Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,106
Waarabu katili sana watumwa walikuwa wanaondolewa Uwezo wa kuzaa,wanahasiwa!Mmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungine
Waarabu katili sana watumwa walikuwa wanaondolewa Uwezo wa kuzaa,wanahasiwa!Mmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungine
Toa ushahidi wa hayoWaarabu katili sana watumwa walikuwa wanaondolewa Uwezo wa kuzaa,wanahasiwa!
Waarabu yalikua wanachukua watumwa na kuwauza tu kwa hao wazunguLugha uliyoitumia imenipiga kwenzi la utosi.Yawezekana unataka kuandika kuwa Waarabu hawakuwahi kutwaa watumwa wenye asili ya Afrika.Sivyo?Naishia hapo.
Nawajibika kwa nilichoandika si kwa namna mtu alivyoelewaWaarabu yalikua wanachukua watumwa na kuwauza tu kwa hao wazungu
Umeandika uharo1.Maalim kuna tofauti ya picha ya kwanza ya mtoa mada na uharo ulioweka hapa.
2.Sio kila mzungu alikuwa ni mkoloni wakoloni walikuwa hawana dini lakini walikuwa ni wazungu
3. Wamisionari ambao ndio picha ya mtoa mada walikuwa ni wakristo ambao walikuja kuwanasua waafrika mikononi mwa wakoloni wa kiarabu na wazungu.
4. Sio kila mzungu alikuwa anaeneza ukristo ni wamisionari tuu lakini hao wakoloni wengine wazungu walikuwa ni wafanyabiashara waliokuwa wanauziwa watumwa na waarabu ambao walikuwa wanawakusanya vijijini.
5. Waarabu wote walikuwa wanaeneza dini ya uislam. Hivyo huwezi kutenganisha dini yenu na kushamiri kwa biashara hiiharamu katika afrika mashariki. Pamoja na wakristo wamissionari kukomaa kuisitisha biashara hiyo, waarabu hawakuridhika mpaka leo, na wanaamini mwafrika bado ni mtumwa wake.Ndio maana akinadada wakienda kutafuta kazi za ndani huko wanateswa na kuuawa kama wanyama na washika dini hao.
Vitangulizi vya ukoloniUmeandika uharo
Waarabu katili sana watumwa walikuwa wanaondolewa Uwezo wa kuzaa,wanahasiwa!
Wamekaririshwa bila ushahidiNdivyo mlivyofundishwa shule za msingi!!
Waarabu wamekufanya nini? Walikubebea dada yako?