sisi tulitoa kibali cha kujenga ghorofa 10 na mkaguzi wetu alikagua hadi ghorofa ya 10 hivyo kama waliendelea kujenga sisi hatujui kwani kuna CRB (Bodi ya Usajili wa Makandarasi) au ERB (Bodi ya Usajili ya Wahandisi) wao ndio wanahusika zaidi watawaelezeni," alisema Kessy.

Kumbe halimashauri wanatoa vibali wasivyo na ngovu navyo? hawa watu ni wasanii,
Mbaya ni NHC kuwa na hii miradi uchwara, NHC walipewa kibali cha kujenga gorofa 10 sasa walifikishaje 16? NHC hawawezi kujitoa kwenye ili sakata maana kibali kinaonyesha walipashwa kuujua ukubwa wa mradi.
kuna uzembe kwenye hizi ofisi mbili za umme, ilala na NHC sasa motive ni nini?

KUHUSU MKURUGEZI WA NHC KUFUFUA SHIRIKA
yawezekana hii mikataba ya ubia na majengo yasiyo na viwango ndio imekuwa strategic yake kufufua hilo shirika , hii ni hatari maana nyumba zao zinatumika kwa makazi, ni wazi kuna usimamizi mbovu ndani ya NHC wamelenga QUANTITY na sio QUALITY
 
unaona hawa sasa. wamejipanga kutetea uozo. Sijui ni demu wake sijui ni nani ila hebu tujitahidi kutumia ubongo jamani. Jengo limejengwa kimagumashi kwa kutumia tope na waya halafu linapoporomoka eti tuwalaumu TBS? Huu ni utani ehe
kwani jengo walikuwa wanajenga nhc? engineer ni wa nhc? unataka awajibishwe kwa lipi?
 
Bora useme wewe Sweetie!! Yule dogo anapiga mzigo sana kulinganisha na wengine alafu wanakuja watu kumchafua kwa hoja za kitoto!!
mi nawish apelekwe bandarini huko sasa!maana nchi inakosa mapato mengi sana pale
 
Back
Top Bottom