Utumwa wa Waarabu

Utumwa wa Waarabu

Ni "kama" kumbe, hata Weusi wanaofanya kazi kwa weusi wenzao hapa Tanzania ni kama watumwa pia au hujui, husikilizi habari, au una kinyongo?
Ndugu,obsession yako ya kuwaondoa waarabu katika hii biashara kwa maana kuwa wako innocent haitakusaidia kabisa.Huko Arab Emirates kuna documentary kibao za manyanyaso ya watu weusi yanayofanywa na waarabu.Na hata ubalozi wa Tanzania ushatoa tamko kuhusu unyama wanaofanyiwa dada zetu na waarabu.Unataka niingie katika mtego wako wa chuki za kidini ambazo kwa namna yeyote ile hazitanifanya mimi niwe muislam(just because wamisionari walimiliki watumwa)Au wewe uwe mkristu(Just because waarabu including Muhammad)walimiliki watumwa.

Uzushi wa aina hiyo na inclination hzo towards other peoples' beliefs zinakufanya uwe na kinyongo(escaping your own shadow by incriminating others) Nakushauri ujikite zaidi kujifunza utu wema na si vijipropaganda mnavyopandikiziwa kwenye kile chuo chenu cha Ahsante Mukapa (Graduates wake wanaongoza kwa hasira na chuki Tanzania)
Enjoy life ndugu yangu maisha ni mafupi sana
 
Haya ni maneno ya Prof Walter Rodey "how europe underdeveloped africa".
Kimsingi utumwa kwa afrika uliletwa na kufanywa na wazungu kabla ya hapo hakukuwa na utumwa bali people owning people systerm ambapo aliweza mmilikiwa kuwa na maisha yake huku akifanya kazi kwa mmiliki wake
View attachment 945409
Another gooood,good story to make our hearts tender,huh!?
 
Ndugu,obsession yako ya kuwaondoa waarabu katika hii biashara kwa maana kuwa wako innocent haitakusaidia kabisa.Huko Arab Emirates kuna documentary kibao za manyanyaso ya watu weusi yanayofanywa na waarabu.Na hata ubalozi wa Tanzania ushatoa tamko kuhusu unyama wanaofanyiwa dada zetu na waarabu.Unataka niingie katika mtego wako wa chuki za kidini ambazo kwa namna yeyote ile hazitanifanya mimi niwe muislam(just because wamisionari walimiliki watumwa)Au wewe uwe mkristu(Just because waarabu including Muhammad)walimiliki watumwa.

Uzushi wa aina hiyo na inclination hzo towards other peoples' beliefs zinakufanya uwe na kinyongo(escaping your own shadow by incriminating others) Nakushauri ujikite zaidi kujifunza utu wema na si vijipropaganda mnavyopandikiziwa kwenye kile chuo chenu cha Ahsante Mukapa (Graduates wake wanaongoza kwa hasira na chuki Tanzania)
Enjoy life ndugu yangu maisha ni mafupi sana
Umeona uarabuni tu ndo kuna ubaguzi,huko india,ulaya na hata nchi za kiafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe
 
Watu weupe wote waliokuja Afrika (waarabu kwa wazungu) walitesa sana wabantu. Wamekuja kuacha baada ya kugundua machine zilizowapa faida kwa haraka kuliko kutumia binadamu. Nyingine zote mbwembwe.

Uzuri ni kwamba wazungu walikuja kututoa utumwani mwa waarab na kuturudisha uraiani kisha kutufundisha dini na imani zao huku wakituibia madini yetu kujenga mataifa yao.
 
Umeona uarabuni tu ndo kuna ubaguzi,huko india,ulaya na hata nchi za kiafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe
Dawa ni kuheal makovu yaliyoletwa na hao wakoloni wetu na biashara yao ya utumwa.Wazungu waliifanya na waarabu waliifanya pia.
So what?
Tunatakiwa kumove on na kutatua changamoto zinazotukabili kama taifa utumwa na ukoloni vikiwa kama darasa la kutuwezesha kuendelea kiuchumi, kijamii na kitamaduni.
Tofauti na hapo tutakuwa ni watu wa kutamfuta mchawi nani alifanya hivi na nani kafanya vile na anasali wapi kitu ambacho kitachochea utengano na kutoaminiana katika jamii kwa sababu za udini.
Ikumbukwe duniani ni Tanzania pekee ambako ratio ya muslim na christians inakaribiana sana na watu wanaishi in harmony kwa kuoleana na kuwa na udugu wa karibu.Kinachonisikitisha kumezuka ka kikundi ka "wasomi" fulani kazi yao ni kulalamika tu ooooh Nyerere alifanya hivi,Mwinyi akafanya hivi,sijui mfumo kristu nk nk.haya hayatusaidia
 
Hata historia ya darasa la tatu chee unataka nikakuletee mifano?Halafu,ukijua ndiyo utawalipia nauli warudi kukusabahini!?
Bado haujajibu swali

Sana sana umeleta tamathali za semi. Yaani ni swali dogo tu, halihitaji herufi nyingi kulijibu.
 
Bado haujajibu swali

Sana sana umeleta tamathali za semi. Yaani ni swali dogo tu, halihitaji herufi nyingi kulijibu.
Ungejiuliza Seyyid Said,Barghash,Tip Tip na wengine wa aina yao walitokea wapi.Kwa sababu tu uliambiwa JF ni kisima cha habari basi ndiyo uje usumbue watu kwa mambo ambayo yamo ndani ya uwezo wako?Aaaargh!!!Kuchoshana sasa aisee!!Sijibu.
 
Unaenda kihisiya sana kuliko kiuhalisia.

Unabidi umjue Imam Sultan bin Seif, Seif bin Sultan. Inabidi uujue Ukoo Al' Busaid, Sayyid Said bin Sultan bin ahmed, Sayyid Majid Said bin Sultan, na baada ya hapo ndipo umsome Barghash.

Tippu tip, mama yake ni Mswahili na baba yake ni Muarabu. Kamsome naye, kama kuuza alikuwa anawauza wenye asili ya mama yake.

Punguza ghadhabu.
 
Kwa hiyo unanikoga kwa kuwafahamu wajomba zako?Hamna shida.Ndiyo MAANA ulivyouliza swali la kijuaji sikujibu.
 
Waarabu hawakutesa waafrika, waliotesa babu zetu ni wazungu na sisi kwa sisi..full stop!
 
waarab na wazungu wote walifanya ushenzi. tofauti tu waarabu hawakua na technolojia ya picha na utamaduni wa kuweka record....
 
Back
Top Bottom