Utumwa wa Waarabu

Utumwa wa Waarabu

nadhani ungesoma tena nilichoandika..... nimesema KUENEZWA na pia INFLUENCED.
Dah

Waarabu wa watu,jinsi wanavyosakamwa na washiba tango pori

Chief
Kitendo cha kuingiliana kinyume na maumbile,haina maana Africa yetu ya watu weusi,hakikuwepo tokea hapo mwanzo(Kabla ya Biashara ya Utumwa)
Haina maana hiyo
Tendo hili baya la kulaaniwa,lilikuwepo tangu na tangu,vizazi na vizazi,japokuwa lilifanywa kwa vificho mno
Ila haifai kusema Fulani ndio wametuletea upuuzi huu
 
nijuzwe tu hili.... Yule Bilal mtumwa mweusi kutoka Ethiopia ya leo huko uarabuni alikua ni muajiriwa wa kampuni gani?
 
Wapi alete ushahidi! Hata mimi nimemuomba kimyaa..mkuu hawa watabakia kuwa na chuki zao dhidi ya waarabu. Na hiyo hiyo chuki haitawatoka mpaka anaingia kaburini, na huko ndiyo anakutana na visago mammae!
Recalling Africa’s harrowing tale of its first slavers – The Arabs
History of slavery in the Muslim world - Wikipediahttps://www.quora.com/ Why-did-Muha...-when-he-already-had-more-than-enough-wives
Slavery in Africa - Wikipedia
BBC - Religions - Islam: Slavery in Islam

Nimekuwekea references ukasome.Sisemi kuwa christians hawakufanya biashara ya utumwa La hasha ila nilitaka kukupa ushahidi kuwa utumwa ulifanywa na races zote regardless ya imani zao.

Mtume wa Allah mwenyewe alimiliki watumwa wa kike na kiume.Sisemi kuwa alifanya dhambi bali ule ulikuwa ni utamaduni nyakati zile manake hata biblia imeongelea sana mambo ya utumwa.
Kwa dhamira yeyote ile ndugu zangu tusipotoshe historia.Mababa wa Utumwa Afrika ni Waarabu!
 
Sio ni kama watumwa" ni Watumwa completely na wananyanyaswa sana.

Hukumbuki yule binti akiyedondoshwa ghorofani juu mpaka chini na alikuwa akiwasaidia kazi za ndani?

Waarabu wana roho mbaya sana.
Ni "kama" kumbe, hata Weusi wanaofanya kazi kwa weusi wenzao hapa Tanzania ni kama watumwa pia au hujui, husikilizi habari, au una kinyongo?
 
Sio ni kama watumwa" ni Watumwa completely na wananyanyaswa sana.

Hukumbuki yule binti akiyedondoshwa ghorofani juu mpaka chini na alikuwa akiwasaidia kazi za ndani?

Waarabu wana roho mbaya sana.

Ulichokiandika hakina ukweli wowote, bali ni chuki dhidi ya waarabu/waislamu
 
Inapofika mtu,kutamka ukweli inakuwa ngumu kwake
Basi fahamu,maisha yake ni mafupi mno

Chuki na Ubinafsi, ni ugonjwa Mbaya sana kuliko Ukimwi au Umauti

Mwenye chuki,huwa hana maendeleo ya kweli,na kama atakuwa nayo,Basi ni ya muda tu

Ukweli huokoa milele,hata kama utachukiwa na Dunia nzima
Bado pale pale, ukweli utabaki kuwa muokozi wa kweli

Umeongea true kabisa, hawa viumbe twendelee kuishinao tu, but hawana nia nzuri na uislamu na waarabu kwa ujumla. Kitu kingine mkuu, mtu mwenye chuki daima anaishi maisha ya tabu na dhiki, end of the day mtu wa namna hiyo anakufa kifo kibaya.
 
Tumekubaliana kuwa Waarabu hawakuwahi kufanya biashara ya watumwa wala kutesa Waafrika.Kuna neno?
 
Hivi hawa wazungu wamekulisheni kitu gani mpaka Mkawaabudu namna hii?!!!!Siyo tu kusems walikunywa mchuzi tu ila nyama "hakunusa" hata!

Maana ukweli usiofichika
Hao ndio Mabwana wakubwa wa Biashara hii

Waarabu kama walikuwepo,Walikuwa ni wakati na kati
Wao walikuwa wakitumwa na hao Wazungu,kisha kuwapelekea

Sasa kwann tatizo hili baya na ovu
mnawatupia Waarabu tu?!!!
au kwa sababu ya Uislam tu?!
Hao Waarabu walifanya biashara ya utumwa au.lah?
 
Ndugu,obsession yako ya kuwaondoa waarabu katika hii biashara kwa maana kuwa wako innocent haitakusaidia kabisa.Huko Arab Emirates kuna documentary kibao za manyanyaso ya watu weusi yanayofanywa na waarabu.Na hata ubalozi wa Tanzania ushatoa tamko kuhusu unyama wanaofanyiwa dada zetu na waarabu.Unataka niingie katika mtego wako wa chuki za kidini ambazo kwa namna yeyote ile hazitanifanya mimi niwe muislam(just because wamisionari walimiliki watumwa)Au wewe uwe mkristu(Just because waarabu including Muhammad)walimiliki watumwa.

Uzushi wa aina hiyo na inclination hzo towards other peoples' beliefs zinakufanya uwe na kinyongo(escaping your own shadow by incriminating others) Nakushauri ujikite zaidi kujifunza utu wema na si vijipropaganda mnavyopandikiziwa kwenye kile chuo chenu cha Ahsante Mukapa (Graduates wake wanaongoza kwa hasira na chuki Tanzania)
Enjoy life ndugu yangu maisha ni mafupi sana
Du yaani unachozuia mwenzako kufanya wewe ndio unafanya.
 
Back
Top Bottom