Uwazi na usiri katika mahusiano kipi chafaa...?!

Uwazi na usiri katika mahusiano kipi chafaa...?!

ukishasema unakuwa mtumwa wa kutunziwa siri.
.
hii imenikuta kwangu mimi, niliyemwamini kuwa best friend, nikammwagia kisiri fulani cha chumbani nikidhani ni msaada kwangu, duh! kumbe jamaa ana frequency zenye masafa makali kuliko radio free africa!

natamani nimkate kichwa aisee!!!-- kila sehem akijsikia anaropoka tu ajisikiavyo!
 
Ila LILENDI kuna mambo mengine kuyatunza chumbani yanataka kifua haswaa...la sivyo unajikuta unayasema na mwisho wa siku kuishia kuwaza huyu mtu ashamwambia fulani na fulani...!usiri una faida zake..
kuna wimbo wa diamond...baadhi ya maneno ni kwamba kwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani.
kumwambia ndg au rafiki au jirani ina madhara yake......watu wengine ni magazeti/redio/tv.
ukishasema unakuwa mtumwa wa kutunziwa siri.
usiposema unaweza kufa kihoro/kujinyonga endapo mambo ni mazito.
tafakari kabla ya kuzungumza na watu mambo unayoyaita SIRI.
 
Last edited by a moderator:
yani mbuzi afie kwa muuza supu?! lol. Katavi ataimba haleluyah! you wont go back!

:focus:

wengi wetu huwa wanatumia matatizo ya wengine kusafirishia nyota zao, that means ukimweleza tu tatizo lako, badala ya kutoa ushauri wa maana, yeye anakuwa ndio msumari wa mwisho kwako kwa kukuangamiza zaidi....

mtoto wa kike ni mwepesi sana kuchoropoka nje kuomba msaada wa kimawazo, mwepesi kutegeka na kuingia mitegoni linapokuja suala la mapenzi...

sincerely speaking, kama majadiliano kati ya wawili yameshindikana, ni bora mkimbilie kwa wazazi!- shida itakuja kama hamko certified..!

halafu ujue swala la kutoa siri hata kama upo single sio vizuri kuongea ongea matatzo yako. umeanza kuchakachua eeh! hupat kitu hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hii ni faida ya usiri na hasara ya uwazi Excel..
hii imenikuta kwangu mimi, niliyemwamini kuwa best friend, nikammwagia kisiri fulani cha chumbani nikidhani ni msaada kwangu, duh! kumbe jamaa ana frequency zenye masafa makali kuliko radio free africa!

natamani nimkate kichwa aisee!!!-- kila sehem akijsikia anaropoka tu ajisikiavyo!
 
Last edited by a moderator:
Excel naweza kusema kujadiliana wawili ni siri kwa kuwa yanawahusu nyinyi ila sasa ukishawakusanya akina Husninyo Jawilat na wengieo kujadili nao mambo yako hapo ni uwazi...halafu umesema haumini katika usiri wala uwazi?upo katika kipi Excel?
Jawilat,

kila kitu kina madhara yake mazito... siri moyoni hupelekea mkuki moyoni...

kuanika mambo ya chumbani kwa wajinga wajinga nako hupelekea kutembea uchi mbele za watu..

kama sikuelewi na wewe hunielewi mimi, that means hatuelewani!- kwanini sasa tuishi pamoja????-- non sense!!!

mimi ni muumini wa serikali majadiliano! kiroho changu kiko karibu sana Jawilat- sina tolerance kiukweli!
 
Last edited by a moderator:
Katika mahusiano ni vyema kuwekana wazi ili kupunguza maswali yasiyokuwa na ulazima ambayo yanaweza kupelekea kutokuelewana
 
kuna watu matongozo yao huwa ni kwa namna ya kutafuta siri za ndani!. ukijua udhaifu wa mpinzani wako lazma umshinde.
 
Hii ni faida ya usiri na hasara ya uwazi Excel..
nilijifunza kitu kutokana na mistake hiyo, kiukweli hata yeye sikumfanyia siri, ya nini bana wakati inaniumaaaaa????

nilimvuta kando, nikamuweka kitako, nikamchana, nikamwambia sipendi anachofanya, nilimweleza yangu ya moyoni kama rafiki tu wa karibu, na si vinginevyo, ameelewa! sijui kama bado anaendelea kutangaza ama vipi!

ila ukweli ni kwamba, sipendi siri, napenda kuwa muwazi ndani kwa ndani- between me and my left rib.
 
