Hebu toa ushauri wako wa ukombozi baada ya mpango wa ssmu kufanikiwa kuzima mikutano ya kukusanyika mfano halisi NMC Arusha huku tukiwa na mashaka kama taratibu za kuubadili zimefatwa na tenda za ujenzi wa kinachotarajiwa kujenga.
Pia vyombo vya habari kama TBC sisimu ukifanikiwa kuteka na vya binafsi. Mie niwapongeze kwa kufungua matawi kuelimisha umma kwa stategy ya M4C, Mikutano na vyombo vya usafiri kama vile magari, helkopta ili kutwanga kotekote.
Je, katika hili la vyombo vya habari na viwanja unaushauri gani kwa ukuaji wa demokrasia na ukombozi wa Taifa kwa makamanda akili ndogo isitawale akili kubwa tukaendelea kuwa NCHI Tajiri watu wake NDIO Maskini huku wachache wakifaidika na Utajiri wa nchi na wawekezaji.