Uchaguzi 2020 Uwanja ukiwa sawa Oktoba 2020 CCM inashinda saa 4 asubuhi mafiga yote matatu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,150
Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi.

Ikumbukwe 2015 wale Friends of Lowassa walifanya ujanja ujanja mwingi mfano mzuri ni jimbo la Kawe, Kinondoni, Ubungo na Ukonga ambako kama siyo figisu wabunge wa CCM wangeshinda.

Mfano mwingine ni jimbo la Kilombero ambako wamasai kutoka kaskazini walienda kupiga kura kwa mujibu wa mbunge Lijualikali wa Chadema.

Niiombe NEC iwe makini October.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwani Chadema ipo ?
 
Mkuu hua unayasema haya toka moyoni au toka mdomoni tu basi. Maana sijajua unasahau na wasukuma walipiga kura wa wingi 2015 kwa sababu ya magu. Bila ya kusahau harakati sza bao la mkono.
 
Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi.

Ikumbukwe 2015 wale Friends of Lowassa walifanya ujanja ujanja mwingi mfano mzuri ni jimbo la Kawe, Kinondoni, Ubungo na Ukonga ambako kama siyo figisu wabunge wa CCM wangeshinda.

Mfano mwingine ni jimbo la Kilombero ambako wamasai kutoka kaskazini walienda kupiga kura kwa mujibu wa mbunge Lijualikali wa Chadema.

Niiombe NEC iwe makini October.

Maendeleo hayana vyama!
Kuna tahadhari umeitoa hapo juu ya kujiandaa kisaikolojia kwani mmeishajiridhisha pasi na shaka kuwa cdm Ina makosa na mnakwenda kuifuta! Fine. Hapa unadai ccm itashinda mapema asubuhi ikiwa inashindana na Nani ilihali cdm itakuwa imeshafutwa?
Huu upopo wako wa habari unakunyima tuzo na umahiri unaousaka!
Be specific and consistent hasa kwenye tahadhari na maangamizi unayoyatoa ambayo hayaakisi Hali halisi kwa ground!
Hata Kama mzee Mgaya kakupa ubuyu basi walishe wengine bila ghubu Wala hula na inda! Unayaona ya Marekani?
 
Tunachotaka haki itawale,kukiwa na faulo kwa hakika kuna watu watakatwa sana mapanga.Swali ni je ccm itakuwa tayari kukabidhi kijiti kwa amani?
Maana watashindwa
 
October ni kipimo cha uwezo wa kufikiri wa watz

Unajua mimi sina chama cha siasa. Ila kama Watanzania wakipewa muujiza wa kuona mbali na kujali maisha ya vizazi vyao vijavyo, tungefanya yafuatayo.

1) Uchanguzi wa rais ungeachwa kwa maslahi mapana ya taifa la leo na la kesho. Aliyepo anatosha na zaidi ya kutosha.

2). Ili kumsaidia rais kazi yake iwe rahisi, tungechagua Wabunge 90% kutoka upinzani ili raiswe tu mpendwa apate wasaidizi wa kweli watakao mrahisishia kazi na kuondokana na uteuzi wa mara kwa mara. Ifahamike rais wetu analazimika kuteua mara nyingi nyingi kwa sababu CCM ni ile ile haina watu sahihi. Kila wakati anatumbua watu sikwamba anapenda, bali ni kutokana na kukosekana kwa watu wa aina yake ndani ya chama chake. Uungwana na utulivu mnaouona ni nguvu ya Rais peke yake na si kwa sababu ya chama.

3) Uchaguzi ngani ya chini ufanyike bila upendeleo waka visasi.

Au vipi wananzengo?
 
Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi.

Ikumbukwe 2015 wale Friends of Lowassa walifanya ujanja ujanja mwingi mfano mzuri ni jimbo la Kawe, Kinondoni, Ubungo na Ukonga ambako kama siyo figisu wabunge wa CCM wangeshinda.

Mfano mwingine ni jimbo la Kilombero ambako wamasai kutoka kaskazini walienda kupiga kura kwa mujibu wa mbunge Lijualikali wa Chadema.

Niiombe NEC iwe makini October.

Maendeleo hayana vyama!
Jo unalipwa shilingi ngapi mtani? Hivi unajua kumpika chura teke ni kumuongezea hatua?

Jr
 
Kwani Chadema ipo ?
Ilikuwepo... Ipo na itakuwepo
IMG_20200531_072737_186.jpg

Jr
 
Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi.

Ikumbukwe 2015 wale Friends of Lowassa walifanya ujanja ujanja mwingi mfano mzuri ni jimbo la Kawe, Kinondoni, Ubungo na Ukonga ambako kama siyo figisu wabunge wa CCM wangeshinda.

Mfano mwingine ni jimbo la Kilombero ambako wamasai kutoka kaskazini walienda kupiga kura kwa mujibu wa mbunge Lijualikali wa Chadema.

Niiombe NEC iwe makini October.

Maendeleo hayana vyama!
Usiseme uwanja ukiwa sawa, kwa kuwa tayari hivi sasa chama chako cha CCM kinabebwa na vyombo vyote vya dola.............

Jiulize ni kwanini chama chako cha CCM kinaiogopa Tume huru ya uchaguzi sawasawa na kuiogopa Corona??
 
USHINDI LAZIMA

1. Mwenyekiti, mkurugenzi na wajumbe wa Tume ya uchaguzi - Wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM (Rais)

2. Matokeo ya Urais hayapingwi mahakamani

3. Vyombo vya usalama (Mkoa/Wilaya) - Wenyeviti wao ni makada wa CCM (Wakuu wa mikoa na wilaya)
Nimekusoma mkuu kweli chadema wakiacha figisu ccm itashinda saa mbili asubuhi🤣🤣
 
USHINDI LAZIMA

1. Mwenyekiti, mkurugenzi na wajumbe wa Tume ya uchaguzi - Wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM (Rais)

2. Matokeo ya Urais hayapingwi mahakamani

3. Vyombo vya usalama (Mkoa/Wilaya) - Wenyeviti wao ni makada wa CCM (Wakuu wa mikoa na wilaya)
Hahahahahahaha
 
Ikitokea uwanja ukawa 'fair' sisiemu itaingia rasmi kule inakostahili kuwa - jumba la makumbusho
 
Back
Top Bottom