Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

Richard spencer

JF-Expert Member
Feb 22, 2021
709
1,000
Unachoongea Hakina mantiki kabisa. Kwani kuna mtu anayewajua hasa waIsraeli halisi wa enzi hizo walikuwaje? Kuna mtu anadhani kuwa farao alikuwa mwarabu lakini Afrika nzima hapo swali ilikuwa imetawaliwa na waafrika, waarabu wamekula tu kwa kuangusha tawala za kiafrika na kujitwalia maeneo. Je wewe unajua wamisri wa swali wako wapi?

Kama hatujui wayahudi ama wapalestina wa swali walikuwaje basi hatuna uwezo wa kujua leo Nani ni nani? Kabla ya ukoloni hakukuwa na mipaka Wala nchi. Hata asili ya waingereza ni Ujerumani na nchi za scandinavia.
Kitu Cha MUHIMU ni kuheshimu uti. Na kuishi kwa fair (equity)not equal(equality).

Haya maneno hayasaidii wapalestina kufa. Cha msingi ni kuondoa mgogoro Ili damu isizidi kumwagika.
Ulivyosema hoja yangu haina mantiki nikajua umekuja na hoja nzito kumbe stori zilezile tu.
Israel ya leo ipo middle east, eneo hilo watu wake ni waarabu na hao levantines, wazungu wanatoka ulaya, waafrika sisi kusini mwa jangwa la sahara. Sasa leo wazungu wapo middle east alafu bado unaamini tu hawa watu hapo ndio kwao.
 
Ulweso

JF-Expert Member
May 24, 2016
18,225
2,000
Israel anapambana na Hamas ni kakikundi kadogo sana ila anahangaika nako. Now kiongozi wa Hamas amesema kuishambulia ISRAEL kwao ni rahisi zaidi kuliko kunywa maji na wametangaza FULL WAR.
Kama kuishambulia Israel kwao ni rahisi sasa kina chowazui nikitu gani,. wakati kila siku wanabutuliwa, asubuhi niliangalia watu 119 wakiwemo watoto, Israel sita akiwepo askari 1, sasa nini hapo!
 
Richard spencer

JF-Expert Member
Feb 22, 2021
709
1,000
binafsi nimefika karibu mara 5 hyo nchi na kwa kias nawajua. wako wayahud wazawa na wako wayahud waliotoka maeneo mbali mbali. hawa jamaa wametawanyika karibu nchi nying sana hasa za kiarabu. na cha kusikitika watu huwa hawawaongelei wayahud waarabu au waafrika au wahndi. wao ni hao Ashkenaz tu. bro hawa watu wanapigania vita ya ujima. kwamba wayahud walishapata kichapo huko nyuma kutoka iran wakatawanyika baadae baadh yao wakajipanga wakarudi. wakaja wakapewa tena kichapo na warumi baadh yao wakajikusanya wamerud hivi ninavyoongea nchi zote za kiarabu na persia pamoja na uturuk wapo wayahud wazawa. wote wametokana na mtawanyiko wa mara kwa mara. wako ulaya amerika australia nk. na unatakiwa kujua hawa jamaa ni kabila moja tu kati ya yale 12 yaliyokuwepo. yale mengine yalipotea. ndio hayo unayosikia myahud wa yemen nk. pia nilikuta kabila la wasamaria wapo hapo miaka yote. ibada zao ni kama wayahud ila wanajiita wasamaria. nilichokuwa najaribu kukuambia ni kuwa hawa watu wanajuana. ni kama vile cc wachagga huko nyuma sio kwamba uchaggan cc ndio waanzilishi mzee kuna watu walikuwa wanaitwa wakahe wazee waliwapa kichapo wakachukua eneo lao. ndio life lilikotokea. wazungu wameenda amerika wameua watu wakachukua ardh yao hvyo hvyo australia Akusin. nk. sasa wenyeji wakirud mnapambana anaeshinda ndio mwenye nchi ukishindwa ukajipange.shida iliyopo hil la israel limechukua sura ya dini. watu hawajui kuwa wapo wapalestina waislam na wakristo pia kadhalika na israel pia. japo wapalestina wengi ni muslm na waisrael weng ni Jew. so watu hawatak kungea ukweli.
Mambo mengi nakubaliana na wewe kasoro sehemu moja tu ambayo ni hizo siasa za kusema walikimbilia ulaya na mambo mengine, labda nikwambie tu kuna kabila la Lemba lipo zimbabwe nao ni wamethibitishwa ni wayahudi, kuna kabila lipo ethiopia pia limethibitishwa ni wayahudi. Hivi hii ni nchi gani ambayo watu wake wa kila aina wana asili moja kama sio njia ya mamluki kupindisha ukweli na kujichomeka kwenye asili isiyowahusu? Hawa waafrika bila shaka watakuwa wamepitishwa ili tusihoji kwanini wawe wamekimbilia ulaya peke yake.
 
