Uwe makini sana na vyakula vya shoprite ..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwe makini sana na vyakula vya shoprite .....

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ngoshwe, Jan 27, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa imekuwa ni tabia kwa watanzania walio wengi kuthamini sana vyakula vya "Super Markets" kuanzia matunda, mbogamboga na hata vitoweo na vitafunywa.

  Pengine wengi tunaweza kuathirika baada ya muda fulani kutokana na aina hii ya maisha ambayo asili yake ni Ulaya na Marekani. Tofauti na wenzetu ambapo nchi zao zimekuwa makini kuhakikisha usalama wa raia wao kwa kila nyanja ikiwemo kuweka mifumo ya kuwabana wafanyabiashara wasiuze bidhaa feki zitakazoumiza afya za walaji kupitia sheria (Consumer protection laws) nk, kwetu imekuwa ni holela tupu.

  Kwa mara kadhaa nimepitia duka la "Shoprite" la Mlimani City, cha kustaajabisha unakutana na baadhi ya bidhaa hasa matunda na mboga mboga zipo kwenye "shelves" zikiwa zimebaindikwa "label" ya kuzitangaza lakini katika hiyo "label" huwezi kuona "display date" (yaani tarehe halisi ambayo bidhaa imewekwa kwenye shelf) na wala hakuna tarehe ya kuondolewa kutoka kwenye "shelf" (Expiry date").


  Leo nimekuta "ma-apple", uyoga na karoti vikiwa vina dalili zote za kuvunda ndani yake lakini bado zimetundikwa kwenye makabati ya kuuzia na hakuna dalili zozote ya kuviundoa wala kupunguza bei hivi karibuin kutokana na muda wake wa kuliwa kuwa umepita (expired)...cha kusikitisha zaidi,sidhani hata kama mle dukani kuna wataalamu wa kuthibiti ubora wa bidhaa za jinsi hiyo.

  Nimejaribu kuangalia kwa jicho kali kwenye makabati na baadae kubaini kuwa kuna tag imepachikwa juu ya flamu sambamba na "ma-apple" inasoma "9/10" (sina hakika sana kama ni "Septemba, 2010" au lah)..ikiwa hii ndio tarehe halisi ambayo yalipachikwa hapo, ni hatari sana. Tuwe makini na hawa wenzetu wandugu!!, kuna maeneo mengine tumeyajengea tabia kana kwamba haya epukiki japo yanatupunguzia uahi wetu kwa mfano "kwenye zinaa wataalamu wa afya wanatuasa kwa staili ya ajabu wakisema ..".UKIMWI NI HATARI.., CHUKUA TAHADAHIRI, ...UKISHINDWA TUMIA KONDOMU"..Lakini hili la vyakula vibovu, hatuhitaji kufundishwa tukishindwa kununua huko twende wapi...tunaangamia kimya kimya!!

  Cha kusikitisha, kila kukicha tunasikia Mamlaka ya Vyakula na Dawa (TFDA) ikihangaika na kuwaminya wafanyabiashara wadogo wa kizalendo kwenye maduka ya Vipodozi na Dawa Baridi..sijui kwa hawa wauzaji wa bidhaa katika Maduka makubwa kama SHOPRITE wanadhibitiwaje...
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  good inf
   
 3. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  loh, asante ngoshwe umetushtua. nitajitahidi kuwa makini. ina maana ufisadi ama uzembe umeishaingia hadi TFDA? haha, basi tumekwisha jamani
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi pale Mwenge sokoni matunda yana label ya expiry date? Just curious.......... Well simaanishi kwamba two wrongs can make a right.
   
 5. jambotemuv

  jambotemuv JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mwenge sokoni huhitaji 'expiry date' kwani bithaa haikusindikwa wala kufungwa. Ipo wazi kwa wewe kukagua na kuona nzima au la. Ukichagua bovu umependa mwenyewe au mzembe. Nazi mpaka wanaunjwa kabisa kukutoa wasi. Go natural. Go local.
   