Ahsante..
Yote yana faida na hasara.na yote yanahtajika kune mahusiano.mtihani ni wewe tuu
Uweze kunga'mua kipi cha kukiweka wazi na kipi cha kufumbia macho,ni hayo tuu
 
kuna watu matongozo yao huwa ni kwa namna ya kutafuta siri za ndani!. ukijua udhaifu wa mpinzani wako lazma umshinde.
point...

starehe nyingi za wanawake ni kusema mambo yao ya siri, hata kwa watu wasiowajua kiundani, ilimradi tu mmefahamiana within three minutes.!

hapo tu ndipo mnapomegwa mpaka na waganga wa kienyeji.

Please keep your matrimonial issues private to the best of your ability.

In forums such as JF where you can remain anonymous you can open up but still to some degree.

Marriage is sacred.
 
hii imenikuta kwangu mimi, niliyemwamini kuwa best friend, nikammwagia kisiri fulani cha chumbani nikidhani ni msaada kwangu, duh! kumbe jamaa ana frequency zenye masafa makali kuliko radio free africa!

natamani nimkate kichwa aisee!!!-- kila sehem akijsikia anaropoka tu ajisikiavyo!
kuua mtu dhambi kwa Mungu.
kumfanya bubu huwezi.
vumilia mkuu.
mimi hata nafsi yangu siiamini kiviiiiile
 
Kuwa wawazi kwa nyinyi wawili ni jambo la kheri ila sasa kuwa wazi kwa hao wa nje ndo kuna matatizo hapo,
nilijifunza kitu kutokana na mistake hiyo, kiukweli hata yeye sikumfanyia siri, ya nini bana wakati inaniumaaaaa????

nilimvuta kando, nikamuweka kitako, nikamchana, nikamwambia sipendi anachofanya, nilimweleza yangu ya moyoni kama rafiki tu wa karibu, na si vinginevyo, ameelewa! sijui kama bado anaendelea kutangaza ama vipi!

ila ukweli ni kwamba, sipendi siri, napenda kuwa muwazi ndani kwa ndani- between me and my left rib.
 
Thank you..missing you Karucee
Please keep your matrimonial issues private to the best of your ability.

In forums such as JF where you can remain anonymous you can open up but still to some degree.

Marriage is sacred.
 
Last edited by a moderator:
Kabisa Husninyo,mie nikikaa na kumueleza Excel mapungufu ya mpenzi Tuko,inakuwa rahisi sana Excel kutengeneza mazingira ya kuchepuka na mimi..
kuna watu matongozo yao huwa ni kwa namna ya kutafuta siri za ndani!. ukijua udhaifu wa mpinzani wako lazma umshinde.
 
Last edited by a moderator:
Thank you..missing you Karucee

I miss you too hun.

Ndoa bwana? Yaani kama sio kitu kinachompendeza Mungu.... simalizii.

But usianike ndoa yako kwa mashosti kisa stress za ndoa.

We all need to vent but have some sanity to keep some things to your self.

Goodnight hun.
 
Mambo ya wazi VS siri yanatofautiana sana kati ya mtu na mtu, jamii na jamii, tamaduni na tamaduni.

So ni kufanya kile ambacho akili yako inaruhusu.
 
Ila LILENDI kuna mambo mengine kuyatunza chumbani yanataka kifua haswaa...la sivyo unajikuta unayasema na mwisho wa siku kuishia kuwaza huyu mtu ashamwambia fulani na fulani...!usiri una faida zake..

faida na hasara zipo. ukiweka kwenye mzani unaweza kuona hasara moja ya kuisema siri nje ikawa na uzito mkubwa kuliko kunyamaza.
mfano:
umefanya mapenzi na mwanaume nje ya ndoa, unapata mimba na jamaa anajua kuwa yeye ndo baba wa mtoto huyo.
then unamwambia shost wako, naye anamwambia shost wake, mara naye anamwambia mumewe/boyfriend wake, hujakaa sawa, Mumeo anang'atwa sikio.
how will you feel?
what will you do?
human beings are complex creatures.
 
Kiss our son for me...unatokka na hasira hukoo unaanza kumwagaa ooh jamani sijui huyu mwanaume hivi na vile hirizi kiunoni inapumua,ooh sijui ana hichi ana kile..kesho unamkuta shostiyo na mumeo samakisamaki.!ulale salama,

Back
Top Bottom