UVCCM Ngara yakunwa na ziara za CHADEMA wilayani humo

johnmashilatu

JF-Expert Member
Sep 16, 2010
718
703
Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM wilayani Ngara umesema unakusudia kufanya ziara katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo ambako viongozi wa vyama vya upinzani ili kusafisha hali ya hewa baada ya viongozi wa upinznai kufanya ziara zao
Katibu wa UVCCM wa wilaya ya Ngara bw Joseph Milenzo amesema vyama vya upijnzani hasa chadema imekuwa ikifanyya ziara katika kata mbalimbali za wilaya hiyo hivyo UVCCM ina wajibu wa kupita maeneo hayo ili kusafisha hali ya hewa
Amesema ziara hiyo inalenga kuwaelimisha wananchama wa CCM juu ya msimamo wa chama hicho baada ya ziara za vyama vya uoinzani hususan Chadema
Amesema mwishoni mwa mwezi ujao makatibu wa kata wa UVCCM wilayani Ngara wanatarajiwa kukutana ikiwa ni maandaliz kw aajili ya uchaguzi wa ndani ya CCM unaotarajiwa ufanyika mwaka kesho
Amesema CCM haina budi kujipanga ili kupata viongozi wazuri watakakiwezeshakupata ushindi katika chaguzi za serikali za mitaa mwaka 2014 na uchaghuzi mkuu wa mwaka 2015

Yaani hawa UVCCM kazi Yao ni kuwaza uchaguzi tu!!?

Nilishawahi kusema wakati nachangia hapa jf kwamba nchi hii inaongozwa na CDM.Hii ndiyo REMOTE CONTROLER ya CCM na serikali yake.
Kama ni Mitandao ya Simu basi CDM ni Tigo,tiGo akibadilisha bei wote lazima wafate upepo,Market Leader

mimi kinachoniuzi ni jinsi uvccm wilayani ngara kufanya vijana wa ngara wasiwe na maendeleo wala akili ya kutafuta pesa.unakuta wanawafundisha vijana wa ngara dhuruma.kila siku vijana wa ngara utawakuta viwanja vya posta wanapigishwa kwata eti ni green guard. wengine unawakuta wanalinda office za ccm wilaya na wengine wakilinda viongozi wa chama wilaya.huko mgodi wa kabanga nickel barrick wakiendelea kuiba kama kawa.tpuuu...!!uvccm.mia

Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM wilayani Ngara umesema unakusudia kufanya ziara katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo ambako viongozi wa vyama vya upinzani ili kusafisha hali ya hewa baada ya viongozi wa upinznai kufanya ziara zao

Katibu wa UVCCM wa wilaya ya Ngara bw Joseph Milenzo amesema vyama vya upijnzani hasa chadema imekuwa ikifanyya ziara katika kata mbalimbali za wilaya hiyo hivyo UVCCM ina wajibu wa kupita maeneo hayo ili kusafisha hali ya hewa

Amesema ziara hiyo inalenga kuwaelimisha wananchama wa CCM juu ya msimamo wa chama hicho baada ya ziara za vyama vya uoinzani hususan Chadema

Amesema mwishoni mwa mwezi ujao makatibu wa kata wa UVCCM wilayani Ngara wanatarajiwa kukutana ikiwa ni maandaliz kw aajili ya uchaguzi wa ndani ya CCM unaotarajiwa ufanyika mwaka kesho

Amesema CCM haina budi kujipanga ili kupata viongozi wazuri watakakiwezeshakupata ushindi katika chaguzi za serikali za mitaa mwaka 2014 na uchaghuzi mkuu wa mwaka 2015

wameshakuwa used nani atawasikiliza wataongoe na watapanda jukwaani lakini nani mwenye akili aliyebaki akawasikiliza CCM bila kulipwa nani? katu hawawezi kuzima moto wa people power nani ccm ataweza huko ni kuzima au kujaribu kuzima moto wa petroli kwa maji.

Yaani kweli hawa magamba hawawezi kufikiri lolote hata kuwatembelea wananchi hawafikirii hadi CDM wafanye jambo nao ndio wanakurupuka

Back
Top Bottom