 6. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jamani laiti ningekuwa huko nyumbani basi ningenunua matunda na mboga na vyakula vya aina yoyote kwenye masoko ya mtaani. Hizi canned juice, fruits, beef etc. sio vizuri kabisa kwa afya zetu sababu ziko very processed na sio organic!. Huku US tunanunua canned foodstuffs kwenye grocery stores sababu hatuna jinsi na ukitaka organic foodstuffs ni expensive.
  Nawashauri watu mlioko nyumbani muache kabisa kununua canned foodstuff kwenye hizo supermarkets. nunueni vitu kwenye masoko yetu. Kama ni kuku nunueni wa kienyeji, mboga za mtaani. Hizi Canned foodstuffs zitatuua na kununua chakula katika masoko ya mtaani sio ushamba.
  Ahsanteni
   
 7. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  nyambala una point... na kariakoo... na Ilala na buguruni na masoko yote tanzania....bora hata shoprite wana packaging ambayo ni formal na wanaandika best before...

  kula tano yangu nyambala instantly
   
 8. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu Nyambala, is true a curious question..na ndio tunavyozidi kuzoea na maisha yanakuwa magumu sana sasa kutokana na maradhi mengine yanayoepukia kama kula vyakula vibovu.

  Ni mbaya sana kwa kampuni kubwa kama SHOPRITE kutaka kutengeneza faida kwa kufanya biashara ya bidhaa zilizopitwa na wakati (zimeharibika), pengine kwa mtu binafsi unaweza kusema labda wanafanya hivyo kutokana na dhidi au kukosa utaalamu wa kujua ubora (but no execuse).

  Labda, nimeona nitundike hapa baadahi ya Kesi ambazo Makampuni makubwa yamewahi kushitakiwa kwa kuweka dukani kwa lengo la kuuza bidhaa chafu/zisizo na ubora/zilizopitwa muda wake:

  = KOKOTE UNAKO NUNUA BIDHAA , HATA KWA WAZALENDO WEZENTU, ZINGATIA KANUNI YA: "BUYER BEWARE!!!!"= KAM SIO "BUY AT YOUR OWN RISK" Kumbuka "MAMLAKA HUSIKA HAZIPO MACHO MUDA WOTE na HAZINA MENO YA KUUMA SEHEMU ZISIZOUMIKA!"

  Code:
   
  Criticism of Tesco and related litigation
  As with any large corporation, the Tesco supermarket chain is often involved in litigation, usually from claims of personal injury from customers, claims of unfair dismissal from staff, and other commercial matters. Two notable cases were [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Ward_v_Tesco_Stores_Ltd"]Ward v Tesco Stores Ltd[/URL], which set a precedent in so-called 'trip and slip' injury claims against retailers, and [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Tesco_Supermarkets_Ltd_v_Nattrass"]Tesco Supermarkets Ltd v Nattrass[/URL], which reached the [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/House_of_Lords"]House of Lords[/URL] and became a leading case regarding the corporate liability of businesses for failures of their store managers (in a case of misleading advertising). Criticism of [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Tesco"]Tesco[/URL] includes disapproval of the effects supermarket chains can have on farmers, suppliers and smaller competitors; along with claims of generally poor labour relations with its staff concerning sick leave regulations.[[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Citation_needed"]citation needed[/URL]] Accusations concerning using cheap and/or child labour in [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Bangladesh"]Bangladesh[/URL] amongst other places,[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-0"][1][/URL] have also arisen since the millennium .
  Tesco has been heavily criticised by the media in both the UK and Ireland among other places over its comparatively more ruthless and harsh business tactics compared to its rivals, all of whom stand charged, like Tesco, of bullying farmers to lower their prices to unsustainable levels. [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Waitrose"]Waitrose[/URL] was the only major supermarket to come out of this accusation relatively unscathed. Other less prominent disputes have occurred in [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Thailand"]Thailand[/URL], Ireland and Hungary.[[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Citation_needed"]citation needed[/URL]]
  Tesco has been accused of abandoning the UK Government's planned Eco-town at [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Hanley_Grange"]Hanley Grange[/URL] in Cambridge.[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-1"][2][/URL]
  Tesco has been subject to several claims of apparently out-of-date food being 'back-labelled' to appear to still be in date,[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-2"][3][/URL] poor café hygiene[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-3"][4][/URL] and a staff member contracting [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Legionellosis"]legionnaires' disease[/URL] in the [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Wrexham"]Wrexham[/URL] store.[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-bbc1-4"][5][/URL][URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-5"][6][/URL]
  Tesco has been involved in the following cases, in the areas of employment law, personal injury, intellectual property disputes, taxation amongst others.
   Heath and safety issues
  [B][[URL="http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Criticism_of_Tesco&action=edit&section=21"]edit[/URL]] Food hygiene allegations[/B]
   
