Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,728
- 870,464
Hiyo condom ilishatupwaga baada ya kutumika.
Umeshawahi kumsikia Tambwe Hizza au Dr. Lamwai tena?
List ni ndefu Sana....!!!
Hiyo condom ilishatupwaga baada ya kutumika.
Umeshawahi kumsikia Tambwe Hizza au Dr. Lamwai tena?
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.
Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.
Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Pasco.

This is very 'unPasco', siyo yule Pasco mchambuzi makini wa zamani. Body language kwenye hiyo picha iko wazi kabisa. Anyway, hata kama hakupigwa basi alidhalilishwa na huyo mhuni.Jamani kuna mtu anaitwa Zemarcopolo simuoni kabisa humu jamvini.
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.
Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.
Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.
Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.
Nilisema tena ile ilikua Provocation ili tususe.Nilisema tena na tena
Mkuu Ben, ukijua the motive behind, na the underlining facts zilizomfanya kijana awe mahali pale, na kulinganisha na kilichotokea, utakubaliana na mimi kuwa ni mission accomplished!, sasa mtu aliye accomplish covert operation very successfully na malengo yakatimia ni mtu wa kulaaniwa, kushutumiwa au kupongezwa?!.Nilisema tena ile ilikua Provocation ili tususe.Nilisema tena na tena
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.
Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.
Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.
Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.
There are two kinds of fools: those who can't change their opinions and those who wont (Josh Billings).Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.
Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.
Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.
Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.
Pasco mie nimekuelewa vizuri sana. Kula like yangu.Mkuu Ben, ukijua the motive behind, na the underlining facts zilizomfanya kijana awe mahali pale, na kulinganisha na kilichotokea, utakubaliana na mimi kuwa ni mission accomplished!, sasa mtu aliye accomplish covert operation very successfully na malengo yakatimia ni mtu wa kulaaniwa, kushutumiwa au kupongezwa?!.
Kwanza una set vijana wa mabango, unajua yakiibuliwa, vujo zitaibuka!, wamepewa maelekezo vujo zikiibuka tuu, wavurumishe viti, ukumbini pasikalike, kongamano livunjike!.
Ili kukwepa uhusika, usijulikane ni wewe, nahakikisha una saka limelight kwa unageuka mkombozi, mtuliza fujo na kisha kumsogelea mgeni rasmi kumuokoa, yaani wewe ni mukozi wa mgeni rasmi!. Huyu ni shujaa wa kupongezwa kwa dhati!.
Pasco
Uvccm kesho kumjadili makonda je watamtosa mwenzao? Kama Lowassa alivotoswa kweny richmond?
Jamani kuna mtu anaitwa Zemarcopolo simuoni kabisa humu jamvini.
Membe kajiandaa kuwamwagia madola kila mmoja ili wamsafishe Makonda kwani huyo ni Jembe lake maalum kwa Ajili ya kuwachafua wapinzani wake kwenye mbio za kuelekea ikulu.Yatatokea makundi mawili moja likipinga na moja likisapoti achukuliwe hatua
1: ccm maslahi hawatakubali makonda achukuliwe hatua lakini..
2: ccm UKAWA watasimamia maadili wakitaka achukuliwe hatua kali za kinidhamu
Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.
pasco, wahuni wale waliopandisha mabango kwenye mdahalo ule wa warioba ww unaweza simama kuwapongeza kuwa walifanya kazi nzuri? anyway siyo bure hata ww ni mtumwa wa bahasha lazima.
Mkuu Ben, ukijua the motive behind, na the underlining facts zilizomfanya kijana awe mahali pale, na kulinganisha na kilichotokea, utakubaliana na mimi kuwa ni mission accomplished!, sasa mtu aliye accomplish covert operation very successfully na malengo yakatimia ni mtu wa kulaaniwa, kushutumiwa au kupongezwa?!.