Broda...,and u r doing them a big favor mkuu ya kusambaza picha ya msichana wa watu uchi!? i though ulikuwa unakaripia hii kitu....kwanini usimsitiri basi kaa kweli imeku touch kiasi hicho?!
Haya ni maisha ya kawaida huko mpakani mwa Sudan na Ethiopia.
Hakuna anayeshangaa kitu hapO...!
Humgusi binti wa mtu hadi uripoti kwenye boma yao na kupata go-ahead ya ukoo!
Binti/Mama wa Kitanzania...hii maneno iko sawa?
Hivi kuna uwezekano hii jamii wakawa wameenda shule yoyote, au kupata exposure nje ya circumference yao, na kisha wabaki rigid na utamaduni wao?
Maneno yaliyojaa busara na hekima....................pala jimmy........huko aliko angeendelea kukaa uchi, na ungetupa maelezo yangejitosheleza.....kuliko kumuweka mtoto mdogo wazi kihivyo. hata kama huko kwao anegeendelea kuwa hivyo alivyo, lakini macho ya wengi hapa Jf yalikuwa hayajamuona na wewe ndo umeyakaribisha. besides huna uhakika kama huko kwao bado yuko hivyo. pata picha kama huyo ni ndugu yako (she might be somebody's lil sister pia ambae anachukia kuwa mdogo wake a minor yuko hivyo) nilijua wewe ni muumini mzuri wa neno la mungu, na nilizani kuwa neno hilo linataka watu wajistiri ........but maybe its just me
pala jimmy........huko aliko angeendelea kukaa uchi, na ungetupa maelezo yangejitosheleza.....kuliko kumuweka mtoto mdogo wazi kihivyo.
hata kama huko kwao anegeendelea kuwa hivyo alivyo, lakini macho ya wengi hapa Jf yalikuwa hayajamuona na wewe ndo umeyakaribisha. besides huna uhakika kama huko kwao bado yuko hivyo.
pata picha kama huyo ni ndugu yako (she might be somebody's lil sister pia ambae anachukia kuwa mdogo wake a minor yuko hivyo)
nilijua wewe ni muumini mzuri wa neno la mungu, na nilizani kuwa neno hilo linataka watu wajistiri ........but maybe its just me
..Huyo wa pili kutoka kushoto amenivutia sana....Duh!Na hawa Jeeee?
hawa wote walitoka europe kwenda kugombea kuolewa na mswati kasoro huyo wa kwanza kushoto,anawashangaa wenzie.full usedna hawa jeeee?
hawa wote walitoka europe kwenda kugombea kuolewa na mswati kasoro huyo wa kwanza kushoto,anawashangaa wenzie.full used