Utupu wako ndio utu wako, sio pesa

Hayo ni MAWAZO yako mkuu, wenzio pesa ndiyo kila kitu uchi hata mtoto mchaga anao.

Kwahiyo Kama Ex wako anajinasibu kakuchuna kwa kibao kimoja ujue kuwa hukumfikisha alipozoea, maana ungemsugua vilivyo hata hizo kashfa usingezisikia,.

Kashfa hukufanya kuwa imara. Kajipange upya blaza.

😂 😂 😂
 
Halafu bahati mbaya sana sijachunwa mjini,mjini tunanunua tu kuanzia elfu 5 mpaka 10,000.
Milioni moja inanunua malaya zaidi ya mia
Pole sana kwa kuchunwa kijijini,

Kama nakuona ulivyogeuzwa ATM in hope atakua mke wa kutulia nae ndani baadae anakitangaza Kibamia chako mitaani tena anaongezea hakina afya,

Tena nilitoa cash M moja,hizi 50,000 hata hazina idadi alikula nyingi sana,kuna watu wamezaliwa na nyota zao sio nyota zenu hizo mnazopewa na wanaojiita waganga wa jadi,kumpata wa kumchuna laki tu shida.
 
Hahahaha ama kweli una nyota ya bundi, ukaliwa pesa zote hizo na ukaambulia kupiga mara moja tu,

Ila sishangai wenye vibamia hua mnajitahidi sana kuhonga ili mstiriwe aibu zenu.

Nayahisi maumivu yako hadi ukaja kufungua uzi JF,.
 
Ujue pesa ni Mungu wa dunia, sasa kautu kako unakalinganisha na Dola? Pesa ni kila kitu, unacheka kipesa, unalia kipesa, unacheza kipesa, unafanya kila kitu kipesa. Hata kungekuwa na uwezekano wa kuhonga kifo unahonga, jeuri ya pesa!
 
Unaanzaje kumkashifu mwanaume ambaye tayari kaona utupu wako, hoooo wewe fala umenihonga zaidi ya milioni halafu mimi nimekupa mara moja tu, kabao kenyewe kamoja tu ka kichovu, je hiyo pesa ina thamani kuliko mwili wako?

Je, angekugonga mabao mia pesa yake ingerudi? Kama ulitoa nanii baada ya kupewa pesa je unanunuliwa?

Hata uhongwe milioni mia mwili wako unathamani kuliko chochote, ukiufunua tu kuwa mpole mheshimu sana uliyemfunulia vinginevyo unakuwa unajidhalilisha tu.
JamiiForums-352437572.jpg

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Huwa sihangaiki kumridhisha mwanamke,mungu kamuumba vizuri tu lakini bado mikope ya bandia yaani kila kitu fake,hata mshindo nao fake, naitwa dali kimoko yaani mimi ni kimoja tu nasepa.
 
Daaahh 😀😀😀😀😀
Huwaga wanajipaga moyo na kujifisha ujasiri fake mbele za watu, ila wakiwa peke yao huwa wanakili wanahitaji wanaume, tena wengi tu. Mimi kuna mabinti 35+ washakili kwa kinywa chao mbele yangu wanahitaji watu.

Husifanye masihala na upweke, upweke unaua, unaweza kukufanya ukose furaha hata akili yako isitulie vizuri, kuna kipindi unaweza kumtafuta mtu ili mradi akukele na husimpate hata nzi na mbu nao wanakukimbia,mwisho wa siku mali zote unazo miliki unaziona kama hazina maana.
 
Huwa sihangaiki kumridhisha mwanamke,mungu kamuumba vizuri tu lakini bado mikope ya bandia yaani kila kitu fake,hata mshindo nao fake, naitwa dali kimoko yaani mimi ni kimoja tu nasepa.
Mridhishe unayempenda tu sio wote
 
Hahahaha ama kweli una nyota ya bundi, ukaliwa pesa zote hizo na ukaambulia kupiga mara moja tu,

Ila sishangai wenye vibamia hua mnajitahidi sana kuhonga ili mstiriwe aibu zenu.

Nayahisi maumivu yako hadi ukaja kufungua uzi JF,.
Kinakuwa kibamia kwa mwenye bwawa, kwa mwenye mnato tango,unaziona nyingi sana hujawahi kuchuna kiasi hicho kwasababu huna hadhi,wenye hadhi zao hizo ni pesa ndogo sana watu wanajengewa magorofa sembuse milioni moja,halafu jiulize huyo anayehonga milioni moja mfukoni anakuwa nazo ngapi
 
Acha kujimwambafai umeona aibu wanaume wenzio wamekuzodoa hapa,

Ungekua na hela ungekuja kuanzisha uzi wa kuchunwa JF???

Unadhani ukiniattack mimi ndo itabadilisha uhalisia kua umeliwa kihela chako cha ngama na bado umeambulia kimoja na siri yako ya kibamia ipo mtaani,

Hurumaaaaaaa
 
Ngoja tu nikubali kushindwa na kibamia changu,milioni moja imekuuma utafikiri kachunwa mumeo.
 
Hayo ni MAWAZO yako mkuu, wenzio pesa ndiyo kila kitu uchi hata mtoto mchaga anao.

Kwahiyo Kama Ex wako anajinasibu kakuchuna kwa kibao kimoja ujue kuwa hukumfikisha alipozoea, maana ungemsugua vilivyo hata hizo kashfa usingezisikia,.

Kashfa hukufanya kuwa imara. Kajipange upya blaza.
Huu ni ukweli ambao ni mchungu
 
Back
Top Bottom