GeniSys101

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,146
2,000
Leo ndio nimejua asee,sijawahi sikia wakimbizi wa Syria wakimbilia Qatar au wakimbizi wa Palestina wakimbilia Misri au Saudia... sidhani kama kuna kambi za wakimbizi pia. Jiulie pia kwanini Walibya badala ya kuvukia Misri wanakubali kufia bahatini kwenda Ulaya?

Wakimbizi wengi wa kiarabu wanakimbilia Ujerumani na Ugiriki pamoja na Uturuki kuwa karibu lakini wanaenda mbali dah!!

Naamini hata Afrika tuna nafuu kwa huruma na ujirani kuliko waarabu
Halafu siku mbili utasikia wanawaita makafiri
 
kitali

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,545
2,000
Mambo mengi nakubaliana na wewe kasoro sehemu moja tu ambayo ni hizo siasa za kusema walikimbilia ulaya na mambo mengine, labda nikwambie tu kuna kabila la Lemba lipo zimbabwe nao ni wamethibitishwa ni wayahudi, kuna kabila lipo ethiopia pia limethibitishwa ni wayahudi. Hivi hii ni nchi gani ambayo watu wake wa kila aina wana asili moja kama sio njia ya mamluki kupindisha ukweli na kujichomeka kwenye asili isiyowahusu? Hawa waafrika bila shaka watakuwa wamepitishwa ili tusihoji kwanini wawe wamekimbilia ulaya peke yake.
hapana. ukienda ethiopia hlo kabila lipo. na ili kuhakikisha ni wenyewe popote wanapokuwa dunian ukiacha tu DNA. mila tamadun na ibada zao ni moja na hii ni kabla hata hawajuan. kilichowasaidia hawa jamaa hawakuacha dini na mila zao. na kimsingi hata waarabu hawakatai kuwa hawa jamaa hapo ni kwao. wanachopinga ni kule kuitwa israel. pangekuwa panaitwa palestina hawana shida nao maana wameish nao miaka yote. ule uzayun na kujitanua.
 
Richard spencer

JF-Expert Member
Feb 22, 2021
709
1,000
hapana. ukienda ethiopia hlo kabila lipo. na ili kuhakikisha ni wenyewe popote wanapokuwa dunian ukiacha tu DNA. mila tamadun na ibada zao ni moja na hii ni kabla hata hawajuan. kilichowasaidia hawa jamaa hawakuacha dini na mila zao. na kimsingi hata waarabu hawakatai kuwa hawa jamaa hapo ni kwao. wanachopinga ni kule kuitwa israel. pangekuwa panaitwa palestina hawana shida nao maana wameish nao miaka yote. ule uzayun na kujitanua.
Haya bwana.
 
Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,290
2,000
Israel anapambana na Hamas ni kakikundi kadogo sana ila anahangaika nako. Now kiongozi wa Hamas amesema kuishambulia ISRAEL kwao ni rahisi zaidi kuliko kunywa maji na wametangaza FULL WAR.
Sa mbona wanachapwa wao?
 
Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,290
2,000
Unachoongea Hakina mantiki kabisa. Kwani kuna mtu anayewajua hasa waIsraeli halisi wa enzi hizo walikuwaje? Kuna mtu anadhani kuwa farao alikuwa mwarabu lakini Afrika nzima hapo swali ilikuwa imetawaliwa na waafrika, waarabu wamekula tu kwa kuangusha tawala za kiafrika na kujitwalia maeneo. Je wewe unajua wamisri wa swali wako wapi?

