Na huu ndio ukweli Sasa. Mungu afugi waongoAlidanganya magufuli anachapa kazi kumbe amekufa. Ana laana.
hajui ukaribu wa magu na maja huyo mwache kama alivoWewe ni muongo. Kabla kuteuliwa anajulisgwa kabisa na kukubali. The same kwa mawziri na ma DC wengine. Hakuna teuzi za kushtukizia kama hujui.
Acheni fiksi
Huu uhuni waambie CCM wenzio kwenye vikao vyenu vya majungu. Majaliwa hawezi kukaa kikao cha kuvunja Katiba kupitia ofisi yake.Wabongo mnapenda habari za umbeya na majungu sana. Kassim kakulalamikia chochote? Tena si ajabu kashiriki mipango yote hii ya kuisuka upya serikali. Watanzania punguzeni umbeya.
Huwezi kuteuliwa kuwa waziri mkuu bila kuuzwa na kufanyiwa vetting, huwa mnadanganywa tu lakini lazima uulizwe tena unaitwa IkuluKila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake.
Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa mtandao.
Kiuhalisia ni Mungu mwenyewe ndiye alimpa hii nafasi. Apangacho Mungu mwanadamu hawezi kukitengua, asimame imara kwa imani atimize majukumu yake.
Asikubali tena kubeba uchafu wowote na kuutetea bali asimame na nchi na asimamie haki. Ni bora watesi wako wakakutoa kwenye kiti kwa kusimamia haki kuliko kuondolewa kwa aibu.
Siku zote sisi wananchi ndio mahakimu..kama sio leo kesho.
Yule mzee akikwambia sahivi ni saa 7 mchana toka nje uangalie jua unaweza kuta ni saa 3 usikuAlidanganya magufuli anachapa kazi kumbe amekufa. Ana laana.
Acha uongo wewe...Wewe ni muongo. Kabla kuteuliwa anajulisgwa kabisa na kukubali. The same kwa mawziri na ma DC wengine. Hakuna teuzi za kushtukizia kama hujui.
Acheni fiksi
Wabongo mnapenda habari za umbeya na majungu sana. Kassim kakulalamikia chochote? Tena si ajabu kashiriki mipango yote hii ya kuisuka upya serikali. Watanzania punguzeni umbeya.
Na huu ndio ukweli Sasa. Mungu afugi waongo
Huu uhuni waambie CCM wenzio kwenye vikao vyenu vya majungu. Majaliwa hawezi kukaa kikao cha kuvunja Katiba kupitia ofisi yake.
Hii nafasi ya naibu waziri mkuu ilikuwepo kikatiba tangu majaliwa hajatoka kijijini kwao ruangwa kwahiyo kama ndio kimemkasirisha basi kumbe haijui katiba.Huu uhuni waambie CCM wenzio kwenye vikao vyenu vya majungu. Majaliwa hawezi kukaa kikao cha kuvunja Katiba kupitia ofisi yake.
Serikali hii haisukiki tena iko icuWabongo mnapenda habari za umbeya na majungu sana. Kassim kakulalamikia chochote? Tena si ajabu kashiriki mipango yote hii ya kuisuka upya serikali. Watanzania punguzeni umbeya.
Wabongo wanafiki mkuu usimdanganyeKila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake.
Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa mtandao.
Kiuhalisia ni Mungu mwenyewe ndiye alimpa hii nafasi. Apangacho Mungu mwanadamu hawezi kukitengua, asimame imara kwa imani atimize majukumu yake.
Asikubali tena kubeba uchafu wowote na kuutetea bali asimame na nchi na asimamie haki. Ni bora watesi wako wakakutoa kwenye kiti kwa kusimamia haki kuliko kuondolewa kwa aibu.
Siku zote sisi wananchi ndio mahakimu..kama sio leo kesho.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza..sio kila hoja lazima uchangie.Wabongo mnapenda habari za umbeya na majungu sana. Kassim kakulalamikia chochote? Tena si ajabu kashiriki mipango yote hii ya kuisuka upya serikali. Watanzania punguzeni umbeya.