Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

Wapo
Hivi kwani palestina hakuna wakristo na dini nyingine ndo maana nyerere aliligundua hili kukaa sehemu moja watu dini moja ,kabila moja taifa moja bila kuchangamana na watu wa sampli nyingine ni shida sana ndo haya na huko palestina
Wachache sana,sema lingine
 
Waarabu wasikie tu redioni

Jiulize kwa nini nchi mfano za waarabu kukitokea vita nchini kwao wanakimbilia nchi za wakristo ulaya na marekani hawaendi nchi za waislamu wenzao?

Hata Pemba kulipotokea vurugu walikimbilia Ulaya sio Omani au uarabuni
Acha upumbavu na uongo ni waarabu au waislamu wapi wasio wasaidia wakimbizi?

Haya tende na takwimu.

(1) Jordan inawahifadhi zaidi ya wakimbizi wa kiSyria million 1.5 ,ambao ni sawa na wakimbizi wote walioko katika nchi zote za ulaya.

(2) Uturuki inawahifadhi wakimbizi zaidi ya million 3.
(3)Rebanon inawahifadhi wakimbizi million 1
(4) Iran inawahifadhi zaidi ya wakimbizi zaidi ya million 2 wa kiafughastan.

(5) nchi kama saudia,Qatar,UAE kuna wakimbizi zaidi ya laki 8 wa kiSyria sema wao hawaishi kwenye makambi bali wamejichanga kwenye maisha ya kawaida nadhani hata ujerumani wamefanya kitu kama hicho.

Taifa la kizungu linalo hifadhi wakimbizi wengi ni ujerumani tu ikiwa na wakimbizi million 1.
Nchi zote za kizungu zilizo baki ukiziunganisha zina wakimbizi wa kiSyria wasio zidi 500,000.

Sasa sijui unazungumzia waislamu na waarabu wapi mkuu?
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.
Kwaio izo ndio nchi za kiarabu zilizo ungana ndiomana alishinda mimi nikajua waliungana Iran Saudia Dubai uturuki emirates na nyingine nying za waarabu na steal wakapigwa na mu izrael
 
Kwaio izo ndio nchi za kiarabu zilizo ungana ndiomana alishinda mimi nikajua waliungana Iran Saudia Dubai uturuki emirates na nyingine nying za waarabu na steal wakapigwa na mu izraelit

Kwaio izo ndio nchi za kiarabu zilizo ungana ndiomana alishinda mimi nikajua waliungana Iran Saudia Dubai uturuki emirates na nyingine nying za waarabu na steal wakapigwa na mu izrael
Iraq nao nimewasahau,walikuepo
 
Kila nikiangalia video kinachoendelea hapo Gaza nashangaa sana, Waarabu wako kimya kama hawaoni. Afu Waafrika na unafiki wa kulaani kwenye media, inasaidia nini sasa?

Hakuna mzozo utakaotikea Mashariki ya Kati uache kusikia Uturuki inaunga mkono upande fulani na kusaidia silaa tena umguse Mwislamu Uturuki haiwezi kunyamaza.

Azerbaijan imeishinda Armenia kwenye jimbo la Nagorno kwa msaada wa Kijeshi kutoka Uturuki

Iran iko vizuri sana kiuchumi na Kijeshi, imetoa misaada mingi sana kwa makundi kama Hezbollah.

Uislamu ni udugu, Wapalestina ni Waislam, kwanini hawatoi msaada kwa ndugu zao Palestina? Ina mana Israel inaogopeka kiasi hicho? Kinchi kidogo kiasi hicho hata Mkoa wa Kilimanjaro mkubwa?

Waarabu ni muda wa kujitambua sasa.
Na ww pia uku huku mtandaon panda ndege uende ukashike mtutu km hutak kaa kimya
 
Hivi kwani palestina hakuna wakristo na dini nyingine ndo maana nyerere aliligundua hili kukaa sehemu moja watu dini moja ,kabila moja taifa moja bila kuchangamana na watu wa sampli nyingine ni shida sana ndo haya na huko palestina
Palestine ina zaidi ya wakristo million 2 ambao ni sawa aslimia 20 ya wapalestina.