Kama hatujui wayahudi ama wapalestina wa swali walikuwaje basi hatuna uwezo wa kujua leo Nani ni nani? Kabla ya ukoloni hakukuwa na mipaka Wala nchi. Hata asili ya waingereza ni Ujerumani na nchi za scandinavia.
Kitu Cha MUHIMU ni kuheshimu uti. Na kuishi kwa fair (equity)not equal(equality).

Haya maneno hayasaidii wapalestina kufa. Cha msingi ni kuondoa mgogoro Ili damu isizidi kumwagika.
Umeongea mbolea sana mzee chukua 👊
 
Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,290
2,000
Ulivyosema hoja yangu haina mantiki nikajua umekuja na hoja nzito kumbe stori zilezile tu.
Israel ya leo ipo middle east, eneo hilo watu wake ni waarabu na hao levantines, wazungu wanatoka ulaya, waafrika sisi kusini mwa jangwa la sahara. Sasa leo wazungu wapo middle east alafu bado unaamini tu hawa watu hapo ndio kwao.
Una hakika kuwa nj wazungu? Au umesikia stori za vijiweni na sio DNA? Toa uthibitisho unachosema
 
Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,037
2,000
Palestine ina zaidi ya wakristo million 2 ambao ni sawa aslimia 20 ya wapalestina.

Wakati Israel ikiwa wakristo wasio zidi 200,000 ambao ni sawa na aslimia 2 ya waisrael.
Na hao wakristo wa Palestina wanawapenda waisrael kuliko waarabu wenzao Waislamu. Hupo hapo?
 
Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,037
2,000
hapana. ukienda ethiopia hlo kabila lipo. na ili kuhakikisha ni wenyewe popote wanapokuwa dunian ukiacha tu DNA. mila tamadun na ibada zao ni moja na hii ni kabla hata hawajuan. kilichowasaidia hawa jamaa hawakuacha dini na mila zao. na kimsingi hata waarabu hawakatai kuwa hawa jamaa hapo ni kwao. wanachopinga ni kule kuitwa israel. pangekuwa panaitwa palestina hawana shida nao maana wameish nao miaka yote. ule uzayun na kujitanua.
Hata kwenye Quran imeandika kabisa wayahudi wakiotawanyika watarudi Israel
 
Richard spencer

JF-Expert Member
Feb 22, 2021
709
1,000
Una hakika kuwa nj wazungu? Au umesikia stori za vijiweni na sio DNA? Toa uthibitisho unachosema
Kwani we huwaoni kuwa ni wazungu hadi nikuthibitishie mimi,au we wazungu huwajui? Na kuna wannabe jews wa kiafrika ambao pamoja na kubaguliwa na kukataliwa huko Israel ila wamekomaa tu.
 
Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,290
2,000
Kwani we huwaoni kuwa ni wazungu hadi nikuthibitishie mimi,au we wazungu huwajui? Na kuna wannabe jews wa kiafrika ambao pamoja na kubaguliwa na kukataliwa huko Israel ila wamekomaa tu.
Uzungu sio weupe mzee,kama uzungu ni weupe basi hata waarabu au wahindi unaeza sema ni wazungu
 
Heijah

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,957
2,000
Sisi tunausikaje uko dini zenyewe tumeletewa tu..

Niliwahi soma historia nikaone hizi dini zote Baba yao ni mmoja sema kinachoendelea hapo ni vita ya Ndugu wawili.. hiyo vita iposiku itaisha tu akili zikiwakaa vizuri
Mbona sisi tulimuangalia tu Gaddafi anauliwa kama mwizi mataifa ya Africa sote kimyaa kama hatukuwepo wakati kiasi fulani alipigania sana Africa alikuwa na ndoto na bara hili lakini siku anateswa kama tulikuwa hatuko vile.
 
Richard spencer

JF-Expert Member
Feb 22, 2021
709
1,000
Uzungu sio weupe mzee,kama uzungu ni weupe basi hata waarabu au wahindi unaeza sema ni wazungu
Tunaposema mzungu, maana yake sio tu mtu mweupe ila mtu mweupe kutoka ulaya. Hawa ashkenazi hawana utofauti na wazungu wengine mzee. Sina tatizo wakisema wao ni wayahudi kwa dini ila wao wanakuja stori za race ya kiyahudi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom