Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,491
- 3,999
- Thread starter
- #41
Wapo
Wachache sana,sema lingineHivi kwani palestina hakuna wakristo na dini nyingine ndo maana nyerere aliligundua hili kukaa sehemu moja watu dini moja ,kabila moja taifa moja bila kuchangamana na watu wa sampli nyingine ni shida sana ndo haya na huko palestina