Utumwa wa Waarabu

Utumwa wa Waarabu

nijuzwe tu hili.... Yule Bilal mtumwa mweusi kutoka Ethiopia ya leo huko uarabuni alikua ni muajiriwa wa kampuni gani?
KWA BILAL ALIKUWA MTUMWA KUTOKA UHABESH(ETHIOPIA YA SASA). HUYU ALITOLEWA UTUMWANI(CHINI YA WAARABU) BAADA YA KUTOLEWA KIKOMBOZI, JE UNAJUA NI NANI ALITOA KIKOMBOZI?
 
Recalling Africa’s harrowing tale of its first slavers – The Arabs
History of slavery in the Muslim world - Wikipediahttps://www.quora.com/ Why-did-Muha...-when-he-already-had-more-than-enough-wives
Slavery in Africa - Wikipedia
BBC - Religions - Islam: Slavery in Islam

Nimekuwekea references ukasome.Sisemi kuwa christians hawakufanya biashara ya utumwa La hasha ila nilitaka kukupa ushahidi kuwa utumwa ulifanywa na races zote regardless ya imani zao.

Mtume wa Allah mwenyewe alimiliki watumwa wa kike na kiume.Sisemi kuwa alifanya dhambi bali ule ulikuwa ni utamaduni nyakati zile manake hata biblia imeongelea sana mambo ya utumwa.
Kwa dhamira yeyote ile ndugu zangu tusipotoshe historia.Mababa wa Utumwa Afrika ni Waarabu!
Haya mafact kutoka Western Countries mbona tulishafundishwa skuli kitambo sana. Unge quote na aya flani ingekuwa powa zaidi
 
Haya mafact kutoka Western Countries mbona tulishafundishwa skuli kitambo sana. Unge quote na aya flani ingekuwa powa zaidi

Nchi za magharibi zimewapotosha hawa ndugu zetu, wakuwaonea huruma masikini ya Mungu.
 
Kwa Povu hili

Lazima tuongeze viwanja zaidi
Ndugu,obsession yako ya kuwaondoa waarabu katika hii biashara kwa maana kuwa wako innocent haitakusaidia kabisa.Huko Arab Emirates kuna documentary kibao za manyanyaso ya watu weusi yanayofanywa na waarabu.Na hata ubalozi wa Tanzania ushatoa tamko kuhusu unyama wanaofanyiwa dada zetu na waarabu.Unataka niingie katika mtego wako wa chuki za kidini ambazo kwa namna yeyote ile hazitanifanya mimi niwe muislam(just because wamisionari walimiliki watumwa)Au wewe uwe mkristu(Just because waarabu including Muhammad)walimiliki watumwa.

Uzushi wa aina hiyo na inclination hzo towards other peoples' beliefs zinakufanya uwe na kinyongo(escaping your own shadow by incriminating others) Nakushauri ujikite zaidi kujifunza utu wema na si vijipropaganda mnavyopandikiziwa kwenye kile chuo chenu cha Ahsante Mukapa (Graduates wake wanaongoza kwa hasira na chuki Tanzania)
Enjoy life ndugu yangu maisha ni mafupi sana
 
Hao ni wamissionari wa kikatoliki. Nimeelewa kabisa uzi wako na lengo lake kwamba unaona waarabu wanaonewa hawakutesa watu. Ni hivi maalim, wamisionari wa kikatoliki walikuwa wanawanunua kutoka kwa mabwanyenye masultani wa kiarabu na baadaye kuwarudishia uraia wao na kuwa huru. Wengi walikuwa wanatunzwa bagamoyo na walipewa mafundisho na wengi ndio walikuwa makatekista yaani waalimu wa kizalindo ya dini ya Kikatoliki. Nenda pale bagamoyo hizo picha na maelezo utayakuta mengi.
Mbona hawakuwasaidia2wale mamilioni waliopelekwa kwao Ulaya na Marekani?
 
Ungetueleza kwanza
Hao Wazungu,walifanya Biashara ya Utumwa au La?!!

jawabu lake huenda likapatikana kwenye jibu lako au ukawa mwanzo wa kujibiwa swali lako in sha Allah
Wazungu walifanya biashara ya watumwa.Haya,jibu swali la awali!
 
Msiwe mnapenda kuongea bila fact, wewe umeletewa na mzungu picha za kuchora na wewe ukaamini!!! Mtapata tabu sana
Nimeandika ..."Waarabu hawajawahi kufanya biashara ya watumwa"...ili ufurahi.Sasa unataka nini?Inferiority complex inawafanya mjivishe mabomu.Stupids!
 
nijuzwe tu hili.... Yule Bilal mtumwa meweusi kutoka Ethiopia ya leo huko uarabuni alikua ni muajiriwa wa kampuni gani?
We ni mgeni wa history bila shaka. Unafahamu kama Yemen kulikuwa na Wanasara(wakristo) ambao walikuwa wanateswa na mtawala wa hapo. Mpaka wakatoka waarabu wakaenda Ethiopia kuomba msaada. Ethiopia ilivyofika Yemen ilishusha kichapo kizito na wakaweka utawala wa kwao, Yemen yote inaangaliwa na Ethiopia kijeshi.

Makka kipindi hicho Al Kaaba bado ipo. Mfalme wa Yemen au Kiongozi wa Yemen kwa kipindi hicho ambacho walikuwa ni wahabesh/Ethiopia walitoka na jeshi(kuna mambo yalitokea hapo kati) kutaka kuvunja Al Kaaba. Waarabu wa Makka wote walikimbia kutokana na ukubwa na umahiri wa jeshi la Ethiopia lilitoka Yemen. Ila liliharibiwa hilo jeshi kwa uwezo wa Mungu.

