Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,400
- 102,504
Uki elewa mchezo wa majengo na ardhi, utajua wahindi, wachina au makampuni yana toa wapi fedha.Kwa kizazi kijacho hakuna shida, ila wewe uliyewekeza ni sawa na umepoteza.
Mfano, umepata milioni 500 leo, ukaenda kuwekeza kwenye apartment. Je, itakuchukua miaka mingapi hiyo fedha kuizalisha kwenye hiyo apartment? Ni bora ujenge na kuuza.Uki elewa mchezo wa majengo na ardhi, utajua wahindi, wachina au makampuni yana toa wapi fedha.
Majengo na ardhi ni good leverage.
Hesabu ana zijua aliye wekeza humo, mimi na wewe si share holders au auditor's mpaka tujue hilo kwa macho.Mfano, umepata milioni 500 leo, ukaenda kuwekeza kwenye apartment. Je, itakuchukua miaka mingapi hiyo fedha kuizalisha kwenye hiyo apartment? Ni bora ujenge na kuuza.
Kama kuna mji umejengwa sub standard basi ni magorofa ya biashara DSM.. Na yote ni kutaka volumes kwenye gharama kiduchuUko sahihi, tembelea hapo mjini zile hoteli zote zilizokuwa tishio miaka mitano iliyopita, ukizikagua ndani na nje utagundua uchakavu, kwa sababu fedha za kurudisha upya wa majengo hayo ni kubwa.
Ukijenga na kuuza sawa, ila ukitaka upangishe ili uweze kujilipa, fedha ulioiwekeza hutoipata.Sasa hakuna uwekezaji hauna presha na hauangushi km wa nyumba na ardhi aisee hata ufanye nn mm siwezi acha najenga kajumba m 45 unauza 70 ama 65 bila presha ni wapi utapata hiyo faida bila kukimbizana na tra
Kujenga na kuuza haina shida, ila kujenga ili upangishe ni sawa na kutupa hela eneo husika , ambao wanufaika watakuwa ni kizazi chako kijacho na si wewe.Mimi naamini katika mnyororo wote wa real estate
Faida inakuja kwenye kupanda thamani ya nyumba na ardhi, hiyo 200m house in 10 years itakuwa 500m au zaidiMfano nina milioni 200, itanichukua miaka mingapi kuipata hiyo milioni 200 niliyoiwekeza?
Hizo ni long term investments...Yaani unakuja kubreak even baada ya miaka 10 hadi 15...Biashara hizo hazimfahi mganga njaaa mwenye fedha za kuunga uunga fedha za hapa na pale ,hizo ni biashara za MOGULZ aka MATAIKUNI watu wenye pesa mingi mpaka wanatamani kujiteka ,watu wasio na pesa za MAWAZO.
Ardhi inapanda thamani ila nyumba haipandi thamani, ukitaka nyumba ipande thamani tena, itakulazimu uwekeze tena hela za marekebisho mara kwa mara. Kama ilipigwa bati mjengo wa kizamani miaka 15 iliyopita, itakulazimu kutoa hilo paa la kizamani na kuweka la kisasa.Faida inakuja kwenye kupanda thamani ya nyumba na ardhi, hiyo 200m house in 10 years itakuwa 500m au zaidi
Ulishajiuliza swali kwa nini zile hoteli zilizokuwa tishio miaka ile, ila kwa nyakati hizi zinaonekana zimechoka? Ni bora ujenge na kuuza, kutokufanya hivyo ni sawa na kuongelea dira ya 2056-20100 ambayo huna uhakika kama utakuwepo.
Niko na wewe bega kwa bega. Ukweli ni kwamba Dar imebana. maeneo mapya ya pembezoni yanachukua muda mrefu kuwa makazi rasmi. Na huko ndo kwenye viwanja.Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe. Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi. kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita. Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.
Hivyo ujenz ni biashara kichaa na inachukua miak mingi mpaka itoe matokeoNiko na wewe bega kwa bega. Ukweli ni kwamba Dar imebana. maeneo mapya ya pembezoni yanachukua muda mrefu kuwa makazi rasmi. Na huko ndo kwenye viwanja.
Kinachopanda thamani ni Ardhi..siyo nyumba.Faida inakuja kwenye kupanda thamani ya nyumba na ardhi, hiyo 200m house in 10 years itakuwa 500m au zaidi
Ukiona hivyo, ujue kuna fedha ya ziada ndio inatumika kwenye ukarabati ili kulinda brand na inawezekana labda kuna watu wenye hisa zao humo wenye malengo ya muda mrefu sana.Tatizo management ,nilitembelea The Kilimanjaro Park Hyatt bado ipo vizuri ,Niliona Embassy Hotel imekufa ,Sheraton ,Royal Palm ,Kempinski ,Move N' Pick bado ipo vizuri ,The Pickcock Hotel bado inakimbiza.
Kuna ukweli, lakini kuna nyumba zimejengwa vizuri sana na quality ya hali ya juu sana ni kama timeless machineKinachopanda thamani ni Ardhi..siyo nyumba.
Asiejua maana haambiwi maana.