  On 22 May 2007 the BBC's [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Whistleblower"]Whistleblower[/URL] programme showed undercover footage detailing breaches of food hygiene rules in a branch of Tesco. The Whistleblower reporter applied for a job following a tip-off from a former employee. Breaches included the sale of products after their sell-by date; allegations that the company illegally and sold 'back-labelled' products after their use by date; falsification of temperature records; and the sale of partially cooked mince mixed with uncooked mince.[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-35"][36][/URL]
  A staff member also contracted [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Legionellosis"]legionnaires' disease[/URL] in the [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Wrexham"]Wrexham[/URL] store.[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-bbc1-4"][5][/URL]
  In addition to this the [URL="http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Food_Safety_Authority_of_Ireland&action=edit&redlink=1"]Food Safety Authority of Ireland[/URL], has on a number of occasions ordered the recall of Tesco branded products, including a case of glass contamination.[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-fsai.ie-36"][37][/URL][URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-ReferenceA-37"][38][/URL][URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-ReferenceB-38"][39][/URL] Environmental Health Officers served a closure order on Tesco's store in Prussia Street, Dublin, the day after they inspected it, for a number of breaches of Food Hygiene Regulations.[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-autogenerated1-39"][40][/URL]
  [B][[URL="http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Criticism_of_Tesco&action=edit&section=22"]edit[/URL]] Tesco's Kick drink[/B]
   
  On 16 April 2007, [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/BBC_Northern_Ireland"]BBC Northern Ireland[/URL]'s current affairs programme Newsline reported that the head of Newtownbreda High School in [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Belfast"]Belfast[/URL] wanted its local Tesco store to stop selling the Kick energy drink, which was thought to be responsible for caffeine-induced misbehaviour in the classroom. The school had gone so far as to ban children from bringing the drink on to its grounds. In other schools it was also connected with caffeine addiction problems and insomnia in young male pupils.[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-40"][41][/URL] A school in Worthing, [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Sussex"]Sussex[/URL] banned both Kick and [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Red_Bull"]Red Bull[/URL] over the same problem.[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco#cite_note-41"][42][/URL]
  Tesco rejected the school's claims saying "... a normal serving contains no more caffeine than a cup of coffee. There is currently no legislation which would allow us or any other retailer to ban the sale of this or any other energy drink to children."[[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Citation_needed"]citation needed[/URL]]
  Its reputation has also been recently tarnished by allegations of abuse and the excessive use by young male party-goers since 2006 to apparently 'avoid becoming drunk' after taking excessive amounts of alcohol.[[URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Citation_needed"]citation needed[/URL]
   
  [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/Criticism_of_Tesco"]Criticism of Tesco - Wikipedia, the free encyclopedia[/URL]
  
  You're brown bread Mr Mouse! Father finds dead rodent in loaf as he makes sandwiches for his children  By Sophie Freeman

