Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

Kwa Turkey au wairan sio waarabu na hasa wa Iran picha haziendi na waarabu ndio maana umeona nchi za kiarabu wana mahusiano makubwa na Israel kuliko Iran wanawaamini Israel kuliko wa Iran sababu Israel wana maslahi yao na nchi za kiarabu wana maslahi yao kwa israel. kumbuka nchi kama Egypt na Jordan miaka mingi wana mikataba na Israel na mahusiano yao mazuri tu hizi zingine ni siasa tu kila mtu anatizama maslahi yake wanawatumia tu wa palestine kugain political mileage.
 
Tunaposema mzungu, maana yake sio tu mtu mweupe ila mtu mweupe kutoka ulaya. Hawa ashkenazi hawana utofauti na wazungu wengine mzee. Sina tatizo wakisema wao ni wayahudi kwa dini ila wao wanakuja stori za race ya kiyahudi.
Hivi unajua Uyahudi sio dini tu ni Jamii,Kabila au Asili? Wayahudi wametokana na Yuda mtoto wa Yakobo.

Hivi "Wamasai" inaweza kuwa dini? Kwa taarifa yako tu hata muasisi wa taifa hilo David Ben Gurion alikua ni Atheists?
 
Hawa wayahudi wa sasa hivi ni feki, hawa ni wazungu wanaojifanya wayahudi. Wamebumba DNA kuonekana wana asili ya hapo middle east. Wayahudi wa asili wanatakiwa wafanane na wairan, syria, lebabon(levantines). Na kuna ngozi nyeusi pia wanadai ni wayahudi, sijui lini wataacha huu ujinga wa kutaka asili isiyowahusu.
Kwa nn wafanane na wairan na si wakurdi?wao ni wayahaudi na ndio asili ya mkuu nando kabibila lao.
 
Kihistoria kweli Israel imewapiga sana waarabu,lakini zama zimebadilika hawatakiwi kuogopa hivyo. Erdogan anaingilia migogoro mikubwa saivi tunaona. Alidungua mpaka ndege ya Urusi,kwanini anakuwa muoga? Shida ni silaha,mbinu au uchumi?
Bro they are everywhere.
 
Acha upumbavu na uongo ni waarabu au waislamu wapi wasio wasaidia wakimbizi?

Haya tende na takwimu.

(1) Jordan inawahifadhi zaidi ya wakimbizi wa kiSyria million 1.5 ,ambao ni sawa na wakimbizi wote walioko katika nchi zote za ulaya.

(2) Uturuki inawahifadhi wakimbizi zaidi ya million 3.
(3)Rebanon inawahifadhi wakimbizi million 1
(4) Iran inawahifadhi zaidi ya wakimbizi zaidi ya million 2 wa kiafughastan.

(5) nchi kama saudia,Qatar,UAE kuna wakimbizi zaidi ya laki 8 wa kiSyria sema wao hawaishi kwenye makambi bali wamejichanga kwenye maisha ya kawaida nadhani hata ujerumani wamefanya kitu kama hicho.

Taifa la kizungu linalo hifadhi wakimbizi wengi ni ujerumani tu ikiwa na wakimbizi million 1.
Nchi zote za kizungu zilizo baki ukiziunganisha zina wakimbizi wa kiSyria wasio zidi 500,000.

Sasa sijui unazungumzia waislamu na waarabu wapi mkuu?
Lete source au link tusome wenyewe
 
Na hao wakristo wa Palestina wanawapenda waisrael kuliko waarabu wenzao Waislamu. Hupo hapo?
Ww jamaa umejaa mavi kichwani badala ya ubongo.
Kwa hiyo Israel ikishambulia wapalestina kwa mabomu huwa yana chagua wakristo na waislamu?
Yaan umpende mtu ambaye anakubomolea nyumba na kukuulia ndugu zako kwa mabomu?

Kwa akili zako za kipumbavu una dhani ya kwamba huu mgogoro ni kati ya mayaudi na waislamu.
Mgogoro kati ya Israel na Palestine ni wa kugombania ardhi.
Kingine unacho takiwa kukijua waislamu ndani ya Israel ni zaidi ya million 2.5 kati ya raia 9 wa Israel wakati wakirsito hawazidi hata 200,000

Kingine aslimia 20 ya wabunge wa Israel ni waislamu wakati kwa upande wa wakristo hakuna hata mmoja.

Na juzi kabla ya mgogoro haujazuka waziri mkuu alikuwa kwenye mazungumzo na chama cha kiislam ili kuunda serikali ya umoja wa kitaifa inamaana mazungumzo yakifanikiwa kutakuwepo hadi mawaziri waislam kwenye serikali ya Israel.

Kingine unacho takiwa ndani ya jeshi la Israel kuna waislamu na mayahudi lakini hakuna wakristo.

Kwa haya maelezo inaonesha mayahudi na waislamu wana muingiliao mkubwa kuliko nyingi wakristo ambao mmekuwa mkijipendekeza.
 
Pamoja na hayo yote Ni kwamba hata hao waislamu waIsraeli lengo lao ni moja na wayahudi -ardhi. Kuwa mwislamu sio shida waislamu/waarabu Ndio wanaoongoza kwa kuuana hawana upendo wa wao kea wao
 
pia ajiulize kwa nini waarabu hawaisaidii Yemen na Somalia ziweze kutulia kiuchumi na kijamii
Waarabu wasikie tu redioni

Jiulize kwa nini nchi mfano za waarabu kukitokea vita nchini kwao wanakimbilia nchi za wakristo ulaya na marekani hawaendi nchi za waislamu wenzao?

Hata Pemba kulipotokea vurugu walikimbilia Ulaya sio Omani au uarabuni
 
Mbona sisi tulimuangalia tu Gaddafi anauliwa kama mwizi mataifa ya Africa sote kimyaa kama hatukuwepo wakati kiasi fulani alipigania sana Africa alikuwa na ndoto na bara hili lakini siku anateswa kama tulikuwa hatuko vile.
Hayati Mugabe ndiye aliyemwambia aende Zimbabwe akaishi huko, hakuna mwingine.
 
Pamoja na hayo yote Ni kwamba hata hao waislamu waIsraeli lengo lao ni moja na wayahudi -ardhi. Kuwa mwislamu sio shida waislamu/waarabu Ndio wanaoongoza kwa kuuana hawana upendo wa wao kea wao
Ndio maana nimesema huu mgogoro si wakidini kama wengi wanavyo fikiri.
Huu mgogoro unarazimishwa uonekane kama wa kidini kwa maslahi ya mataifa fulani.
Kumbuka ndani ya jeshi la Israel kuna waislamu na wao ni washiriki wa moja kwa moja kwenye mashambulizi dhidi ya wapalestina.
Wakati upande wa wapalestina kuna mamilion ya wakristo ambao wana teseka na kuuawa kutokana na mashambulizi ya Israel.
Kwa hiyo ww kama ni mkirsito na unasapoti kile kinacho fanywa na Israel dhidi ya wapalestina basi tambua miongoni mwa wanao teseka na ukatili wa Israel ni wakristo wenzio.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom