Uwasaidie wasiharibu huduma uliyowapa

tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,919
2,000
Angelikuwa Pastor mbongo(weusi) nahakiki pasingekalika hapo kwa kishindo cha bwana harusi.:p:D:D
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,644
2,000
Hahaaa sasa kwa nini jamaa naye kakubali kuzibwa macho?

Nani sasa aliye mwerevu na aliye ju.ha hapo?

Mtu unazibwa macho na wewe unakubali tu ka zuzu....welp....ni dhahiri kwamba ni zuzu.
 
  • Thanks
Reactions: ydn

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom