samaki wa mbao
Member
- Apr 15, 2021
- 82
- 123
Kwanini mkataba kuhusu bandari uwe Siri?
Kwanini waharakishe kusaini?
Kwanini kunamkanganyiko kuhusu mkataba kipindi Cha kikwete, magufuli na Sasa Samia Nani Yuko sahihi?
Kwanini mikataba mikubwa km hii inafanywa km mikataba ya mtu binafsi au ukoo fulani?
Inaonyesha utapigwa sanaaa km mikataba mingine tu Dowans, Escrow, EPPA, Radder n.k,
CCM Ni hatari Sana ktk hii nchi kuliko corona