Miongoni mwa watu waliyokuja na hilo jeshi lakini hawakushiriki mapambano ni wanawake. Katika hao wanawake alikuwepo binti mtoto wa Kiongozi wa kifalme huyo wa Ethiopia. Huyo binti alikuwa anaitwa Hamamah. Kwa hiyo kwenye hiyo Waarabu walivyona jeshi limeharibiwa, huyo binti akakamatwa kama mateka. Akaolewa na Rabbah, ni muarabu kutoka kabila la Banu Jumah. Kabila ya Jumah ilikuwa ni miongoni mwa kabila ya Kiarabu iliyokuwa ya kitumwa kwa Waarabu wenyewe. Mzee Rabbah akazaa mtoto aliyekulia mazingira ya kitumwa. Kwa hiyo, huyo mtoto naye akawa mtumwa.

Huyo mtoto jina lake ni Bilal bin Rabbah. Alikuwa ni mweusi. Baba alikuwa ni Muarabu mtumwa na mama alikuwa ni Muafrika.

Muhammad alipotangaza kwamba yeye ni Mtume moja ya suala alilokuwa analipiga vita ni Utumwa. Akwamwambia Abuu Bakr hamna ambaye anayeweza kumkomboa Bilal kutoka kwenye Utumwa? Abu Bakr akaamua kumnunua Bilal kwa pesa yake, halafu akamuacha huru.

Khalifa, Sahaba ya Mtume, Omar ibn Al Khattwab alikuwa akisema " Abu Bakr is my master(Sayyid), and he freed our master(Sayyid); ambaye ni Bilal.
 
Mbona hawakuwasaidia2wale mamilioni waliopelekwa kwao Ulaya na Marekani?
wewe sio kila mzunu ni padri tofauti na wenzao kila mwarabu alikuwa shehe. Hili kundi la wamisionari lilikuwa linapambana na yeyote aliyekuwa anafanya biashara hiyo dhalimu. Iwe mzungu, iwe mwarabu wao wanawapokonya na kwawarudishia ubinadamu na utu wao. Si unaona maalim hao wana misalaba?
 
Usijibu kama unawaza na makalio. Huko kwao kulikuwa na utumwa na.ukatili mkubwa dhidi ya waafrika tena kwa mamilioni na kama kweli walikuwa na msaada wangeanzia kwao kwanza
 
well said! ndio nachokisema huwezi tenganisha uarabu na utumwa. uislam as dini ndio iliyoleta ukombozi kwa watumwa katika jamii ya waarab na kitendo hicho cha bilal kuwa freed kika signify equality ya mafundisho ya uislam...
We ni mgeni wa history bila shaka. Unafahamu kama Yemen kulikuwa na Wanasara(wakristo) ambao walikuwa wanateswa na mtawala wa hapo. Mpaka wakatoka waarabu wakaenda Ethiopia kuomba msaada. Ethiopia ilivyofika Yemen ilishusha kichapo kizito na wakaweka utawala wa kwao, Yemen yote inaangaliwa na Ethiopia kijeshi.

Makka kipindi hicho Al Kaaba bado ipo. Mfalme wa Yemen au Kiongozi wa Yemen kwa kipindi hicho ambacho walikuwa ni wahabesh/Ethiopia walitoka na jeshi(kuna mambo yalitokea hapo kati) kutaka kuvunja Al Kaaba. Waarabu wa Makka wote walikimbia kutokana na ukubwa na umahiri wa jeshi la Ethiopia lilitoka Yemen. Ila liliharibiwa hilo jeshi kwa uwezo wa Mungu.

Miongoni mwa watu waliyokuja na hilo jeshi lakini hawakushiriki mapambano ni wanawake. Katika hao wanawake alikuwepo binti mtoto wa Kiongozi wa kifalme huyo wa Ethiopia. Huyo binti alikuwa anaitwa Hamamah. Kwa hiyo kwenye hiyo Waarabu walivyona jeshi limeharibiwa, huyo binti akakamatwa kama mateka. Akaolewa na Rabbah, ni muarabu kutoka kabila la Banu Jumah. Kabila ya Jumah ilikuwa ni miongoni mwa kabila ya Kiarabu iliyokuwa ya kitumwa kwa Waarabu wenyewe. Mzee Rabbah akazaa mtoto aliyekulia mazingira ya kitumwa. Kwa hiyo, huyo mtoto naye akawa mtumwa.

Huyo mtoto jina lake ni Bilal bin Rabbah. Alikuwa ni mweusi. Baba alikuwa ni Muarabu mtumwa na mama alikuwa ni Muafrika.

Muhammad alipotangaza kwamba yeye ni Mtume moja ya suala alilokuwa analipiga vita ni Utumwa. Akwamwambia Abuu Bakr hamna ambaye anayeweza kumkomboa Bilal kutoka kwenye Utumwa? Abu Bakr akaamua kumnunua Bilal kwa pesa yake, halafu akamuacha huru.

Khalifa, Sahaba ya Mtume, Omar ibn Al Khattwab alikuwa akisema " Abu Bakr is my master(Sayyid), and he freed our master(Sayyid); ambaye ni Bilal.
 
Haya mafact kutoka Western Countries mbona tulishafundishwa skuli kitambo sana. Unge quote na aya flani ingekuwa powa zaidi
Yaani unataka niquote haya gani zaidi ya mtume wa Allah kumiliki watumwa?Nipe reference ya kitabu kinachosema waarabu hawakufanya biashara ya utumwa.Hivi huko Muslim University of Morogoro mnasomaga vitabu gani?Kuna haja ya mitaala yenu kuchunguzwa aisee!
 
Back
Top Bottom