Uwanja wa ndege wa Madeira wapewa jina la Cristiano Ronaldo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Ronaldo akizindua uwanja wa ndege ambao umepewa jina lake. Uwanja wa ndege wa Madeira sasa umepewa jina la Cristiano Ronaldo.​

Baadhi ya wanasiasa wa eneo hilo wamepinga uamuzi wa kubadilisha jina la uwanja wa ndege wa Madeira kuwa Uwanja wa Ndege wa Cristiano Ronaldo.

“Wakati mwingine, shukrani za taifa huwa hazidumu sana, lakini Madeira haitasahau,” Miguel Albuquerque, rais wa serikali ya Madeira alitangaza, hatua ya kubadilisha jina la uwanja huo ilipotangazwa.

xsax.png
 
Mjinga ni yule anayemwita mwenzake mjinga Na. Kwa7bu Ya Chuki binafsi Na. Kutokumpenda mtu.wenzako wanapenda vyao wewe utakufa Na. Chuki
Duh asante
Mimi si mjinga wala sina chuki na ronaldo ila nilichokua nasikitika ni kule kubadilisha lile jina kwa nini wasijenge au wangoje mwingine ujengwe ndio waupe jina hilo?
Hivi hapa kwetu tunaweza kuufuta jina uwanja wa jnia tukauita samatta
Nadhani unajua jnia ni nini long form yake lakini inahusiana na airport
 
Sasa hapa umeandika nini? Dar airport ilibadilishwa jina na kuitwa jnia? Jiongeze mkuu.
 
Duh asante
Mimi si mjinga wala sina chuki na ronaldo ila nilichokua nasikitika ni kule kubadilisha lile jina kwa nini wasijenge au wangoje mwingine ujengwe ndio waupe jina hilo?
Hivi hapa kwetu tunaweza kuufuta jina uwanja wa jnia tukauita samatta
Nadhani unajua jnia ni nini long form yake lakini inahusiana na airport
Samata?kha.unajua historia Ya Ronaldo Na. Tunzo alizopata na heshima aliyonayo duniani?Kwa sisi hatuwezi kufny hivyo kwa7bu jina la Nyerere lina historia na ni kubwa Kuliko.huyo samata wako.kwa wao wareno issue Ya Ronaldo ni km mtume kwao.na Kulinganisha jina dhidi Ya Almeria ni sawa tu
 
Samatta
Samata?kha.unajua historia Ya Ronaldo Na. Tunzo alizopata na heshima aliyonayo duniani?Kwa sisi hatuwezi kufny hivyo kwa7bu jina la Nyerere lina historia na ni kubwa Kuliko.huyo samata wako.kwa wao wareno issue Ya Ronaldo ni km mtume kwao.na Kulinganisha jina dhidi Ya Almeria ni sawa tu[
Samata ni wetu sote mchezaji bora africa mwaka jana umesahau mtanzania pekee kushinda tuzo
 
Mnaonaje na sisi homeboy wetu tumtengenezee sanamu tukaliweke pale Chato int Airport na kuupa jina jipya lililotukuka ule uwanja.
 
Ni sahihi tu, si lazima vitu vyote vitajwe kwa majina ya wanasiasa .hata sisi tubadilike, Si kila kitu kitajwe kwa watu walewale tu. Ni vizuri pia tuwakumbuke na kuwaenzi mashujaa wetu wengine kama Mbaraka Mwishehe, Muhidini Gurumo, Abdallah Kibaden, Gibson Sembuli,Suleiman Nyambui, Filbert Bayi,Amina Chifupa,Peter Tino, Amiri Andanenga,Morris Nyunyusa nk.Haiwezekani kila kitu ni jina la mtu mmoja tu.madaraja, mitaa, viwanja vya mpira,viwanja vya ndege,shule, vyuo nk ni wanasiasa watupu. angalau zamani walienziwa watu kama Shaaban Robert, Kbasila, Milambo, Tambaza, Kimweri, Sewa Haji, nk. Hatujachelewa tuwaenzi mashujaa wapya
 
Yaani umelogin kwa device iliyotengenezwa na wazungu kwenye mtandao ambao server zake zimegunduliwa na wazungu na bado unawaita wajinga? Kweli maajabu hayatakuja kwisha.
Sio kweli nimefanya yote hayo through Chinese
Hata wazungu wanatumia vya china
 
Duh asante
Mimi si mjinga wala sina chuki na ronaldo ila nilichokua nasikitika ni kule kubadilisha lile jina kwa nini wasijenge au wangoje mwingine ujengwe ndio waupe jina hilo?
Hivi hapa kwetu tunaweza kuufuta jina uwanja wa jnia tukauita samatta

Nadhani unajua jnia ni nini long form yake lakini inahusiana na airport

Wivu tu umekushika
 
Sammata akiwa kama ronaldo tutamtunuku uwanja wa ndege
 
Back
Top Bottom