UVCCM kikao cha kumjadili Makonda kesho,

This is very 'unPasco', siyo yule Pasco mchambuzi makini wa zamani. Body language kwenye hiyo picha iko wazi kabisa. Anyway, hata kama hakupigwa basi alidhalilishwa na huyo mhuni.

Makonda kwa sasa ni Janga la Kitaifa , laana ya watanzania wapenda Amani lazima imkae , hata ajisafishe vp na clouds FM watu hawatamwelewa kwani wanajua anawazuga watu,wala Hana moyo wa Dhati juu ya kujutia kile alichokifanya hili ni jina lake jipya nitamwita Makonda a.k.a Deus Mallya.
 
Zifuatazo ni Sifa za huyo Mvurugaji wa kila jema linalowagusa maboss wake : Makonda a.k.a Deus Malya,Dalali wa Siasa za kimagumashi,Mkuu wa kitengo cha kihere here na kujipendekeza kwa wakubwa, Mratibu wa kulazimisha Katiba ya Kichina ikubalike kwa gharama zozote,Bingwa wa kuchafua Watu kwenye mtandao akiwa anamiliki ID kibao, chezea Makonda wewee.... Huyo ni Mzee wa Fursa yy hupenda Pesa tu ni Mangi Pesa kweli, yupo penye Pesa tu haijalishi anatumwa kufanya nini ! Membe kamtumia saana Kumchafua Lowasa kala sana Pesa za Marehemu Gadafi,sasa kageukia pesa za ccm ili akomae na Mzee Warioba , huyo ndiyo Makonda watu watakonda juu yake huku yeye akinenepa kwa Pesa za kufanikisha hujuma za kutumwa na wakubwa.
 
Uvccm kesho kumjadili makonda je watamtosa mwenzao? Kama Lowassa alivotoswa kweny richmond?

Tangia lini kesi ya Nyani ikapelekwa Gombe kwa Sokwe Mtu? Unategemea nini? Tambua Kuwa Makonda ni Mtu wa Membe na tayari alishapewa Pesa nyingi kwa ajili ya kumsaidia kwenye mbio za kuelekea ikulu, hivyo Membe hawezi kukubali Mtu wake aadhilike,lazima atamwaga Mapesa toka kwenye lile Fungu la Mabilioni ya Gadafi kusha wajumbe waje ni Vioja vya kumsafisha.
 
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.

Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.

Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.

Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.
Nimekosa tusi lakukutukana lakini si mzima wewe
 
Nakuelewa sana Pasco from to mbezi mbezi, from DTV to PPRA.
Usijitie ujinga kwa njaa ya siku 2. Hata Lowassa unayempigania kwa harakati za urais atakudharau.

So far simama imara Makonda ni kijana wa Sitta, Sitta ni against your hero Lowassa.

Jaribu kutumia taaluma yako ya pili yenye heshima kubwa.

Najua umeelewa na kweli uelewe!
 
Last edited by a moderator:
kijana mpuuzi kama yule sio wa kupoteza muda kumjadili,anyway they should comply with natural justice principles before taking disciplinary action
 
Ni sawa na kikao cha wendawazimu kumjadili chizi au kinyume chake
 
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.

Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.

Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.

Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.

mtindo wa lugha unayoitumia wengi hawaielewi. Kweli ni ukweli mchungu kwa lugha ngumu
 
Becoming a great thinker is not that much easy, huwa hatujipi muda wa kusoma na kutafakari, wengi wetu tunapenda vitu vya moja kwa moja, na kuna baadhi anapoanza kusoma post ashafanya self prediction kwahiyo ukimcorner kidogo tu anakuona huko sahihi
 
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.

Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.

Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.

Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.

Mkuu Pasco, ni kweli kijana kawawakilisha vyema sana waliomtuma, na amefanikiwa.
LNi kweli, mission accomplished, siyo kwamba tu alivuruga mdahalo, bali pia midahalo kama hiyo itazuiwa na jeshi la polisi kwa sababu za kiintelijensia!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.

Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.

Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.

Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.

hata kama hakumpiga kile kitendo cha kuandaa vurugu na kujifanya kumuaaidia warioba wakati akijua warioba ana walinzi kinaonesha alikuwa na nia mbaya!
 
Kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa Jaji Warioba kupigwa!.
Inawezekana UVCCM wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, UVCCM, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.

Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, Jaji Warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.

Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.

Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.

Endelea kutumika
 
kama zilivyo tuhuma dhidi ya kijana huyu ni za uongo!, ndivyo taarifa ya kikao hicho nayo ni uongo!.
As of now, hakuna taarifa yoyoye kwa jaji warioba kupigwa!.
Inawezekana uvccm wakawa kweli wana kikao kesho, ila ajenda sio hiyo, ila ndani ya kikao hicho kama kweli kipo, hoja hiyo inaweza kuibuliwa kwenye mengineyo!, na ikiibuliwa, uvccm, watatoka na tamko la kumpongeza kijana kwa kazi nzuri aliyoifanya kuwa mobilize vijana kwenda kuitetea katiba kwa yale mabango!.

Kwa vile vijana wale walionyesha tuu mabango yao juu, na nilimsikia mwenyewe, kwa masikio yangu, jaji warioba akisema waacheni!, hivyo walianzisha fujo, sio walioinua mabango, bali waliowaingilia kuwazuia wasiyaonyeshe mabango yao!.

Tamko la pongezi kwa kijana huyo na vijana wake, soon litafuatiwa na maandamano ya wakereketwa nchi nzima kumpongeza!.
Wajameni seek the truth, and the truth will set you free!.

Huu ni ukweli mchungu!, kijana alifanya kazi nzuri kuwatuma wale vijana kupandisha mabango, yaliyosababisha watu wawe provoked na kupelekea vurugu, hivyo kongamano likavunjika, mission accomplished!, huyu ni mtu wa kulaumiwa, kulaaniwa au kupongezwa?!.
Pasco.

nadhani baadhi ya wanajamii hwajaelewa lengo kuu la vurugu za kwenye mdahalo wa jaji warioba.
Kilichotokea pale ni mpango uliobuniwa na kusukwa na makada wa ccm lengo kuu ni kuvuruga kikao kisifanyike. Hii ndio itikadi inayosambazwa na baba riz kupitia makada wake kina MAKONDA na wahuni wenzake. Ili wanajamii wabaki na sintofahamu ya katiba pendekezwa ya ccm kwa kipitisha bila kuifahamu.
 
Jamani kuna mtu anaitwa Zemarcopolo simuoni kabisa humu jamvini.

Kajielewa sasa baada ya kuona anapigana na ukweli hapa..mwisho wa siku ata kicheo tu hakuna.

Sasa yupo kibasira high school ni mwalimu wa soma la EDU.
 
Back
Top Bottom