Uwekezaji wa majengo haulipi

Issue ni location mkuu. Kuna maeneo mengine hizo frame hazina wateja kabisa
 
Issue ni location mkuu. Kuna maeneo mengine hizo frame hazina wateja kabisa
Sahihi mkuu, komenti yangu ilisisitiza hapo kwenye location, biashara nyingi location ndio jambo la msingi mnoo, fremu ile ile, chumba kile kile, nyumba ile ile lakini kodi inatofautiana kutegemea iko wapi
 
Unahisi ni kwa nini hoteli zilizokuwa tishio huko nyuma, kwa sasa zinachakaa?
 
Ila cha ajabu, ni ngumu kukuta watu waliowekeza kwenye majengo wamefilisika kabisa.
 
Risk free.
Mtu hata awe mwizi kiasi gani hawezi kuiba nyumba na kukimbia nayo ila biashara zingine msaidizi wako akiamua tu siku moja anabeba mzigo wote na kupotea nao kisha unakuwa maskini tena.
Mkuu usijidanganye sana Kuna wengi wameibiwa nyumba mkuu, sio risk free ni low risk
 
Unahisi ni kwa nini hoteli zilizokuwa tishio huko nyuma, kwa sasa zinachakaa?

Mkuu usijidanganye sana Kuna wengi wameibiwa nyumba mkuu, sio risk free ni low risk
Hawajaiba sema wameforge nyaraka mwisho wa siku mwenye nyumba akipambana kisheria bado nyumba yake anaikuta palepale tofauti na ukiibiwa gari leo Dar kesho iko Mwanza kisha wanaichinja na kuuza spea biashara inaishia hapo.
 
Hizo hotel kuchoka

Mkuu Nina ushaidi Kuna watu wamepigwa nyumba mpaka Leo hawajaipata
 
Mkuu Nina ushaidi Kuna watu wamepigwa nyumba mpaka Leo hawajaipata
Hapo inakuwa umetumika ubabe kutokana na usimamizi mbovu wa sheria zetu ila nyumba haijaibiwa bado ipo sema mmiliki ameshindwa kuichukua kwa sababu ya unyonge hii ndio mantiki yangu.
 
MTAZAMO
 
Kijana ukipata nafasi..Nunua viwanja,Jenga ...kuna mambo mengi sana juu kupeana Moyo.
 
Kwa haraka haraka utaona inalipa, baada ya miaka michache jengo likianza kula hela za ukarabati, pesa inakuwa inapotea, hivo hivyo ata kwenye vyombo vya usafiri mfano mabasi n.k​
Mkuu ukiona biashara inaongezeka jua inalipa watu si wajinga
 
Mkuu ukiona biashara inaongezeka jua inalipa watu si wajinga
Ni waoga kuwekeza maeneo mengine yanayolipa kwa haraka zaidi kutokana na heka heka za hapa na pale.
 
Ni waoga kuwekeza maeneo mengine yanayolipa kwa haraka zaidi kutokana na heka heka za hapa na pale.
Mkuu kwahio hujui kuwa wengi wanaowekeza kwenye majengo ni watu wana biashara nyingine ila wameamua kuweka fedha zao kwenye ardhi au nyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…