DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,315
- 2,742
Nani amekuita Mwarabu? Unaelewa unachosoma?
Kuniuliza mimi mwarabu una maana gani?
Nani amekuita Mwarabu? Unaelewa unachosoma?
Kuniuliza mimi mwarabu una maana gani?
Nina maana ya kutaka kujua kama u Mwarabu au lah...ila sijajustify kuwa wewe ni Mwarabu.
Tofautisha swali na maelezo. Question v/s Statement.
Basi yaishe mkuu,twendelee na mjadala..
Huyo Ni mwarabu mweusi aka muislamu wao wanaita dini ya hakiNani amekuita Mwarabu? Unaelewa unachosoma?
Huyo Ni mwarabu mweusi aka muislamu wao wanaita dini ya haki
Mzee Quran si ndio chanzo Cha kuaminika katika uislamu,nilete vifungu vya Quran ili kuthibitisha mambo ya ajabu ndani ya uislamu??? Sema suNilichojifunza watu wanauelewa mdogo sana kuhusu Uislamu, na hata hivyo uelewa huo mdogo pia wameelewa kimakosa. Wengi wana chuki binafsi ambazo ukimuuliza ni kwanini hana majibu
Wengi wanachanganya matendo ya Waarabu na Uislamu, wengi ni mbumbumbu sana kisha hujifanya nao eti wanajua Uislamu mbali ya kuwa dini zao hawazijui asili yake
1.Maalim kuna tofauti ya picha ya kwanza ya mtoa mada na uharo ulioweka hapa.
2.Sio kila mzungu alikuwa ni mkoloni wakoloni walikuwa hawana dini lakini walikuwa ni wazungu
3. Wamisionari ambao ndio picha ya mtoa mada walikuwa ni wakristo ambao walikuja kuwanasua waafrika mikononi mwa wakoloni wa kiarabu na wazungu.
4. Sio kila mzungu alikuwa anaeneza ukristo ni wamisionari tuu lakini hao wakoloni wengine wazungu walikuwa ni wafanyabiashara waliokuwa wanauziwa watumwa na waarabu ambao walikuwa wanawakusanya vijijini.
5. Waarabu wote walikuwa wanaeneza dini ya uislam. Hivyo huwezi kutenganisha dini yenu na kushamiri kwa biashara hiiharamu katika afrika mashariki. Pamoja na wakristo wamissionari kukomaa kuisitisha biashara hiyo, waarabu hawakuridhika mpaka leo, na wanaamini mwafrika bado ni mtumwa wake.Ndio maana akinadada wakienda kutafuta kazi za ndani huko wanateswa na kuuawa kama wanyama na washika dini hao.
Baadhi wanatafuta nafasi ya kutukana Uislamu na Mtume wetu Mtukufu, aliyekuja kuutoa ulimwengu katoka giza la ujinga na upotevu.
Nitaweza kujadiliana na mtu iwapo atanijibu swali hili,:
anieleze kwa mujibu wa dini yake kwa ushahidi kutoka katika kitabu cha imani yake mtu akiibiwa anaipata vp haki yake mara baada ya kumjua aliyeiba na huyu aliyeiba ili kuondoa tabia ya wizi na kuleta amani katika jamii ansfanywaje?
Umeisha wahi kujiuliza kwanini huko Amerika weusi wenye asili ya Amerika bado wapo lakini UARABUNI weusi waliopo huko ni wahamiaji wa hivi karibuni!?Mmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungine
Ktk nchi "Secular" kama yetu, kosa la jinai kama wizi pale mtuhumiwa anapopatikana na hatia ktk mahakama zetu, linaadhibiwa kwa kifungo jela na hiyo ndio adhabu inayotolewa ktk nchi iliyostaarabika.Baadhi wanatafuta nafasi ya kutukana Uislamu na Mtume wetu Mtukufu, aliyekuja kuutoa ulimwengu katoka giza la ujinga na upotevu.
Nitaweza kujadiliana na mtu iwapo atanijibu swali hili,:
anieleze kwa mujibu wa dini yake kwa ushahidi kutoka katika kitabu cha imani yake mtu akiibiwa anaipata vp haki yake mara baada ya kumjua aliyeiba na huyu aliyeiba ili kuondoa tabia ya wizi na kuleta amani katika jamii ansfanywaje?
laiti ungeangalia kombe la dunia 2018 RUSSIA ungetamb ua kuwa Waarabu weusi wapo kwa kupitia timu ya Taifa ya SAUDI ARABIA. 95% ni weusiMh hii style yako ya uongo nimeipenda aisee
laiti ungeangalia kombe la dunia 2018 RUSSIA ungetamb ua kuwa Waarabu weusi wapo kwa kupitia timu ya Taifa ya SAUDI ARABIA. 95% ni weusi
Waislam umewatoa wapi wakati nimeongelea Waarabu?
Inaonekana hata ile mada ya historia darasa la tatu hukuelewa, vitangulizi vya ukolonini: Wamisionari, Wapelelezi, na Wafanyabiashara1.Maalim kuna tofauti ya picha ya kwanza ya mtoa mada na uharo ulioweka hapa.