mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,934
Mkuu sio waarabu tu hata Watanganyika, kuna watu hawawezi kuoa watu fulani wa kanda ya Ziwa karibu na Uganda au Watu fulani wa Kanda ya kusini. Ubaguzi upo kuanzia chini ya nyayo zetu.Ndiyo ujiulize sasa,arabun walikuwa wakishafikishwa wanahasiwa {wanagongwa kende ili pump zisiinuke wakiogopa kuwa watazaa na wanawake zao vizazi vyao viharibike} that's why hata leo ukionekana wewe mwenye rangi ya nyani unataka kuanzisha uhusiano na mtoto wa kiarabu basi lazima viungo vyako wavigawanye.