johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 718
- 703
Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM wilayani Ngara umesema unakusudia kufanya ziara katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo ambako viongozi wa vyama vya upinzani ili kusafisha hali ya hewa baada ya viongozi wa upinznai kufanya ziara zao
Katibu wa UVCCM wa wilaya ya Ngara bw Joseph Milenzo amesema vyama vya upijnzani hasa chadema imekuwa ikifanyya ziara katika kata mbalimbali za wilaya hiyo hivyo UVCCM ina wajibu wa kupita maeneo hayo ili kusafisha hali ya hewa
Amesema ziara hiyo inalenga kuwaelimisha wananchama wa CCM juu ya msimamo wa chama hicho baada ya ziara za vyama vya uoinzani hususan Chadema
Amesema mwishoni mwa mwezi ujao makatibu wa kata wa UVCCM wilayani Ngara wanatarajiwa kukutana ikiwa ni maandaliz kw aajili ya uchaguzi wa ndani ya CCM unaotarajiwa ufanyika mwaka kesho
Amesema CCM haina budi kujipanga ili kupata viongozi wazuri watakakiwezeshakupata ushindi katika chaguzi za serikali za mitaa mwaka 2014 na uchaghuzi mkuu wa mwaka 2015