Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,307
- 62,517
Hapo bado hujaweka matengenezo ya mara kwa mara ili kurudisha upya wa jengo ili kuendelea kukupa kipato kilele.Upo sahihi, uwekezaji unahitaji miaka zaidi ya kumi kuanza kuona positive side.
Kama cashflow ipo nazani hakuna shida
Ila nijuavyo ardhi haishuki thamani
Kwenye majengo jenga simple stractues kuepuka uwekezaji mkubwa huku fashion zikikimbia mno
Watanzania biashara au uwekezaji wetu huwa tunafikiria kwa muda mfupi, na muda wote tunataka super profit tena kwa muda mfupi iwezekanavyo. Ndiyo maana unakuta dalali anataka akiuza nyumba, ile faida anayopata akajenge nyumba yake. Ndiyo, najua shilingi yetu huteremka thamani sana, lakini duniani kote ukiwekeza kwenye nyumba huwezi kutegemea fedha ulizojengea zirudi kwa muda mfupi. Chukulia hivi. Nyumba haishuki thamani, na ile kodi unayochukuwa kila mwezi ndiyo faida yako. Yaani kama unachukuwa milioni mbili, basi hiyo ndiyo faida yako, na mtaji wako unabaki kama ulivyo. **nyumba ikijengwa kitaalam na eneo zuri inachukuwa muda kufanyiwa marekebisho makubwa. Kutoka kwenye kodi weka asilimia ndogo kila mwezi ambayo itafanya ukarabati wakati ukifika. Ila ukijenga kibongo-bongo miaka 10 tu unakuta nyumba inadai kubomolewa ijengwe nyingine.Uko sahihi, tembelea hapo mjini zile hoteli zote zilizokuwa tishio miaka mitano iliyopita, ukizikagua ndani na nje utagundua uchakavu, kwa sababu fedha za kurudisha upya wa majengo hayo ni makubwa.
Ile kodi unayoipata pale sio faida, unatakiwa utoe gharama zote za uendeshaji ndipo ujilipe kama faida. Ni sawa na umenunu basi kwa milioni 300 na ukaliweka barabarani, ile nauli ya abiria sio faida. Faida itapatikana baada ya kutoa fedha uliyowekeza.Watanzania biashara au uwekezaji wetu huwa tunafikiria kwa muda mfupi, na muda wote tunataka super profit tena kwa muda mfupi iwezekanavyo. Ndiyo maana unakuta dalali anataka akiuza nyumba, ile faida anayopata akajenge nyumba yake. Ndiyo, najua shilingi yetu huteremka thamani sana, lakini duniani kote ukiwekeza kwenye nyumba huwezi kutegemea fedha ulizojengea zirudi kwa muda mfupi. Chukulia hivi. Nyumba haishuki thamani, na ile kodi unayochukuwa kila mwezi ndiyo faida yako. Yaani kama unachukuwa milioni mbili, basi hiyo ndiyo faida yako, na mtaji wako unabaki kama ulivyo. **nyumba ikijengwa kitaalam na eneo zuri inachukuwa muda kufanyiwa marekebisho makubwa. Kutoka kwenye kodi weka asilimia ndogo kila mwezi ambayo itafanya ukarabati wakati ukifika. Ila ukijenga kibongo-bongo miaka 10 tu unakuta nyumba inadai kubomolewa ijengwe nyingine.
Mfano nina milioni 200, itanichukua miaka mingapi kuipata hiyo milioni 200 niliyoiwekeza?Ulichosema sio sahihi wewe jenga kwa manufaa sio kufanya uwekezaji upate hela ya haraka chapu nyumba zinalipa mkuu
Ni kweli ardhi ndio kila kitu, ila unachokiweka juu ya ardhi sio kila kitu.Napingana na wewe mkuu, uwekezaji wa ardhi ndo kila kitu, hizi biashara za kufungua sijui duka, au kununua magari ya usafiri kuna mda unaweza kuwa maskini ndani ya lisaa limoja.
Uwekezaji wa kwenye ardhi utakula mda mrefu hata kama huna nguvu za kufanya kazi, upo na ulemavu na mengineyo. kuhusu ukarabati hilo ni jambo la kawaida
CC RRONDO Extrovert mrangiKuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe. Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi. kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita. Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.
Mzee wangu ange kusikiliza wewe, leo hii intelli ningekuwa muokota makopo.
Mtu mpaka ana Jenga lodge, nyumba za kupangisha, jua amesha piga hatua na uwekezaji huo sio wa mwaka 1 au miwili ni mbeleni huko.
miji inakua na kubadilika, kuna maeneo ukitega itakulinda wewe au kizazi chako.
Ni biashara ipi unaiamini zaidi kwenye kuwekeza mkuu, kwa miaka hii ya sasa???Ni kweli ardhi ndio kila kitu, ila unachokiweka juu ya ardhi sio kila kitu.
Kwa kizazi kijacho hakuna shida, ila wewe uliyewekeza ni sawa na umepoteza.Mzee wangu ange kusikiliza wewe, leo hii intelli ningekuwa muokota makopo.
Mtu mpaka ana Jenga lodge, nyumba za kupangisha, jua amesha piga hatua na uwekezaji huo sio wa mwaka 1 au miwili ni mbeleni huko.
miji inakua na kubadilika, kuna maeneo ukitega itakulinda wewe au kizazi chako.
TeknolojiaNi biashara ipi unaiamini zaidi kwenye kuwekeza mkuu, kwa miaka hii ya sasa???