Uvumilivu una mwisho, ndiko tunakoelekea

Uvumilivu una mwisho, ndiko tunakoelekea

chakufia nini

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
692
Reaction score
456
raia wa burundi waliogopa sana risasi,wakafa sana kwa risasi hizo hatimaye sasa hata risasi haziogopwi tena.hebu tazama walipofikia.na huku ndiyo tunakoelekea


burundi.jpg
 
Yafaa kuyasikia tu haya!

hivi mkuu unadhani sehemu zote zenye machafuko waliyataka?au walipanga wawe na machafuko?hakuna anaeombea machafuko hata kidogo ila huwa yanakufa pale inapobidi.hebu angalia kinachotokea burundi,kwani kuna mrundi yeyote alipanga yatokee yanayotokea?huwa hayapangwi mkuu,sisi hata tunaongezeka na rasilimali zinazidi kuuzwa,after 20yrs tutakuwa almost 70m na rasilimali hakuna.unajua kitakachofuata?
 
vita isikie kwa jiran tu lakn isikukute ww....

hakuna anayeiombea mkuu,huwa inakuja tu na huwa uanzia mbali sana,watu huwa wanalaumu ile sparking factor bila kuangalia factors nyingine.nchi hii itauzwa pole pole kama tunavyoshuhudia,itakapofika sasa rasilimali zote mikononi mwa wageni huku wazawa tukiwa hatuna chetu,hapo ndipo tutajuwa kuwa hatuna tofauti na mataifa mengine yenye machafuko
 
Utafanya hivyo endapo tu.una uhakika huwezi kupigwa.

Ukumbuke kuwa hayakutokea hayo Burundi wakati kuna machafuko tu,Bali wakati kuna machafuko na utawala ukiwa haupo.

Lakini kama yatatokea machafuko utawala ukiwepo,hatakuwepo mwenye nguvu/kiburi cha kufanya hivyo atauwawa kinyama mbele ya haraiki.
 
We si ndoulisema sababu tunayo, nia tunayo na uwezo pia tunao!

nilikuwa namkubali sana mzee huyu kutokuwepo kwake moyo wangu unakosa aman kama angekuwepo waliopo magogon sasa hvi wangekuwa wanatembeza magazeti mikoan...

R. I. P mwalim
 
Back
Top Bottom