Kwanini iwe miaka 10? Kuna biashara itakupa return ya mil200 kwa miaka 10?Kama ulijenga kwa milioni 200, utaiuza kwa bei gani baada ya miaka 10?
Mapato wanayoyapata hayaendani na fedha walizowekeza.Matajiri wengi wakubwa duniani wamewekeza kwenye Real Estate
Wakihojiwa kwa nini wanawekeza kwenye Real Estate
Moja ya sababu wanayotoa ni mapato ya kudumu
Miaka 30 ijayo utakuwa bado uko hai tu?Kwanini iwe miaka 10? Kuna biashara itakupa return ya mil200 kwa miaka 10?
Uwekezaji wowote inahitaji muda si chini ya miaka 20 hadi 30 wewe wasema 10! Are you serious
Repair haiwezi kula makusanyo yote ya mwaka. Inakula kidogo hata ikiwa 20 percentage ya makusanyo sio mbaya biashara ambayo sitaki kuifanyia Mimi ni kujenga nyumba za kupangisha na kuanza kukimbizana Kodi na wapangaji ila ukiwa na hotel au Lodge in good location mtu analipia kabla ya kulala na saa nne mwisho. Biashara ya mahotel ni nzuri mno Chumba kimoja let's say 30,000 mpaka 50,000 per one night . Hotel zinatengeneza faida ila location ni kitu Cha kwanza . Iwe hotel eneo ambako inaonekana na Kuna watu wengiHiyo repair inakula makusanyo yote ya mwaka
Jaribu kutembelea baadhi ya hoteli zilizovuma miaka mitano iliyopita, utaona uchakavu wa majengo, mifumo ya maji n.kRepair haiwezi kula makusanyo yote ya mwaka. Inakula kidogo hata ikiwa 20 percentage ya makusanyo sio mbaya biashara ambayo sitaki kuifanyia Mimi ni kujenga nyumba za kupangisha na kuanza kukimbizana Kodi na wapangaji ila ukiwa na hotel au Lodge in good __cpLocation mtu analipia kabla ya kulala na saa nne mwisho. Biashara ya mahotel ni nzuri mno Chumba kimoja let's say 30,000 mpaka 50,000 per one night . Hotel zinatengeneza faida ila __cpLocation ni kitu Cha kwanza . Iwe hotel eneo ambako inaonekana na Kuna watu wengi
Kwa umri gani nilionao Mimi hadi miaka 70 ijayo naweza kuwa haiMiaka 30 ijayo utakuwa bado uko hai tu?
Wekeza kwenye vitu vya msingi, achana na majengoKwa umri gani nilionao Mimi hadi miaka 70 ijayo naweza kuwa hai
Wewe uwekezaji huuwezi fanya uchuuzi ndio level zako
Majengo ni uwekezaji usio na shaka hata ukijenga sasahivi ukitaka kuuza utauza kwa pesa Ile Ile uliojengea au zaidi labda ujengee porini ndio hutapata mteja ila nyumba zina thamani hapa bongo kuliko gari na matakataka mengineWekeza kwenye vitu vya msingi, achana na majengo
Sio kweli, ni njia salama na ya muda mrefu ya kujenga utajiri ndio maana utaona matajiri wengi huwekeza hukoMapato wanayoyapata hayaendani na fedha walizowekeza.
Kwa mawazo haya wanao watakuja kuanza moja. Tengeneza generational wealth acha kulia liaUlishajiuliza swali kwa nini zile hoteli zilizokuwa tishio miaka ile, ila kwa nyakati hizi zinaonekana zimechoka? Ni bora ujenge na kuuza, kutokufanya hivyo ni sawa na kuongelea dira ya 2056-20100 ambayo huna uhakika kama utakuwepo.
Nyumba siku zote ni maintenance and improvement, kama hufanyi itapoteza thamani haraka na utachukia unapoishiHizo zinafanyiwa ukarabati wa mala Kwa mala
Samsung ni conglomerate kubwa sana, ni chaebol kule South Korea ina biashara nyingi kubwa ikiwemo consumer electronics, inatengeneza silaha kama vifaru, inaunda meli kubwa, ina funds na securities ila bado imewekeza kwenye real estate.Mapato wanayoyapata hayaendani na fedha walizowekeza.
Biashara muda wote ni kulipa kodi ya pango, kodi TRA, umeme, maji, wafanyakazi, usafi, Manispaa/Halmashauri, ulinzi na takataka kibao.Nyumba siku zote ni maintenance and improvement, kama hufanyi itapoteza thamani haraka na utachukia unapoishi
Ninadhani watanzania tunahitaji elimu kubwa sana kwenye mambo ya real estate. Imagine mtu anabeza uwekezaji wa majengo na ardhi? Hizi biashara za uchuuzi zinapofusha watu. Ni biashara zenye pesa ya haraka haraka ila ni ngumu mno kumrithisha mtu.Ila nijuavyo ardhi haishuki thamani
Kwenye majengo jenga simple stractues kuepuka uwekezaji mkubwa huku fashion zikikimbia mno
Ukipata opportunity jenga tuu, inaweza ikawa ndio one time shot na usije kuipata tena maishani kwakoBiashara muda wote ni kulipa kodi ya pango, kodi TRA, umeme, maji, wafanyakazi, usafi, Manispaa/Halmashauri, ulinzi na takataka kibao.
Mtu ameishi miaka zaidi ya 20 akifanya biashara au kazi, akiwekeza kwenye real estate simshangai. Mimi ambaye bado nina energy na muda siwezi wekeza huko ila nawaelewa wanaofanya hivyo.
Ukijenga hilo jengo lako nenda kakope benki hela ndefu tu, ukafanye michongo yako. watu ndo wanavofanya. Kunatofauti kubwa sana kati ya kuwekeza na kutunza.Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe. Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi. kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita. Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.
Kuwa na nyumba siyo kigezo cha kukopea benki,kigezo cha kwanza ni biashara inayo onekana. Nyumba itasimama kama dhamana..Ukijenga hilo jengo lako nenda kakope benki hela ndefu tu, ukafanye michongo yako. watu ndo wanavofanya. Kunatofauti kubwa sana kati ya kuwekeza na kutunza.