Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.
Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.
Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.
Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.