ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 639
- Thread starter
- #21
Uko sahihi,Ila kujisifia amechuna nyingi ni kujidhalilishaSimply, wanawake wanapenda pesa. Hata akikupenda hawezi kukwambia amefuata pesa, yaani pesa ni kiungo mzuri sana kabla ya yote. Pesa muhimu sana, inaleta heshima na kutatua changamoto kwokwote duniani.