Uwanja wa Entebe kuchukuliwa na China kwa ajili ya Mkopo, Mashabiki wa Bagamoyo kaeni mkao wa kula

Kwanini mkataba kuhusu bandari uwe Siri?

Kwanini waharakishe kusaini?

Kwanini kunamkanganyiko kuhusu mkataba kipindi Cha kikwete, magufuli na Sasa Samia Nani Yuko sahihi?

Kwanini mikataba mikubwa km hii inafanywa km mikataba ya mtu binafsi au ukoo fulani?

Inaonyesha utapigwa sanaaa km mikataba mingine tu Dowans, Escrow, EPPA, Radder n.k,

CCM Ni hatari Sana ktk hii nchi kuliko corona
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.

So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.

Just get your facts right.
Wewe haya umeyapata wapi wakati Serikali imesema hakuna mkataba wowote katika ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo na sasa ndiyo yanafanyika mazungumzo.
 
My friend you are totally misleading your people.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha huyo jamaa ni muongo sana na utakuta ndo yupo kwenye team inayomshauri SSH anasema hakuna mkopo hapohapo anasema china itakopa kutoka uarabuni kama China inakopa sisi makapuku tunatoa api hela?! Nyie MACCM mtaua wapiga kura wenu mlitunganya hivihivi kwenye gesi ya mtwara kwamba umeme utapatikana wa uhakika na bei nafuu na watu waliuwawa kisha kupinga huu upuuzi wakaonekana wahaini duh! Wewe kikwete wewe gesi yetu ulimpaa mchina na umerudi tena kwenye bandari ya bagamoyo!?
 
Tukumbashane kidogo kwenye gesi ya Mtwara tuliambiwa umeme utakua wa uhakika na wa bei nafuu serikali ya kikwete na Maccm yakapeleka watu kuzimu waliokua wanapinga bomba lisijengwe kwa kigezo eti wanapinga maendeleo Leo hii umeme Mgao nchi nzima tunasingizia Maji kwenye mabwawa mara wengine wanakuja na ujinga wa service na gesi mchina anaendelea kuivuna Leo hii JK anapitia mlango wa nyuma na liproject lake La kifisadi na kimangungo la bandari ya bagamoyo..
 
Collateral kuuza ama kutaifishwa mbona uwa ni jambo la kawaida tu pale mkopaji anaposhindwa kulipa mkopo aliochukua.
HAKUNA JIPYA
 
Where are the facts. Unless you download the agreement for us to read and understand we can not agree with what you are talking about. We are already confused. CCM ni janga maana Marehemu ni wa CCM mama ni wa CCM. Kwa nini wanatuchanganya. Ingekuwa Mama ni wa chama kingine tungeelewa lakini ninyi kwa ninyi kwa nini kuwe na kujichanganya. Sisi wananchi tumwami nani. Marehemu au Mama. Haya maamuzi yenu huko mbele will cost us dearly. Ninawahurumia sana wajukuu zetu maana watakuja kusema baba zetu walikuwa watu wa jinsi gani. If we can not have visionary leaders one day we may find our self stuck as a nation but I am not praying for that.
Jk hapa anahusika alishindwa yeye kuusaini akamuachia JPM ,JPM nae akauponda bila hata ya kutuambia faida zake then hakuusaini sasa JK karudi tena na team yake wanamtega Mama aingie kichwakichwa but Mama she is her smart hawataamini maana kauweka mezani wanaujadili kisha watauweka wazi kwa jamii(I hope so)kitu ambacho JPM hakufanya zaidi ya kuuponda..
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.

So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.

Just get your facts right.
Acha ufyatu...hatuzungumzii mkataba wa ujenzi bali ule wa uendeshaji na vipengele vya masharti ya uendeshaji huo.
 
IMG_0673.jpg

Yatakayo fuata
 
Kipindi fulani Wachina walilalamika hizo ni propaganda za USA,juzi ilikiwa Zambia uwanja wa ndege, jana Kenya mradi wa treni yao leo Uganda uwanja wa Entebbe, bila shaka kuna kitu Wachina wanatuficha kwenye maswala ya uwekezaji wao na Afrika wamepatolea macho.

Hii mikataba iwekwe wazi bungeni waijadili au kuwe na jopo la wanasheria waidiscuss then watudadavulie faida ni zipi na hasara ni zipi.
Wabunge hawana uwezo wa kujadili mikataba
Hata hao wanasheria
 
Wabunge sawa ila wanasheria wanashindwa vp?

Naona kama umewatukana wanasheria, ina maana wote kazi bure, so kuna haja ya kutumia wanasheria wa nje watudadavulie si una manisha hivyo?
Mikataba yote tunayoilalamikia wahusika ni wanasheria, wanasiasa huwa wanaipitia tu kuona kama kuna la kushauri
 
Mikataba yote tunayoilalamikia wahusika ni wanasheria, wanasiasa huwa wanaipitia tu kuona kama kuna la kushauri
Kwa hiyo inabidi tuanze kuwatumia wa nje?

Mimi nina uhakika wapo wanasheria wakutusaidia ila hawaja pewa nafasi, nchi yetu hamna kitu kinatuathiri kama kumpa mtu kazi sababu tukujuana na si kwa uwezo wake,hili lime athiri utendaji kazi wa taasisi nyingi za kiserikali.

Wanasheria wapo tena wengi tatizo hawajapewa nafasi.
 
Magufuli hakuwa mtu wa kawaida kama wengi wanavyodhani, hivi ni wangapi wanaweza wakawa katika nafasi ya maamuzi ambapo unapewa 10% halafu ukatae?
 
mkuu uzuri tukishajiandaa kisaikolojia ,tunajua fika ile bandari sio yetu Tena Niya mchina. Ikifika Zambia asilimia 75 ya mashamba makubwa ya Zambia Niya China,China anachokifanya kwa Sasa ni kununua ardhi Africa ,mwisho wa siku lazma muwe koloni la China!!, ile bandari sio yetu Tena niya mchina,na China sio wajinga kivile,watajenga ile bandari ya bagamoyo lkn ,wanajenga kwa kuzingatia baada ya miaka 100,ambayo ndo mwisho w mkataba na ndo life span ya bandari. Wanalima mashamba makubwa huko Zambia niambie baada ya miaka 50 au 100,wanamaliza mkataba wanawaachia ardhi yenu lkn ardhi ambayo imechika na sio productive tena.wanahama wanaenda kununua nchi nyingine Tena!! huu ujinga Sana!!mkwere mungu atakulipa !!!
 
Back
Top Bottom