Wakati Israel ikiwa wakristo wasio zidi 200,000 ambao ni sawa na aslimia 2 ya waisrael.
 
Baada ya hao wanao jiita Waizrael ( mimi nawatambua kama Walowezi kutoka maeneo mbalimbali ya Ulaya na Marekani) kujipenyeza Palestina iliyokuwa ikikaliwa na Waarab kwa miaka mingi na kujitangazia Uhuru wao mwaka 1948 chini ya Waziri Mkuu wa Kwanza David Ben Gurion!

Baada ya kuzaliwa kwa Taifa la Israel, mkakati wa kuyachukua maeneo ya wenyeji kwa nguvu ili kuwapatia Walowezivwa Kiyahudi, ulipamba moto! Waarab (Wapalestina) ambao ndiyo walikuwa wenyeji wa hilo eneo, walipambana dhidi ya Wavamizi kwa miaka mingi, na kuishia kushindwa!

Kulikuwa na vita mwaka huo huo wa 1948, 1956, 1967, 1973, mpaka leo hii bado hali si shwari. Na katika vita hivyo, kuna nyakati ambapo nchi za Kiarab kama Misri, Syria, Lebanon, Iraqi, Iran, nk ziliisaidia Palestina! Lakini mwisho wa siku wote walishindwa na hao Waizrael!

Na ndiyo kipindi hicho baadhi ya nchi kama Misri, ziliamua kuingia makubaliano binafsi na Israel kupitia Makubaliano yaliyofanyika eneo la Camp David Marekani na kuongozwa na Rais wa kipindi hicho Jimmy Carter, na hivyo Misri kujitoa rasmi katika uhasama na Israel mtoa roho.
kwa maelezo yako ni kama vile hilo eneo halikuwa na wayahud wazawa.
chief iko hvi. hao jamaa wanajuana. yule anaemshinda mwenzie ndie mtawala. so cku waarabu wakiwashinda hao jamaa itaitwa palestine wakishindwa ndio hivyo tena. so style yao ya kutawala ilikuwa hivyo popote dunian kwamba mwenye nguvu ndie anaeamua aishi wap.
 
Hawa wayahudi wa sasa hivi ni feki, hawa ni wazungu wanaojifanya wayahudi. Wamebumba DNA kuonekana wana asili ya hapo middle east. Wayahudi wa asili wanatakiwa wafanane na wairan, syria, lebabon(levantines). Na kuna ngozi nyeusi pia wanadai ni wayahudi, sijui lini wataacha huu ujinga wa kutaka asili isiyowahusu.
 
una ushahd mzee au unajisemea tu kimhemko. ushawah kufika huko ukaona uhalisia? unajua baba yake wazir mkuu wa sasa ni mzawa halis wa hapo? ukiacha wayahud wa kuja unatakiwa kujua walikuwepo wayahud wazawa hapo.
 
Mkuu Waarabu walishaungana mara nyingi kuipiga Israel lakini hawajafanikiwa! Mwaka 1956,1967,1973 hawajawahi kuishinda Israel,labda ukiondoa vita vya mwaka 2006 ilipopambana na Hezibollah!
Hatimaye waliishia kugawanyika na wengine wakirudisha uhusiano na Taifa hilo dogo!
Irani inajitahidi na nadhani ndiye anayefadhili vikundi vya Hezibollah na Hamas lakini bado ni shughuli pevu kupambana na Taifa hilo dogo.
Uturuki hana ubavu wa kukanyaga pale kuisaidia Palestina! Juzi juzi Edogan alisikika akimwomba Putin wa Russia kuungana ili kuiadhibu Israel.Russia hawajatoa na wala wala hawatatoa jibu lolote!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom