Uuzaji Bange ulivyonibadilisha tabia

Uuzaji Bange ulivyonibadilisha tabia

Waki legalize mapusha si watakufa njaa ....maana sasa hivi thamani ya bangi ipo sababu ni illegal ikiwa legal mtu anajipandia hata home .....biashara hakuna tena na ule mmea haunaga shida sana ya kutaka huduma watu watazipanda sana

Hiv bangi huwez kupanda mvunguni , geto kwako?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Waki legalize mapusha si watakufa njaa ....maana sasa hivi thamani ya bangi ipo sababu ni illegal ikiwa legal mtu anajipandia hata home .....biashara hakuna tena na ule mmea haunaga shida sana ya kutaka huduma watu watazipanda sana
Ndio watapiga hela zaidi maana stock watakayo kuwa nayo haitakuwa ya kitoto.

Tunachotaka kiwe similar na California iruhusiwe tulime kwa vibali maalumu na tuiuze kwenye makampuni yanayotengeneza madawa duniani kote na pharmacy kama pain relief kwa wagonjwa.

Hatutaki tulime ili tuwauzie wana nzengo wavute, bange inahitaji matunzo kwenye kulima kwake wale wanaopanda majumbani inakuwa haina stim kabisa na inapelekea uvute nyingi na madhara yake ni makubwa.

Ila ukweli ni kwamba lazima wadau wavute na mitaani wauze.
 
Mm Nataka kuingia kwenye hii industry ya kuuza mchicha, naanzaje??

Nataka mzigo nitoe shambani mwenyewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama hujawahi fanya hata usijaribu kama umewahi nenda Ngara au Karagwe na uanze.
 
Hiv bangi huwez kupanda mvunguni , geto kwako?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni gharama mkuu bange inahitaji mwanga na maji ukipanda ndani kwako itabidi upageuze pawe greenhouse ndogo.
Ukilima vinginevyo inakuwa na radha kama mwanamke anayetumika sana mchachuu!

Tafufa mataa makubwa (tubelights), feni, na bomba la maji dogo tu kachukue udongo mzuri ulikouona (ule wa mbugani) weka kama ka greenhouse kako panda mmea na hilo bomba linakuwa linadondosha maji matone matone ili usipate shida ya kumwagilia.

Ili usisanukiwe maji usijiungie kwenye mabomba kuwa na kipipa kidogo tu shuhuli imeisha.
 
Kama wateja ndio kama hawa... inalipa
IMG_20200429_173554.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda.
At the age of 17 nilikuwa nimeshashika hadi 4 million kwa mkupuo nilizozitafuta mwenyewe kwa jitihada zangu.

Anguko lake baya sana
See, hata wakina pablo walianza ivo ivo mzee 😅
 
Back
Top Bottom