Uuzaji Bange ulivyonibadilisha tabia

Hayo mahesabu yakuunganisha pisi hayakuwepo.

Kilichokuwa kinafanyika ni kufungua zote na kuzi-pack upya na hii ndio kanuni ya drug supplier wote.
Kwa majibu haya hujawai uza bangi fisi maji wewe!!ila unaitaji kujiunga na huo ujinga shauri ya ugumu wa kipato,nakushauri wacha ayo mawazo pesa haiji kirahisi namna hiyo
 
Kwa majibu haya hujawai uza bangi fisi maji wewe!!ila unaitaji kujiunga na huo ujinga shauri ya ugumu wa kipato,nakushauri wacha ayo mawazo pesa haiji kirahisi namna hiyo
Sawa. Una jingine we nzi wa kijani?
 
Akili inatumika zaidi bila kusahau kujenga connection mpya na pana.

Muuza ngada hata kama hajaenda darasa hata moja automatically anakuwa smart na anaifanya kama kaisomea vile, kosa dogo tu umeumia.
FB_IMG_15885362072874442.jpg
 
When you sell drugs you don't know when you'll get caught or when you'll go down!
 
Mkuu kuna siku za mwanzo wakati kila nikiwaona kina wiz khalifa na snoop Dogg wanavyosifia mmea na Mimi nikashawishika kununua.

Nikanunua, nikatoa mbegu na vijiti yale majani nikayasaga kiganjani kama navyoonaga wengine wanavyofanya, kwavile nlikuwa siwezi kuweka kwenye rizla nlichofanya nilinunua sigara nikatoa tumbaku yote alafu ndio nikaingiza bangi humo.

Nikaenda shambani kuivuta, ghafla nikasikia "PAAAA!!!!!" Kama kitu kimepasuka kwenye bangi, ule moshi wake uliumiza koo langu, basi nikaahirisha zoezi nikarudi geto.

Basi geto nmefika nikajilaza kitandani, bwana bwana wee, damu nahisi ikaanza kupita kwa spidi sana kwenye mishipa ya machoni, nilihisi kabisa Leo macho yangu yanapasuka na ntakua kipofu.

Nikanawa nawa na maji angalau kwa mbali ile hali ikapungua kwa mbali ila hali hii ilidumu kwa mwaka unakuta kila wiki lazima kuna siku nahisi damu inapita kwa kasi machoni hasa nikiwa nimeingia kitandani basi nakesha hadi saa nane ndio macho yanatulia.

Sina hamu tena na bange, Je hii ilisababishwa na nini mtaalam
siku zote dawa kwa mara ya kwanza usivute peke yako zile feelings zinapoanza kuja unaweza kujihisi tofauti utaanza ku-react na mapigo ya moyo kwenda kasi hivyo utajipatia madhara mengine, muhimu uwe na rafiki na aitengeneze vizuri kisha upate kadhaa.
 
Kweli Omera.
Guukinyi berr
 
Mkuu nikiunganisha dots na ule uzi wa south Africa napata picha.. uko vizuri sana
Ni gharama mkuu bange inahitaji mwanga na maji ukipanda ndani kwako itabidi upageuze pawe greenhouse ndogo.
Ukilima vinginevyo inakuwa na radha kama mwanamke anayetumika sana mchachuu!

Tafufa mataa makubwa (tubelights), feni, na bomba la maji dogo tu kachukue udongo mzuri ulikouona (ule wa mbugani) weka kama ka greenhouse kako panda mmea na hilo bomba linakuwa linadondosha maji matone matone ili usipate shida ya kumwagilia.

Ili usisanukiwe maji usijiungie kwenye mabomba kuwa na kipipa kidogo tu shuhuli imeisha.
 
Mkuu Leo mtu akikuuliza bange ni nzuri au si nzuri utajibu vipi?

Una kipi cha kumshauri mtu anayetaka kujiingiza ktk matumizi?
 
Mkuu Leo mtu akikuuliza bange ni nzuri au si nzuri utajibu vipi?
Sir bange ni nzuri kwa sababu tano.
1. Inaingiza kipato.
2. Inafanya mvutaji awe na akili sana.
3.Inafanya mvutaji awe makini kwa chochote.
4. Inafanya mtu awe mchapakazi.
5. Haikufanyi uwe mtu wa kupenda ngono. (Tofauti na drugs zingine)

Una kipi cha kumshauri mtu anayetaka kujiingiza ktk matumizi?
Asijaribu kama hana shughuli rasmi ya kumuingizia kipato, asijaribu kama yuko shuleni.

Ahsante.
 
Kwa anayejua wanakouza rizzla kwa being jumlajumla mwanza anielekeze please...
 
Back
Top Bottom