Kwa Turkey au wairan sio waarabu na hasa wa Iran picha haziendi na waarabu ndio maana umeona nchi za kiarabu wana mahusiano makubwa na Israel kuliko Iran wanawaamini Israel kuliko wa Iran sababu Israel wana maslahi yao na nchi za kiarabu wana maslahi yao kwa israel. kumbuka nchi kama Egypt na Jordan miaka mingi wana mikataba na Israel na mahusiano yao mazuri tu hizi zingine ni siasa tu kila mtu anatizama maslahi yake wanawatumia tu wa palestine kugain political mileage.