  Last updated at 2:09 AM on 29th September 2010
  A shocked father found a dead mouse in a loaf of bread he was using to make sandwiches for his children.
  Stephen Forse said he had already used some of the bread when he noticed 'a dark-coloured object embedded in the corner of three or four slices'.
  The 41-year-old from Kidlington in Oxfordshire initially thought it was just a hard spot where the  [​IMG] You're toast! The dead mouse - minus its tail - was found embedded into three slices of the loaf of bread

  'As I looked closer I saw that the object had fur on it,' he said.
  Mr Forse had bought the Hovis Best of Both from Tesco Online, through a branch in Bicester.
  He said his ordeal was made worse when an environmental health officer visited the family home to collect evidence - and identified that the mouse had lost its tail.
  'Her comments made me feel ill once again as there was no indication as to where the tail was,' said Mr Forse.


  [​IMG]
  [​IMG]

  Using his loaf: Stephen Forse had already eaten some slices when he came across the dead mouse

  'Had it fallen off prior to the bread being wrapped or had any of my family eaten it with another slice of bread on a previous day?'
  Manufacturer Premier Foods was fined £5,500 and ordered to pay £11,109.47 in costs at Oxford Crown Court for failing to maintain acceptable standards at their site in Mitcham, south London.

  A spokesman for Premier Foods said: 'We apologise profusely for the distress caused as a result of this isolated incident.'  Read more: Father finds dead mouse in bread loaf as he makes childrens' sandwiches | Mail Online
   
 9. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  aaaah,yaani hata wakati wa kubake hawakusikia harufu??
   
 10. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jamani laiti ningekuwa huko nyumbani basi ningenunua matunda na mboga na vyakula vya aina yoyote kwenye masoko ya mtaani. Hizi canned juice, fruits, beef etc. sio vizuri kabisa kwa afya zetu sababu ziko very processed na sio organic!. Huku US tunanunua canned foodstuffs kwenye grocery stores sababu hatuna jinsi na ukitaka organic foodstuffs ni expensive.
  Nawashauri watu mlioko nyumbani muache kabisa kununua canned foodstuff kwenye hizo supermarkets. nunueni vitu kwenye masoko yetu. Kama ni kuku nunueni wa kienyeji, mboga na matunda mnunue za mtaani. Hizi Canned foodstuffs zitatuua, na kununua chakula katika masoko ya mtaani sio ushamba.
  Ahsanteni
   
 11. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  NDIO MKOME, na mtakufa kama nzi, thanks GOD my mum anatumia soko la kariakoo shimoni, kuiga kuiga, laiti ulaya wangekuwa na soko kama la kariakoo, ilala au manseze, usingemuona hata mmoja anaingia super market kununua chakula.
  huku wanaita organic, ukiwa kajamba nani, wages ya kulenga na manati huwezi kua afford, ila eti BONGO(KWA MAZUZU) ndio wanazikimbia hizi organic wanafuata vya kwenye makopo, mmeula wa chuya WAZEMBE NYIE na bado, mtachakachuliwa wake zenu na waume mbele yenu na hamtasema lolote.
  halafu eti mnalalamika ufisadi, huyo fisadi alikutoa kwako kukupeleka super market? NYAMBAFU, haya maneno yote yanawalenga wale MALIMBUKENI wanaotumia super market kwa ajili ya chakula na kumuacha muuza genge mtaani kwao akiganga njaa.
  fisadi fisadi, kila kitu mnasingizia fisadi, fisadi my black ass
   
 12. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  yaani nilivyo na usongo na vyakula natural halafu nasikia mtu yuko tz kaenda nunua vyakula supermarket nachoka kabisa

  ngoswe masoko yapo kibao mtaani yanini ukauziwe matunda na mboga za mwaka jana toka south africa??
   
 13. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  good point!!:clap2:
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Bora huku hakuna hizo shoprites, tunapata vyakula natural kutoka ktk masoko yetu.
   
 15. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Wewe endelea kushabikia matunda na mboga za shoprite badala ya kwenda sokoni. Unahatarisha afya yako mwenyewe.
   
 16. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Wauzaji wa matunda katika soko la Mwenge na masoko mengine mengi ni wawazi, bidhaa zao unaweza kuzikagua na kuchukua ile ambayo umeridhika nayo, ambayo aghalabu ni bora. Lakini kama mtu uko Dar ama mkoani, ni busara zaidikama utaenda sokoni mwenyewe kununua bidhaa bora itokayo shambani moja kwa moja kuliko kununua shoprite. Kama ni kuku wapo walio hai, unanunua, wanakuchinjia hapo hapo na unaenda kumweka ktk friji kwako kwa kadri utakavyo, kuliko kula kuku aliyechinjwa sauzi na akasafirishwa hadi Dar. Ni mtazamo to kwa mlio uswazi. Tuache ulimbukeni.
   
 17. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kutokana na ile dhana ya mteja ni mfalme we can make the supermarkets of our own fashion to suit our own needs, kama ilivyo hapo shoprite unachoma ndani unachagua kuku mzima unasema na mchinjaji mambo powaaaaaa!!!! Mfano China hadi samaki kuna sehemu ukienda unamnunua anaogelea....

  Na hii idea ya kwamba supermarkets ni kuuza vyakula vilivyosindikwa tu nadhani ni mambo ya bongo na inasababishwa zaidi na unreliable and inconsistent supply ya bidhaa za shamba tenga la chungwa lina saizi kama mia tofauti tofauti, manansi mengine mekundu, mengine njano, bluu....... you name it.

  Ughaibuni you buy everything from the supermarket na mostly katika uhalisia wake Viazi vitamu, maboga, mahindi etc. Sasa kama hivi vyote mnafungiwa kwenye makopo basi hata mimi nashauri msivinunue hata hiyo expiry date kama imewekwa.
   
 18. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ina maana supermarket za bongo huchagui, how are these places operated over there? Maana ughaibuni ni kwamba the shop with the associated suppliers have done it for you. Mfano mchele umeshachambuliwa, matunda yameshachambuliwa i.e kama ni hiyo nazi you will ony find those best. Ukienda nyumbanmi ukakuta mambo sivyo matanange wake sio kidogo in most places watakurudishia hela yako watakuomba radhi kwa sana na kukuruhusu kuchagua bidhaa nyingine bure.
   
 19. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Asante Ngoshwe Kwa Tahadhari!

  Kwa kweli hizi bidhaa ambazo zimekuwa processed na kuwa parked wakati mwingine ni vyema kuwa makini nazo; wakati fulani zilipoingia Chapati za Bakhresa nilikuwa nanunua kwa sababu ya urahisi wa maandalizi. Lakini siku moja nilikuta GLOVES ndani ya hiyo parkage ya Chapati, huo ndiyo ulikuwa mwisho wa kuzinunua. Kwa kuwa sheria zetu hapa nchini hazina meno ya kutosha, niliwapelekea tu duka ambalo waliniuzia na walionekana kushtuka sana bila hatua zozote. Kwa hiyo tuwe makini na hizi bidhaa ambazo zimeshakuwa processed.
   
 20. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,869
  Likes Received: 2,814
  Trophy Points: 280
  Kinachotuumiza ndugu yangu ni kile kitu wanaita "Market Segment" usitegemee mafisadi waende kwenye masoko ya walalahoi kama wenyewe wanavyoita! Yaani wapaki Ma-VX yao kwenye soko mjinga? Nani kasema! Hao wanaoenda kwenye hayo Ma-supermarket ni wale wenye uwezo wao kifedha acha wajidhuru nani anajali!!! Sisi walalahoi tuendelee kwenda kwenye masoko yetu ili tupate vitu bora vya kutoka shambani!!
   
Loading...