PreGE2025 UVCCM: Asanteni Singida kwa mapokezi makubwa

PreGE2025 UVCCM: Asanteni Singida kwa mapokezi makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
843
Reaction score
1,024
❇️ ASANTENI SINGIDA KWA MAPOKEZI MAKUBWA, HII NI IMANI KUBWA YA USHINDI WA KISHINDO KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025

Asanteni sana kwa shukurani zenu mlizopeleka kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo makubwa aliyofanya mkoa wa Singida kwenye sekta ya elimu, afya, miundombinu, maji na kugusa maisha ya kila mmoja.

Asanteni kwa kutekeleza sera ya Vijana na Uchumi na kuwa darasa kwa UVCCM mikoa mingine kuanzisha vitega uchumi kuondoa utegemezi.

Asante kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC).

IMG-20250325-WA0362.jpg
IMG-20250325-WA0361.jpg
IMG-20250325-WA0356.jpg
IMG-20250325-WA0355.jpg
 

Attachments

  • IMG-20250325-WA0360.jpg
    IMG-20250325-WA0360.jpg
    689 KB · Views: 20
  • IMG-20250325-WA0359.jpg
    IMG-20250325-WA0359.jpg
    448.6 KB · Views: 19
  • IMG-20250325-WA0357.jpg
    IMG-20250325-WA0357.jpg
    621.1 KB · Views: 31
  • IMG-20250325-WA0354.jpg
    IMG-20250325-WA0354.jpg
    812.4 KB · Views: 26
Back
Top Bottom