Uvivu haufaiiiiiiiiiii..........................!

Uvivu haufaiiiiiiiiiii..........................!

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,145
uvivu waweza kuwa kipaji,

mtoto; Baba naomba uniletee hiyo glass

Baba; Njoo uchukue mwenyewe

Mtoto: Baba niletee basiiiii!

Baba: Usinisumbue ntakuja kukuchapa...!

Mtoto: Basi baba ukija kunichapa njoo na hiyo glass

Kumwomba MUNGU na kizazi hiki cha leo! MUNGU ukaonekane kama siku zote!

Hiyo ni zaidi ya uvivu, inawezekana hata akichapwa anajisikia uvivu kukimbia!
Nice joke!

Anaweza jisikia uvivu hata wa kusikia maumivu huyu. Teh teh, kama mkoma.

Back
Top Bottom