mimi ni braza tu..... maamuzi ya kutoa ni yao.... ila ndio bado vitoto hata chuo hawajamaliza..... 25 kwa 23..... hopefully ntalea ...ndio kaka mkubwa...... na anaishi kwangu
Ama kweli vidole katu haviwezi kulingana, hiyo mimba kama anayo si angeihamishia kwangu!!